Mambo ya harvard ,threesome na kadhalika..lol

I presume you are a grown ass man.

Now, spring break is for school kids and those who go to Cancun are mainly college kids who are between the ages of 18-21.

I don't know about you but I can't hang out with 18-21 year old kids anymore.

All they think about is party, get wasted, and get laid.

Meanwhile I got so much on my mind. I'm worried about this, that, and the third.

I just don't have anything in common with them anymore. I'm past that stage.

Uko right aisee...
nimeelewa your point...
Nikuulize kitu..ukiwa Dar
huendi Maisha club,Billicanas..?

Mimi huko pia siwezi kwenda nika enjoy...naona
i am past that stage too...but nimewahi kama sikosei kusikia uki mention huko..
 
Haya ndo matatizo ya kudhani kusoma ndo kuelimika na kujitambua!
Tuna safari ndefu sana ya kukua!
 
Uko right aisee...
nimeelewa your point...
Nikuulize kitu..ukiwa Dar
huendi Maisha club,Billicanas..?

Mimi huko pia siwezi kwenda nika enjoy...naona
i am past that stage too...but nimewahi kama sikosei kusikia uki mention huko..

Huwezi amini Boss, mimi Billicanas tokea ianzishwe mwaka 1992 sijawahi tia mguu ingawa viota vingine vya starehe nshawahi.

Ila kwa muda mrefu sana sasa, takriban miaka 7 au 8 sijaenda clubbing. Hiyo Maisha club ndiyo sijui hata ilipo ingawa kuna moja nimeiona Dodoma mwezi uliopita. Sasa sijui kama hiyo Maisha club ya Dar na hiyo ya Dodoma mmiliki wake ni yule yule au vipi.

Halafu kingine kinachonikera kwenye hayo ma club ni sauti kubwa ya muziki. Sipendi kabisa makelele ya kwenye vilabu. Masikio yangu huwa yanaziba. Kwa hiyo, ukiachilia mbali kuwa nimeshavuka hicho kipindi cha clubbing, sauti kubwa ya muziki nayo ni disincentive kwangu.

I'm just a homebody.
 
Huwezi amini Boss, mimi Billicanas tokea ianzishwe mwaka 1992 sijawahi tia mguu ingawa viota vingine vya starehe nshawahi.

Ila kwa muda mrefu sana sasa, takriban miaka 7 au 8 sijaenda clubbing. Hiyo Maisha club ndiyo sijui hata ilipo ingawa kuna moja nimeiona Dodoma mwezi uliopita. Sasa sijui kama hiyo Maisha club ya Dar na hiyo ya Dodoma mmiliki wake ni yule yule au vipi.

Halafu kingine kinachonikera kwenye hayo ma club ni sauti kubwa ya muziki. Sipensi kabisa makelele ya kwenye vilabu. Masikio yangu huwa yanaziba. Kwa hiyo, ukiachilia mbali kuwa nimeshavuka hicho kipindi cha clubbing, sauti kubwa ya muziki nayo ni disincentive kwangu.

I'm just a homebody.

Mimi naweza sema night life ya Dar inatawaliwa na vijana
below 30
ukivuka 30 i rahisi ku feel out of place popote unapoenda...
Ndo maana watu wengi wanalala tu majumbani au bar tu...
 
Ndugu yangu The Boss,

Binafsi huwa naamini kwamba tunapokuja kwenye swala la ngono..hakuna mtu ambaye ni kichwa wala kiazi/kilaza!!

Nakumbuka wakati magazeti ya udaku yanaanza hapa nchini kwenye miaka ya 90, kulikuwa na katuni moja iliyomchora Professor akimuuliza changudoa kama kweli ana chachandu kabla ya kulipia huduma....

Kwa hiyo sioni ajabu yoyote kwa upande wa wasomi. Labda jambo la kustajabisha ni uamuzi wa chuo kulitambua hilo kundi kama club halali chuoni!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Mimi naweza sema night life ya Dar inatawaliwa na vijana
below 30
ukivuka 30 i rahisi ku feel out of place popote unapoenda...
Ndo maana watu wengi wanalala tu majumbani au bar tu...

Hapo umenena.....ingawa mimi bado young lakini si mpenzi wa club zetu.
Kama alivyosema Nyani Ngabu kuna makelele na vurugu za hovyo kabisa. Bora kukaa mahali fulani tulivuu
huku ukiunguza uchumi!
 
Hapo umenena.....ingawa mimi bado young lakini si mpenzi wa club zetu.
Kama alivyosema Nyani Ngabu kuna makelele na vurugu za hovyo kabisa. Bora kukaa mahali fulani tulivuu
huku ukiunguza uchumi!

Very true...
 
Ndugu yangu The Boss,

Binafsi huwa naamini kwamba tunapokuja kwenye swala la ngono..hakuna mtu ambaye ni kichwa wala kiazi/kilaza!!

Nakumbuka wakati magazeti ya udaku yanaanza hapa nchini kwenye miaka ya 90, kulikuwa na katuni moja iliyomchora Professor akimuuliza changudoa kama kweli ana chachandu kabla ya kulipia huduma....

Kwa hiyo sioni ajabu yoyote kwa upande wa wasomi. Labda jambo la kustajabisha ni uamuzi wa chuo kulitambua hilo kundi kama club halali chuoni!!

Babu DC!!

Na watu wengi ndo walishangaa hilo
ina maana hata chui kitawapa pesa kwa 'shughuli zao'
na hujui shughuli hizo zitakuwa zipi na zipi..
 
Back
Top Bottom