Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

Inaelekea JK hakuwa anajua kuwa ndani ya CC kulikuwa na waliokuwa wanataka kutenganisha kofia ya urais na uenyekiti; kashtuka sana na kuchukua maamuzi.

Wakuu hali ni tete ndani ya Dodoma sasa, kuna hatari endapo wale wanaotuhumiwa kwa ufisadi ambao wanatakiwa kuondoka ndani ya chama wakifurukuta zaidi mambo yakawa mabaya zaidi
 
Babu,mambo ya serikali nayajua sana!..sio kuringa ila my whole life I was raised by protocol officers(nadhani unaelewa maana yake).Wanasiasa wa Tanzania ni wezi mno,kila upande na wananchi wa kawaida ni watoa na wapokeaji rushwa mno!
Kwa hiyo,hayo mambo ya kugovern unayoniambia hayana msingi kwao,hata wapinzani wakichukua nchi(Trust me,it's hard) hamna cha maana sana watachokifanya.Wakati nipo chuo kikuu tulikuwa tunasukuma gari la mrema kwa mikono yetu kwa kilomita karibu tatu....nikikumbuka sasa nacheka sana.

Sasa nini unafikiri ni suluhisho? Maana hatuwezi kukaa tukisema "hata wapinzani wakipewa nchi bado mambo yatakuwa yaleyale", sentensi kama hizi zinaonyesha kukata tamaa na mwisho wa kufikiri kuwa hatuwezi kutatua matatizo yetu wenyewe, kitu ambacho si kweli.
 
Inaelekea JK hakuwa anajua kuwa ndani ya CC kulikuwa na waliokuwa wanataka kutenganisha kofia ya urais na uenyekiti; kashtuka sana na kuchukua maamuzi.

Wakuu hali ni tete ndani ya Dodoma sasa, kuna hatari endapo wale wanaotuhumiwa kwa ufisadi ambao wanatakiwa kuondoka ndani ya chama wakifurukuta zaidi mambo yakawa mabaya zaidi

yawe mabaya tu,,,, chama kifariki,tumkabidhi dr. Wa ukweli nchi,, akina majimshindo, kobello, na wengine wote cjui watakimbilia wapi kwa aibu...
 
Mkakati wa baadhi ya wajumbe ndani ya CC ni Lowassa awe Mwenyekiti; wana mpango wa kuhakikisha anakuwa Zuma wa Tanzania
 
Kwa vile ulikuwa raised na viongozi wezi unafikiri kila mtu ni mwizi.
kwa mawazo yako unafikiri Tanzania haitakuja pata viongozi wazalendo kamwe, kuna nchi zilikuwa masikini wa kutupwa kwa sababu ya viongozi wake kudhani ni wao tu waliozaliwa kuongoza lakini zilipopata viongozi wazalendo mambo yalibadilika, think of China, Hong kong, Kenya, SA etc.
Nani kakwambia nimekuzwa na viongozi wezi?....nimesema protcol officers ambao wala sio viongozi na pia sio matajiri kama unavyofikiria,hizo nchi ulizotaja kuna kiongozi gani mpya kabla ya wao kupata uhuru?Si wale wale tu?....
 
Inaelekea JK hakuwa anajua kuwa ndani ya CC kulikuwa na waliokuwa wanataka kutenganisha kofia ya urais na uenyekiti; kashtuka sana na kuchukua maamuzi.

Wakuu hali ni tete ndani ya Dodoma sasa, kuna hatari endapo wale wanaotuhumiwa kwa ufisadi ambao wanatakiwa kuondoka ndani ya chama wakifurukuta zaidi mambo yakawa mabaya zaidi

Wacha watenganishe, majukumu haya mawili hayaendani, wewe siku nzima rais wa JMT amekaa na mafisadi kwenye shuguli za chama, mambo ya chama awaachie wale wasio na wadhifa serikalini, yeye na cabinet waendeshe serikali na nchi yetu bila kujaza siasa
 
Nani kakwambia nimekuzwa na viongozi wezi?....nimesema protcol officers ambao wala sio viongozi na pia sio matajiri kama unavyofikiria,hizo nchi ulizotaja kuna kiongozi gani mpya kabla ya wao kupata uhuru?Si wale wale tu?....Hebu ondoa pumba zako zinazotokea makalioni mwako dunya wee!

kobelo punguza jazbaaaaaa
 
Mkakati wa baadhi ya wajumbe ndani ya CC ni Lowassa awe Mwenyekiti; wana mpango wa kuhakikisha anakuwa Zuma wa Tanzania

Usanii wa hali ya juu. Inakuwa vipi Lowasa awe kwenye kundi la watuhumiwa wa rushwa na hapohapo apewe madaraka na kamati inayotaka tuamini iko against ufisadi?!!
 
Namnukuu:

Hatuwezi kuacha jukumu la kugharamia uendeshaji wa Chama chetu mikononi mwa wafadhili matajiri. Tunahatarisha uhuru wa Chama chetu.

Chama cha Mapinduzi kiige tabia ya nyoka ya kila baada ya muda fulani hujivua gamba lake na kupata jipya. Hatuna budi kufanya hivyo na kufanya hivyo sasa. Wakati wa vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya Taifa vya tathmini tutalijadili pia suala zima la mageuzi katika Chama. Nitapenda tuelewane juu ya namna tutakavyotekeleza agenda hii muhimu kwa uhai na maendeleo ya Chama chetu. Hili ndugu zangu haliepukiki.

Lazima tukihuishe ili kukiongezea mvuto mbele ya watu. Tuutazame muundo wetu kama unakidhi haja. Tuwatazame viongozi watendaji kama wanakidhi haja na kama siyo mzigo unaokipaka matope Chama chetu. Wale tunaoweza kuachana nao sasa tuachane nao kwa maslahi mapana ya Chama chetu.
 
Bahati gani kama Lowasa atawania u rais na W.S wa CDM. CCM ANAZO SIFA ZINAZOWAGUSA WATZ WOTE hata watoto wa chekechea wanamjua. Wanamapinduzi tunamtaka Lowasa 2015.
 
Confirmed, Kikwete kavunja CC na Sekretarieti muda si mrefu. Nimeithibitisha toka kwa source mmoja ndani ya CCM
 
Confirmed, Kikwete kavunja CC na Sekretarieti muda si mrefu. Nimeithibitisha toka kwa source mmoja ndani ya CCM

Inamaana mwenyekiti ndiye mwenye mamlaka ya kuunda/kuvunja CC?.....kazi ipo, acha tu amwage ugali wenzake watamwaga mboga!
 
Back
Top Bottom