Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

Unajua Kobello ukiliangalia hili kwa mtazamo wa CCM vs CDM utakuwa hujalitendea haki. Suala hapa ni CCM inavyojaribu kurudisha mvuto kwa wananchi. Mtazamo wangu ni kwamba wamepoteza mvuto kwa sababu wana viongozi wabovu. Jukumu la kuhakikisha kuwa pesa nyingi zinaenda kwenye uzalisha na siyo ulaji ni la serikali na hivyo Kikwete anawajibika moja kwa moja. Au yeye aliwapa wabunge marupurupu makubwa ili wanyamaze au apate kisingizio? CCM wanatakiwa kutofautisha kati ya Campaigning na Governing. Ukishachaguliwa unaoondoka kutoka kwenye kukampeni na unaenda kugovern watu pamoja na resources.
Babu,mambo ya serikali nayajua sana!..sio kuringa ila my whole life I was raised by protocol officers(nadhani unaelewa maana yake).Wanasiasa wa Tanzania ni wezi mno,kila upande na wananchi wa kawaida ni watoa na wapokeaji rushwa mno!
Kwa hiyo,hayo mambo ya kugovern unayoniambia hayana msingi kwao,hata wapinzani wakichukua nchi(Trust me,it's hard) hamna cha maana sana watachokifanya.Wakati nipo chuo kikuu tulikuwa tunasukuma gari la mrema kwa mikono yetu kwa kilomita karibu tatu....nikikumbuka sasa nacheka sana.
 
tusipoteza muda cc yote pale ni ufisadi mtupu, tukumbuke list of shame ya dr slaa, hawa wezi wote.
Muulizeni huyo Slaa ni miswada mingapi yeye akiwa kama mbunge aliitolea shilingi na mingapi aliipigia kura ya ndio?.....It's so easy to know these people if you look at their voting records,something that most fanatics here don't have access to!...angalia watu walioupigia kura muswaada wa madini wa 1998 na walioukataa.
 
Sawa kabisa ila tu pale chini waonyeshe kukiri kwa kuonyesha kuazima wazo PhD kwa kuonyesha kunukuu kutoka CHADEMA et al, hadi hapo hakuna kudakwa plagiarism au kule KUDESA sawa na CCM ilivyofanya kwa Muswada wa Katiba kutoka Kenya Moi et al.

....si dhambi ku-copy na ku-pest mambo mazuri ni ishara ya kuelimika!!!!
 
Tangu Kikwete akamate uenyekiti wa chama, vikao vingi vikuu vimeshindwa kuheshimu ratiba au muda uliopangwa.

Ili tatizo linatokana na nini?

Kwa wale ambao tumepata fursa ya kuongoza vikao na hasa vile ambavyo huwa na michango kutoka kwa wajumbe mbalimbali

mtakubaliana nami kuwa umahiri wa mwenyekiti ni muhimu sana katika kuhakikisha agenda na muda unazingatiwa

si rahisi kila mtu kuzungumza namna atakavyo.

Nafikiri kwa hili mwenyekiti wa CCM na CC wanahitaji darasa
 
RA kwa kweli ameitesa nchi hii. EPA yumo kupitia Kagoda alipopora mabilioni yetu.Eti mjumbe wa CC ya chama tawala lakini anasimamia waziwazi malipo ya ujanja ujanja na ya kifisadi sana ya DOWANS ya mabilioni ya pesa za Watanzania. Hayo ni yale yaliyoibuliwa tu.Mtu kama huyu ni wazi anatutesa sana.Asamehewe na wana CCM lakini naamini Watanzania hatuna msamaha naye.
 
Babu,mambo ya serikali nayajua sana!..sio kuringa ila my whole life I was raised by protocol officers(nadhani unaelewa maana yake).Wanasiasa wa Tanzania ni wezi mno,kila upande na wananchi wa kawaida ni watoa na wapokeaji rushwa mno!
Kwa hiyo,hayo mambo ya kugovern unayoniambia hayana msingi kwao,hata wapinzani wakichukua nchi(Trust me,it's hard) hamna cha maana sana watachokifanya.Wakati nipo chuo kikuu tulikuwa tunasukuma gari la mrema kwa mikono yetu kwa kilomita karibu tatu....nikikumbuka sasa nacheka sana.
Kwa vile ulikuwa raised na viongozi wezi unafikiri kila mtu ni mwizi.
kwa mawazo yako unafikiri Tanzania haitakuja pata viongozi wazalendo kamwe, kuna nchi zilikuwa masikini wa kutupwa kwa sababu ya viongozi wake kudhani ni wao tu waliozaliwa kuongoza lakini zilipopata viongozi wazalendo mambo yalibadilika, think of China, Hong kong, Kenya, SA etc.
 
Mkuu kwa maoni yangu kinachoendekea ndani ya kikao hicho ni usanii tu. Kikwete kama Mwenyekiti wa Chama alikuwa na nafasi nzuri sana ya kuwafukuza mafisadi ndani ya chama hicho akina Mkapa, Yona, Lowassa, Chenge, Rostam na wengine mara tu kulipokuwa na ushahidi wa kutosha dhidi ya watu hawa kufuatilia ufisadi wa rada, Kiwira, Richmond/Dowans, ununuzi wa ndege ya Rais n.k. lakini hakuwa na ubavu wa kufanya hivyo maana yeye mwenyewe ana madudu yake ambayo wenzie wanayafahamu hasa mabilioni ya mafisadi yaliyomsadia yeye na kundi lake la mtandao katika kumchafua SAS ili kuhakikisha CCM inamteua kama mgombea wa CCM. Hivyo sidhani kama kutakuwa na jipya zaidi ya usanii tuliozoea ndani ya chama hicho miaka nenda miaka rudi.
 
Mugumu alisema angeleta hapari mpya zilizojiri toka saa 11 na sasa inaelekea saa 2 na nusu. Vipi hauna blackberry mkuu?
 
Mkuu kwa maoni yangu kinachoendekea ndani ya kikao hicho ni usanii tu. Kikwete kama Mwenyekiti wa Chama alikuwa na nafasi nzuri sana ya kuwafukuza mafisadi ndani ya chama hicho akina Mkapa, Yona, Lowassa, Chenge, Rostam na wengine mara tu kulipokuwa na ushahidi wa kutosha dhidi ya watu hawa kufuatilia ufisadi wa rada, Kiwira, Richmond/Dowans, ununuzi wa ndege ya Rais n.k. lakini hakuwa na ubavu wa kufanya hivyo maana yeye mwenyewe ana madudu yake ambayo wenzie wanayafahamu hasa mabilioni ya mafisadi yaliyomsadia yeye na kundi lake la mtandao katika kumchafua SAS ili kuhakikisha CCM inamteua kama mgombea wa CCM. Hivyo sidhani kama kutakuwa na jipya zaidi ya usanii tuliozoea ndani ya chama hicho miaka nenda miaka rudi.

Usisahau ni Kikwete aliyetuingiza mkenge IPTL
 
Yes huu ni usanii na napenda waendelee na usanii huu kwa sababu unasaidia wananchi kuamka, mimi kwa maoni yangu kadri CCM wanavyoendeleza usanii ndivyo ukombozi unavyokaribia kinyume chake ukiona wako serious ndio ukombozi unavyokuwa mbali. Mfano wakimtosa RA au Makamba leo watawachanganya wananchi lakini wakiwaacha wananchi watakuwa na chaguo moja, kwa sababu Makamba na kampuni yake wanasaidia zaidi kambi ya upinzani kuliko wanavyoisaidia CCM.
 
Hivi na nyie wenzangu kumbe mnaumwa vichwa hivvi; huyu JK mzee wa KITENESI kwa kila gawio la ufisadi wowote nchini apate ubavu kumfukuza FISADI yeyote kutoka CCM aringeee????????????????

Mbona wote wote tu wataanza kumzodoa na kila mmoja kuanika hadharani vyakunyonga vilinavyoendelea kutafunwa mgongoni mwetu nchini???????????

Mkuu kwa maoni yangu kinachoendekea ndani ya kikao hicho ni usanii tu. Kikwete kama Mwenyekiti wa Chama alikuwa na nafasi nzuri sana ya kuwafukuza mafisadi ndani ya chama hicho akina Mkapa, Yona, Lowassa, Chenge, Rostam na wengine mara tu kulipokuwa na ushahidi wa kutosha dhidi ya watu hawa kufuatilia ufisadi wa rada, Kiwira, Richmond/Dowans, ununuzi wa ndege ya Rais n.k. lakini hakuwa na ubavu wa kufanya hivyo maana yeye mwenyewe ana madudu yake ambayo wenzie wanayafahamu hasa mabilioni ya mafisadi yaliyomsadia yeye na kundi lake la mtandao katika kumchafua SAS ili kuhakikisha CCM inamteua kama mgombea wa CCM. Hivyo sidhani kama kutakuwa na jipya zaidi ya usanii tuliozoea ndani ya chama hicho miaka nenda miaka rudi.
 
Huko CCM ni usanii mtupu. Hata taarifa ya habari ya usiku huu hakuna hata dondoo juu ya yaliyojiri Idodomya.

Nchi hii inahitaji ukombozi kutoka makucha ya vibaka - CCM na vibaraka wao wenye ilmu ya chuo kabla ya primary education.
 
Mkuu kwa maoni yangu kinachoendekea ndani ya kikao hicho ni usanii tu. Kikwete kama Mwenyekiti wa Chama alikuwa na nafasi nzuri sana ya kuwafukuza mafisadi ndani ya chama hicho akina Mkapa, Yona, Lowassa, Chenge, Rostam na wengine mara tu kulipokuwa na ushahidi wa kutosha dhidi ya watu hawa kufuatilia ufisadi wa rada, Kiwira, Richmond/Dowans, ununuzi wa ndege ya Rais n.k. lakini hakuwa na ubavu wa kufanya hivyo maana yeye mwenyewe ana madudu yake ambayo wenzie wanayafahamu hasa mabilioni ya mafisadi yaliyomsadia yeye na kundi lake la mtandao katika kumchafua SAS ili kuhakikisha CCM inamteua kama mgombea wa CCM. Hivyo sidhani kama kutakuwa na jipya zaidi ya usanii tuliozoea ndani ya chama hicho miaka nenda miaka rudi.
<br />
<br />

Duh! Naye alitakiwa ajifukuze kwani kashifa zingine zilipita na kupata baraka za baraza la mawaziri ambamo naye alikuwa mjumbe. Hivi huko ndani ya ccm kuna kiongozi anaweza kumfunga mwenziye kitanzi ambacho yeye hatastahili kufungwa.
Naota kama hakuna tena hakuna kabisa, wote wamedoda
 
CCM kujivua gamba ni kama kujichuna ngozi, wata toka damu mpaka wafe, na ndio itakua mwisho wa chama, ufisadi upo "embedded" ndani ya chama ni kama cancer ambayo hujui imekua kiasi gani, inaweza ikawa sehemu ndogo tu, au mguu mzima, au imesambaa mwili mzima....
 
Natamani kuwa mamluki na mchimba kaburi la CCM ili tuizike ikalale pabaya peponi pale itakaposambaratika. Wavae magamba au wajivue magamba ni lazima wauawe kikatili kwa hasira za wananchi.
 
JK kishaivunja Sekretarieti na muda si mrefu ataivunja kamati kuu na kuiunda upya
 
Back
Top Bottom