Mambo ya 50/50 binafsi mnitoe siyatakiiii

Mambo ya 50/50 binafsi mnitoe siyatakiiii

Hapo hakuna cha jando, huo ni ukatili , uchoyo na ubinafsi , na hakuna mapenzi ya kweli hapo, issue si kutoa, issue ni wewe kumtazama mwenzako akitoa hadi senti yake ya mwisho, na unaingiza kipato kumzidi huku umekumbatia pesa zako..

Mwanamke wa namna hio hapana..
Hata mimi hio siikubali! Kumuona mwanaume anabeba majukumu yote hadi senti yake ya mwisho halafu mwanamke umefungia pesa ndani.

Binafsi nipo upande wa kushare majukumu kulingana na tulivyokubaliana.

Lakini suprise za kunipa pesa ziwepo nasikia rahaa, mwisho wa siku hizo hela zinarudi humohumo ndani kwetu.
 
Back
Top Bottom