Sema huwa tuna wapuuzia mama zetu sana ila wao ni rahisi mno kushtukia mchezoNdio hiki anachokielezea mtoa mada.. utapeli.
Zakwake ziwe zakwake. Zako ziwe za wote.
Katika vitu mwanaume anatakiwa kuomba ni kukutana na mwanamke mwenye fikra hizi au aliyelelewa na Mama mwenye fikra hizi
Hakuna kiumbe namuogopa kama Mwanamke. Usidharau mwanamke ndugu yangu. Ukimchimba wifi yako unaweza kukuta hata ana mchepuko wakeHawezi kumkimbia! Amkimbie atakula nini? Kazi hataki kanenepeana tu
Basi huyo mchepuko kazi anayo!Hakuna kiumbe namuogopa kama Mwanamke. Usidharau mwanamke ndugu yangu. Ukimchimba wifi yako unaweza kukuta hata ana mchepuko wake
From rags to riches overnight? without considering the patience of time and discipline needed. Is this kind of social mobility predatory? or am I seeing things differently?Remember to teach your sons to avoid expensive poor girls at all cost
Sio kwamba unamuonea wivu wifi yako? kwa sababu wanawake nyieHawezi kumkimbia! Amkimbie atakula nini? Kazi hataki kanenepeana tu
Simuonei wivu kwa mapungufu yake hayo lakini ana roho nzuri sio mchoyo hana mambo mengi.Sio kwamba unamuonea wivu wifi yako? kwa sababu wanawake nyieView attachment 3592163
Au labda pia ni hofu ya wanawake kuachwa muda wowote na wanaume ndio inawafanya wanawake waishi ndani ya mahusiano kama digidigi porini muda wote masikio juu mguu ndani mguu nje.Kabisa limenyooka mno , na kuna wanawake na wanaume wamenyooka pia , ila majambazi wamejazana ndani ya familia ndio wanaibua mizozo
Ngoja nikuibie siri , sisi wanaume tukiona wanawake wetu wanaomba pesa za kuzalisha mali huwa tunajivunia sana , mwanamke anafuga kuku, mnapata mayai ,analima mchicha matunda na kuchakarika na biashara hata ndogo ndogo kuongeza thamani wala hana haja ya kuomba omba , kwa sababu ni rahisi kumpa hata zaidi ya asivyo viomba .Simuonei wivu kwa mapungufu yake hayo lakini ana roho nzuri sio mchoyo hana mambo mengi.
Hofu ya kuachwa na wanaume kuzaa nje ya ndoa inasababisha kwenye vikao tunaambiana hakikisha unajenga nyumba ambayo mume wako hatoijua ili kikinuka unapo pa kukimbilia na watoto wako.Au labda pia ni hofu ya wanawake kuachwa muda wowote na wanaume ndio inawafanya wanawake waishi ndani ya mahusiano kama digidigi porini muda wote masikio juu mguu ndani mguu nje.
I still don't get you. Watchu mean?From rags to riches overnight, without considering the patience of time and discipline needed. Is this kind of social mobility predatory? or am I seeing things differently?
Upo sahihi!Ngoja nikuibie siri , sisi wanaume tukiona wanawake wetu wanaomba pesa za kuzalisha mali huwa tunajivunia sana , mwanamke anafuga kuku, mnapata mayai ,analima mchicha matunda na kuchakarika na biashara hata ndogo ndogo kuongeza thamani wala hana haja ya kuomba omba , kwa sababu ni rahisi kumpa hata zaidi ya asivyo viomba .
Kwahiyo we unahisi wanawake huwa wanaomba pesa za nini? Ngoja nichochee kuni zangu makande yangu yasifubahe, nije kusoma ushauri wa mwanaume lol 😂Ngoja nikuibie siri , sisi wanaume tukiona wanawake wetu wanaomba pesa za kuzalisha mali huwa tunajivunia sana , mwanamke anafuga kuku, mnapata mayai ,analima mchicha matunda na kuchakarika na biashara hata ndogo ndogo kuongeza thamani wala hana haja ya kuomba omba , kwa sababu ni rahisi kumpa hata zaidi ya asivyo viomba .
Unakuta mtu yupo ndoani ila anashindana na michepuko ya mume wake kumdanga mume wake 😅 ila kuna mda hata sisi tunaruhusu kufanyiwa ujambazi na kufanya ujambazi ndani ya familiaAu labda pia ni hofu ya wanawake kuachwa muda wowote na wanaume ndio inawafanya wanawake waishi ndani ya mahusiano kama digidigi porini muda wote masikio juu mguu ndani mguu nje.
Pesa za vikoba vya kununua nguo mpya na mitoko , mwanamke akishajiunganisha na vikoba , ujambazi unamvaa automaticallyKwahiyo we unahisi wanawake huwa wnaaomba pesa za nini? Ngoja nichochee kuni zangu makande yangu yasifubahe, nije kusoma ushauri wa mwanaume lol 😂
Mwanamke akishajua una michepuko hutokaa uione hela yake kamwe!!!Unakuta mtu yupo ndoani ila anashindana na michepuko ya mume wake kumdanga mume wake 😅 ila kuna mda hata sisi tunaruhusu kufanyiwa ujambazi na kufanya ujambazi ndani ya familia