Mambo ya harvard ,threesome na kadhalika..lol

Poa tuu eeh??

Hata ukisikia mwanao anafanya hayo madudu kwako itakuw poa tuu??

my dear!mwanadamu ni kiumbe mtata sana!sana!kwenye swala la ridhiko la kijinsia sijui yailahi hata mwanangu atafanya nini !zaidi ya kumlea katika misingi sahihi ya kiimani hilo siwezi kulisemea kuwa atakuwa ni mtu wa aina gani wen it cums to these stuff!
hao wanaofikia hapa wala si kwamba wazazi wao wanajua huko waliko kuwa yanafanyika haya!
 
mupenzi wako wa biblia hukubali na namba yake !walahi angekuwa bonge la mwanachama!ambacho ningempendea ni vile angelazimika kutumia realia ili wanachama tuelewe vizuri!lol

Soon nitakuteua uwe mwenyekiti wa next research...lol
reasearch juu ya 'how a threesome party' can be organized lol
 
Hiyo club ni kwamba imesajiliwa tu huko but club bubu zipo kibao tu hata bongo.Kama vile suala la ushoga lilionekana kitu cha ajabu baada ya watu kutaka kulihalalsha but kiukweli lilikuwepo ever since.
 
Na bado tutasikia mengi mpaka ifike dunia inaturn upside down
 
my dear!mwanadamu ni kiumbe mtata sana!sana!kwenye swala la ridhiko la kijinsia sijui yailahi hata mwanangu atafanya nini !zaidi ya kumlea katika misingi sahihi ya kiimani hilo siwezi kulisemea kuwa atakuwa ni mtu wa aina gani wen it cums to these stuff!
hao wanaofikia hapa wala si kwamba wazazi wao wanajua huko waliko kuwa yanafanyika haya!

Ulivyoandika hiyo 'when it 'cums' to these stuff'
inaonesha ulivyo genius kwa kweli ...lol
 
casico, njoo hapa. Kuna haja ya kufanya swinging na bossman, ili mkaribishe wageni kwenye threesome na fivesome yenu. Count me out.
 
Last edited by a moderator:
my dear!mwanadamu ni kiumbe mtata sana!sana!kwenye swala la ridhiko la kijinsia sijui yailahi hata mwanangu atafanya nini !zaidi ya kumlea katika misingi sahihi ya kiimani hilo siwezi kulisemea kuwa atakuwa ni mtu wa aina gani wen it cums to these stuff!
hao wanaofikia hapa wala si kwamba wazazi wao wanajua huko waliko kuwa yanafanyika haya!

Kilichonishtua ni pale ulipo sema poa tuu, kana kwamba na wewe una unga mkono hii makitu!!

Hata kama inafanywa na wasomi, lazima ukweli ubaki kuwa ukweli kwamba haya mambo hayafai hata kama mtu anafanya kwa sababu ya jeuri ya pesa yake..! Lazima tukemee haya matendo..!!
 
@Boss kwenye nchi za wenzetu vitu hivi "siku hizi" ni vya kawaida sana kama naweza kutumia maneno hayo. Na mambo hayo ya 3some hayajaishia vyuoni bali hata ndani ya ndoa. Mke/Mume anazuka mtandaoni kutangaza kwamba mwenzie ana birthday inakuja. Yeye katika birthday yake mwenzie "alimsurprise" kwa kumletea bi dada/Njemba na kisha kujirusha kwa raha zao na yeye anataka "kumsurprise" mwenzie. Mtandao nomaaaaa!!! umewafanya watu wawe na lifestyle za ajabu ajabu sana ambazo sasa baadhi wanaona ni vitu vya kawaida kabisa. Wengine wanaenda vacation katika majiji mengine au nchi nyingine kabisa na kitu kimojawapo wanachotafuta katika majiji hayo ni wenyeji ili wawaonyeshe jiji na sehemu za kula maraha na kisha kujivinjari kwa raha zao kama ni 3some au 4some.

Haha haa NN haya maswali yako ni very interesting...
lakini wewe umechukuliaje hii club ya wanafunzi hawa?
mfano we ni mzazi na mtoto umemlipia pesa ndefu huko Harvard...
hutashikwa na wasiwasi wa huyo mtoto kurudi 'amejifunza' menginee kabisaa?
ukichukulia jinsi watu wa Harvard walivyo 'vichwa'??????
 
casico, njoo hapa. Kuna haja ya kufanya swinging na bossman, ili mkaribishe wageni kwenye threesome na fivesome yenu. Count me out.

Wewe kama sio kichwa cha Harvard...huwezi kuwemo lol
 
Kilichonishtua ni pale ulipo sema poa tuu, kana kwamba na wewe una unga mkono hii makitu!!

Hata kama inafanywa na wasomi, lazima ukweli ubaki kuwa ukweli kwamba haya mambo hayafai hata kama mtu anafanya kwa sababu ya jeuri ya pesa yake..! Lazima tukemee haya matendo..!!
kikweli ni ngumu kuliko unavofikiri!
ndo mana nimekwambia mwanadamu ni mtata sana kihisia kusema ukweli!
kuna watu hatujijui hata kama tunachokifurahia kwenye tendo la ndoa ndicho kile tunachokitaka!
au tunachokifanya ndicho kile tunachokitaka!
au tunafanya kile tunachokipenda
au ni kwa sababu wengine wanafanya hivi basi nasi twafanya!
mwanadamu huyu unayemuona akitembea barabarani ni mtu mwingine kabisa akiwa kwenye nusu urazini!huwezi hata kuamini!
 
@Boss kwenye nchi za wenzetu vitu hivi "siku hizi" ni vya kawaida sana kama naweza kutumia maneno hayo. Na mambo hayo ya 3some hayajaishia vyuoni bali hata ndani ya ndoa. Mke/Mume anazuka mtandaoni kutangaza kwamba mwenzie ana birthday inakuja. Yeye katika birthday yake mwenzie "alimsurprise" kwa kumletea bi dada/Njemba na kisha kujirusha kwa raha zao na yeye anataka "kumsurprise" mwenzie. Mtandao nomaaaaa!!! umewafanya watu wawe na lifestyle za ajabu ajabu sana ambazo sasa baadhi wanaona ni vitu vya kawaida kabisa. Wengine wanaenda vacation katika majiji mengine au nchi nyingine kabisa na kitu kimojawapo wanachotafuta katika majiji hayo ni wenyeji ili wawaonyeshe jiji na sehemu za kula maraha na kisha kujivinjari kwa raha zao kama ni 3some au 4some.

Klikuwepo na thread humu zamani
kuna mtu alisema alikutana na watalii wazungu wasichana TZ
wanalalamika kuwa waTZ washamba...lol
anataka kwenda Jamaica huko kuna 'vidume vinaweza kazi'
sio kushangaa shangaa wakiona mwanamke wa kizungu beach lol
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kilichonishtua ni pale ulipo sema poa tuu, kana kwamba na wewe una unga mkono hii makitu!!

Hata kama inafanywa na wasomi, lazima ukweli ubaki kuwa ukweli kwamba haya mambo hayafai hata kama mtu anafanya kwa sababu ya jeuri ya pesa yake..! Lazima tukemee haya matendo..!!

Tatizo la umri na usomi wa chuo best in the world kama Harvard
ni kuwa unakuwa na mentality ya 'hakuna wa kuniambia chochote'
mi 'ndo najua' so hata mzazi asemeje ni bure tu...
 
kikweli ni ngumu kuliko unavofikiri!
ndo mana nimekwambia mwanadamu ni mtata sana kihisia kusema ukweli!
kuna watu hatujijui hata kama tunachokifurahia kwenye tendo la ndoa ndicho kile tunachokitaka!
au tunachokifanya ndicho kile tunachokitaka!
au tunafanya kile tunachokipenda
au ni kwa sababu wengine wanafanya hivi basi nasi twafanya!
mwanadamu huyu unayemuona akitembea barabarani ni mtu mwingine kabisa akiwa kwenye nusu urazini!huwezi hata kuamini!

Utashangazwa na mengi shemeji...........
Enzi zetu sie TV tulikuwa tunaiskia tu kwa wale waliowahi kutoka nje ya nchi, lakini siku hizi si TV tena tumeshapita huko dunia imekuwa kusanywa kiganjani na teknolojia, hata ukitaka kujua Rais Obama wa Marekani alikula nini jana waweza jua, seuzi hizo mitikasi za ngono na mbwembwe zake...!
 
wala si uongo shemeji!hii makitu inaweza kuwa ni common sana kuliko tunavoona kuwa ni ya ajabu!
 
kikweli ni ngumu kuliko unavofikiri!
ndo mana nimekwambia mwanadamu ni mtata sana kihisia kusema ukweli!
kuna watu hatujijui hata kama tunachokifurahia kwenye tendo la ndoa ndicho kile tunachokitaka!
au tunachokifanya ndicho kile tunachokitaka!
au tunafanya kile tunachokipenda
au ni kwa sababu wengine wanafanya hivi basi nasi twafanya!
mwanadamu huyu unayemuona akitembea barabarani ni mtu mwingine kabisa akiwa kwenye nusu urazini!huwezi hata kuamini!

Mbona hata hapa TZ ukipewa majina ya watu waheshimiwa
waliotembea na wanawake wachafu wenye matatizo ya akili waweza zimia kwa mshtuko lol
 
Hahahahah lol! kuna kipindi niliona kwenye TV wadada wa kitasha toka nchi mbali mbali ambao huzuka Jamaica kujirusha kwa raha zao wengi walidai kikubwa wanachokifuata kule ni kujirusha na vidume vya kijamaica. Na hivyo vidume nomaaa maana hawalazi damu kila wanapowaona ni kuwachangamkia kwa speed ya ajabu na katika hicho kipindi walipewa nao nafasi ya kulizungumzia hilo na kudai kwamba wengi wa wanawake hao huwaambia kwamba wanakosa mapenzi ndani ya mahusiano yao zikiwemo ndoa au hawaridhishwi kunako sita kwa sita ila wakizuka kule hujisikia wanawake tena. Wanawake nao waliwasifia sana Wajamaica kunako sita kwa sita na mapenzi, sasa sijui ni mapenzi yepi utamuonyesha mdada ambaye yuko vacation kwa wiki moja au mbili zaidi ya tendo la ngono.

Klikuwepo na thread humu zamani
kuna mtu alisema alikutana na watalii wazungu wasichana TZ
wanalalamika kuwa waTZ washamba...lol
anataka kwenda Jamaica huko kuna 'vidume vinaweza kazi'
sio kushangaa shangaa wakiona mwanamke wa kizungu beach lol
 
Mbona hata hapa TZ ukipewa majina ya watu waheshimiwa
waliotembea na wanawake wachafu wenye matatizo ya akili waweza zimia kwa mshtuko lol

see!
zamani nilikuwa na mtindo wa ajabu sana!kila nikimwangalia mtu mzima au mbabu babu hivi au mbibi nilikuwa naimagine hivi huyu huwa anafanyaga?anafanyaje?anakuwaje?
haoni aibu?
yani nilikuwa najiuliza maswali mengi kweli kichwani kwangu!
sasa ndo haya haya!tena usikute hao waheshimiwa wala hawakufanya labda kwa ajili ya nguvu za giza,
ni kwamba tht was wat they need kupata ridhiko!
kuliwahi kuwa na story moja hivi miaka kadhaa eti mbeya kuna mtu dhakari imebanwa na jiwe!
jiulize alikuwa anafanya nini!
 
Back
Top Bottom