Mambo ya 50/50 binafsi mnitoe siyatakiiii

Mambo ya 50/50 binafsi mnitoe siyatakiiii

Kupata hela nyingi kuzidi mwanaume hainifanyi mimi kupoteza haki yangu ya Kutunzwa
Kwenye ndoa , hakuna pesa yangu na pesa yako linapokuja suala la ustawi wa familia..
Wote wana haki ya kutunzwa, inabidi kutunzana..
Mtasaidiazana kwenye dharura..
Hio sio charity organization kwamba mmoja ni mfadhili na mwingine ni mnufaika..

Mwanaume ana haki pia ya kupunguziwa mizigo ya kiuchumi na mkewe, hasa kama mke ana uwezo mkubwa...
 
Kwa hiyo wanandoa hawaombani pesa. Asante kwa taarifa
Kuombana pesa kwa wanandoa sio lugha sahihi, labda useme mwanamke anakuwa anamkumbusha mume kuna mahitaji gani kwenye familia.

Kama mwanaume ana biashara zake za maana au ajira inayompa kipato kikubwa kuliko mke automatically tu atakuwa analipa kodi au ajenge nyumba, atanunua usafiri wake ambao utakuwa ndio wa familia, atakuwa analipa ada, gharama za matibabu/bima hapo utakuta huyo mke mwenye kipato kidogo au cha kawaida labda ananunua chakula na vikorokoro vyake vidogo vidogo huko vya kujiremba, hapo huwezi kusema kuna kuombana pesa au 50/50.

Ishu ukute mwanamke ana kipato kikubwa zaidi kuliko mwanaume au sawa na hashindi nyumbani halafu hachangii pia chochote cha maana katika kuendesha familia. Au tatizo lengine ni pale mke anapoanza kutaka pesa za mume wake kujengea wazazi wake au kuhudumia ndugu zake, hapo sasa ndio itabidi aanze kuomba na wanaume wengi ndio huwa vichwa vinapata moto maana anaona anabeba majuku yasiyomuhusu.
 
Wee unajali???? Pole sana kwakuteseka
Kuteseka!?..mi hayo mashimo nathomba,ukiniombaomba hela naachana nalo,nafata jingine,infact baada ya kujua ucenge wake,shimo moja baada ya kulikoroga nililitemea kohozi nikalikita kwelikweli kwa kisigino,sijui kama qisimi kina hisia tena
 
Back
Top Bottom