Usomi na pesa unabadili namna ya kuiangalia dunia na kuchallenge vitu vya mazoea, sababu unakuwa na mtaji wa kujisimamia.
Boss umesahau vituko vya Beliscon wa Italy na visa vyake vya ngono.
Lakini kwenye ngono kuna mengi jamani, kama kuna mtu ameona series ya Spartacus atajiuliza wale watu wa Roma Empire ile ngono ilikuwa ya namna gani aisee!
Kila jamii ina utamaduni wa kusisimua sana linapokuja suala la kuingiliana nyuchi za wanaume na wanawake, mfano historia ya Karmasutra inaturudisha miaka hyo hata kabla ya mapinduzi ya viwanda ulaya, lakini kipindi hicho hao waasia walikuwa weshajua mbinu mbalimbali za kubinjuana, sio tu 3some bali teamsome kabisa lol......
Kwa kuangalia yote haya ndio maana Nyani Ngabu akauliza uajabu kwenye context gani?
Hata sisi waafrika na makabila yetu unaweza kuta kuna aina na dizaini zetu za kushiriki huu mlo kamili ila hatujaandika hvi vitu na wala hatujaweka kama vitu vya kujivunia.
Kuna article Rev Massanilo kule kwenye jukwaa la chini kabisa, kuna prof aliamua kuchimba juu ya hii kitu inayoitwa "katerero", na mwisho alikuja na conclussion nzuri tu lol
unaweza kupata picha alivyofanya research yake, maana anaeleza binti akaeje, mkono uende wapi hahahahahahaha
Sex kweli inahaki ya kuwekewa mjadala maalum