Mambo ya 50/50 binafsi mnitoe siyatakiiii

Mambo ya 50/50 binafsi mnitoe siyatakiiii

Comments za mtibeli zimenifanya nisimulie kisa cha kaka yangu.

Yeye na mkewe walifunga ndoa 2015, hawana mtoto, mkewe hajawahi kufanya kazi yoyote.
Ashamfungulia mkewe saloon, min market, duka lakini vyote vilikufa chanzo mkewe hataki kwenda kuvisimamia! Yeye anataka kukaa tu wafanyakazi wamletee hesabu nyumbani.

Anajuta kumuoa ila hawezi kumuacha kisa nyumba yao aliandika jina la mkewe.
Sasa hivi nyumbani kwao wana housegirls wawili kumbuka hawana mtoto na mke yupo tu nyumbani.

Kinqchomsikitisha amegundua kua mkewe kamjengea mama yake nyumba ya kisasa kijijini kwao.
Anajiuliza mkewe hela kapata wapi?
Nilimwambia bila kumficha kua nyumba imejengwa kwa pesa zake kaka yangu😂
🤣🤣🤣 Kaka yako kazini kwake kuna kazi
 
Mwanamke akishajua una michepuko hutokaa uione hela yake kamwe!!!

Hela zako unawapa malaya halafu za mke mshare majukumu? Cha kukusaidia sana ni ataanza kukufirisi anakusanya urithi wa watoto wake mapema.
Nafikiri hii ndio sababu ya ujambazi mwingi ndani ya familia, katika makosa yanafanyika ni kuchepuka na mke ajue , wandewa huwa wana hakikisha mchepuko unamjua mke wake ili afanye maarifa asije kutuna nae kwa namna yoyote
 
Pesa za vikoba vya kununua nguo mpya na mitoko , mwanamke akishajiunganisha na vikoba , ujambazi unamvaa automatically
Enhee ulikuwa unasema??

Sikia nikwambie kitu we mwanaume! Kuna aina za wanawake, kuna namna anavyoendesha maisha yake ninjibu tosha una deal na mwanamke wa aina gani! Issue za vicoba sijui hisa, hakuna mwnaamke timamu atajiunga huko kw akutegemea pesa ya kupewa! Lazima uwe na source of income ambayo utakaa chini na kunadika jinsi gani utaisave hiyo pesa yako kule na kwa sababu zipi! Huwezi kuweka pesa sehemu bila mpangilio! Hizo pesa z amitoko kama ipi? Ya i kinguo cha kuvaa moaka wewe ndio unipe mimi pesa nikanunue?🤔

Anyways sijui hapa unaongelea kundi lipi! Ila kama ni wmanamke anayejitambua sidhani kama bado anategemea nguo zake z akuvaa wanunue wanaume🫢
 
Nafikiri hii ndio sababu ya ujambazi mwingi ndani ya familia, katika makosa yanafanyika ni kuchepuka na mke ajue , wandewa huwa wana hakikisha mchepuko unamjua mke wake ili afanye maarifa asije kutuna nae kwa namna yoyote
Wanawake walikua watii kwa waume zamani lakini kesi za mume kafa unakuta mali mlizochuma zinagawanywa hadi kwa watoto wa nje!
Hapo ujambazi ndo ulipoanzia!
Mchepuko anaishi vizuri kuliko mke hata ungekua wewe ndo mke ungejisikiaje?
 
Sio kweli! Wewe utaona mke hela anamaliza kwenye nguo ila mkiachana ndo utajua nyumba anayoishi alijenga saa ngapi😂
Mijengo mingi ni ya mwanamke, halafu kiazi mmoja anajipinda kuhonga , wanawake wanahela nyingi sana 😅, kuna kamasemo kenu eti hamjawahi kumiliki hela , huwa mnatuona mat,,,ko yenu sana🤔
 
Kabisa limenyooka mno , na kuna wanawake na wanaume wamenyooka pia , ila majambazi wamejazana ndani ya familia ndio wanaibua mizozo
Kiukweli nimeona wanawake wengi wanaovumilia ujinga mwingi kwa waume zao kwa sababu tu 'nikitoka hapa nitaenda wapi' mwanamke ukikaa kizembe kwa aina ya wanaume tulionao utakufa siku si zako
 
Wanawake walikua watii kwa waume zamani lakini kesi za mume kafa unakuta mali mlizochuma zinagawanywa hadi kwa watoto wa nje!
Hapo ujambazi ndo ulipoanzia!
Mchepuko anaishi vizuri kuliko mke hata ungekua wewe ndo mke ungejisikiaje?
Anazaa nje halafu anakuletea wewe ulee kwa vilio na misamaha ya kinafki! Baada ya mwezi wanaenda kutanua dubai we umekaa hapo ndani kama jaba lisilojielewa!
 
Comments za mtibeli zimenifanya nisimulie kisa cha kaka yangu.

Yeye na mkewe walifunga ndoa 2015, hawana mtoto, mkewe hajawahi kufanya kazi yoyote.
Ashamfungulia mkewe saloon, min market, duka lakini vyote vilikufa chanzo mkewe hataki kwenda kuvisimamia! Yeye anataka kukaa tu wafanyakazi wamletee hesabu nyumbani.

Anajuta kumuoa ila hawezi kumuacha kisa nyumba yao aliandika jina la mkewe.
Sasa hivi nyumbani kwao wana housegirls wawili kumbuka hawana mtoto na mke yupo tu nyumbani.

Kinqchomsikitisha amegundua kua mkewe kamjengea mama yake nyumba ya kisasa kijijini kwao.
Anajiuliza mkewe hela kapata wapi?
Nilimwambia bila kumficha kua nyumba imejengwa kwa pesa zake kaka yangu😂
Kaka yako itakuwa anampenda sana huyo mwanamke au ni mpole sana. Kuna wanaume hiyo nyumba ingerudi au igawanywe nusu kwa nusu kila mtu ashike hamsini zake. Ila pia kuna wanawake wanajua kumkamata mwanaume kwa uzuri, hisia au sex mpaka mwanaume anakuwa kama Tv ya kuendeshwa na rimoti.
 
Anazaa nje hakafu anakuletea wewe ulee kwa vilio na misamaha ya kinafki! Baada ya mwezi wanaenda kutanua dubai we umekaa hapo ndani kama jaba lisilojielewa!
Hivi kumbe huwa wanawaleta ndani tuwalee? Katika kitu sitaki ni watoto wangu kushare baba na watoto ambao sijawazaa!!
Mbona kitaumana ila kama nina mjengo wangu na hela zangu mbona kiboss tu nasepa.
Kwenye ndoa usipokaa kimasta kinakulamba😂
 
Kaka yako itakuwa anampenda sana huyo mwanamke au ni mpole sana. Kuna wanaume hiyo nyumba ingerudi au igawanywe nusu kwa nusu kila mtu ashike hamsini zake. Ila pia kuna wanawake wanajua kumkamata mwanaume kwa uzuri, hisia au sex mpaka mwanaume anakuwa kama Tv ya kuendeshwa na rimoti.
Tz hairuhusu mgeni kumiliki ardhi ndo maana kaka yangu hawezi kuipata hiyo nyumba.
 
Roho inamuuma! Akamtamani hadi mke wa jirani yake eti ningepata mke kama wa fulani ningekua mbalii🤣
Umenifanya nimkumbuke wifi yangu, mwanamke anapambana yule ana watoto watatu wamepishana mwaka mmoja mmoja, ukimwambia wifi una kazi nyingi tafuta hata binti wa kukusaidia kazi wala hana mpango 🤣🤣 tunamwambia haya super woman maisha ndio hayahaya
 
Comments za mtibeli zimenifanya nisimulie kisa cha kaka yangu.

Yeye na mkewe walifunga ndoa 2015, hawana mtoto, mkewe hajawahi kufanya kazi yoyote.
Ashamfungulia mkewe saloon, min market, duka lakini vyote vilikufa chanzo mkewe hataki kwenda kuvisimamia! Yeye anataka kukaa tu wafanyakazi wamletee hesabu nyumbani.

Anajuta kumuoa ila hawezi kumuacha kisa nyumba yao aliandika jina la mkewe.
Sasa hivi nyumbani kwao wana housegirls wawili kumbuka hawana mtoto na mke yupo tu nyumbani.

Kinqchomsikitisha amegundua kua mkewe kamjengea mama yake nyumba ya kisasa kijijini kwao.
Anajiuliza mkewe hela kapata wapi?
Nilimwambia bila kumficha kua nyumba imejengwa kwa pesa zake kaka yangu😂
Aisee nahisi kuumwa
 
I still don't get you. Watchu mean?
I'm not here to teach people how to live; by doing so I might end up offending people. Whoever reads what I just said will understand that the good life that we all dream of is a result of hard work, patience and discipline; No short cuts, no fixes.

Likewise when looking for a partner she must align with your vision and be a helper as commissioned in the garden of Eden : Adam was to work from the garden and Eve would be beside him as a helper and not a dependent.
 
Asaidiwe pale alipokwama sio kugawana nusu kwa nusu
Kama mnajenga familia moja kwa ajili yenu na watoto wenu kuna ubaya gani kusaidizana, sio amri wala sharti kumsaidia mwanaume, lakini ukimsaidia mwenzako hata kufikia kiwango cha msaada wako kuwa asilimia 50 kuna shida?

Maana watoto ndio wanufaika hapo..
 
Back
Top Bottom