Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

Mkuuuu hilo ni kweli lakini adui mkubwa wa ccm ni UFISADI!
 
Chama hakizaliwi upya lakini ni vizuri kumtakia mema JMK kwa juhudi zake.
 
lazima niende aisee... Makamba is finally laid to rest!! he was useless
 
Mwanajf, kuna taarifa zimenifikia hivi punde zikisema kuwa Mhe.Samuel Sitta amepita katika mchakato wa kuwa Katibu Mkuu wa CCM kuchukua nafasi ya Bw.Makamba.Uamuzi wa kumchukua Ndugu Sitta umetokana na umahiri wake katika kupiga vita ufisadi na pia uzalendo alionao kwa nchi yake.Itakumbukwa alipo kuwa Spika wa Bunge aliweza kuliendesha Bunge kwa "Speed and Standards",kitu ambacho kilimfanya akubalike hata kwa wananchi wa kawaida.
Lakini pia uteuzi huo utakifanya chama hicho kupata Katibu Mkuu Mtendaji ambaye atavunja makundi yaliyopo ndani ya chama hicho hivi sasa.Sitta amefanikiwa kuwadondosha makada wenzake kama Jaka Mwambi,Wilson Mukama n Lukuvi.
Ngoja kwanza........kwa hiyo siyo Mukama? Kikao kinaisha lini ili hizi tetesi ziishe?
 
Wanajf

Baada ya kufanya kazi kubwa ya kukisafisha Chama sasa hivi kinaanza kumeremeta

Nakumbushia mkoa wa DAR es salaam kuandaa maandamano makubwa ya kumpokea na kumpongeza

Hata wanaJF wenye mapenzi mema na JK na MUkama kuwapa nguvu maana TANzania inazaliwa upya

Tanzania inazaliwa upya Thanks Jakaya

Ni kweli unachomaanisha au umepitiwa weye? Tanzania?
 
Kwa heri Makamba karibu New CCM in old bottle! Ngoja nipate chapati nitarudi punde......
 
Hivi Chiligati, Mkuchika na Membe nao ni Mafisadi mpaka tuseme chama kimesafishika!!! Kifo cha CCM!!
 
nafikiri angekuwa ameisafisha serikali hapo angalau maandamano yangefaa,
 
akitaka asafishe kweli itabidi fagio lipite ikulu na serikalini kwa kuwaondoa vibaraka wa RA wakiwemo "waziri wa tanesco" na "mchapa barua wa ikulu"
 
Ni vizuri kubadili uongozi pale mambo yanapokwenda mrama ila kwa hili la ccm bado kazi ni nzito.JK aisafishe serikali yake kwa ujumla.Ameanza na chama chake,sasa aingie ndani zaidi manake uozo ni mkubwa ambao unazidi kumtesa JK,lakini tutaendelea kupambana mpaka mabadiliko ya kweli yaonekane.
 
Tusisumbue watu kuwaomba wawepo kwenye maandamano, kwani RA sijaona kwma kaenguliwa, Chenga/Chenge sijasikia km kaondoka, hawa ndiyo harufu mbaya inatoka kwao, maamuzi magumu sijayaona, bado ambayo JK ameyafanya kwani Manyuzi si mbaya sn kuliko huyo Imukama wao, kwani maandamano tutayafanya km katiba itafanywa kwa uhuru wa kweli na uwazi bila kuwakandamiza baadhi ya watu.
No need to go.
 
A real attention seeker! Wanawake wakiwezeshwa hawawezi kwa ubongo huu unless wawe naturally briliant vingivevyo ni kuwa wa kuwapongeza tu waheshimiwa hata wanapokula mashudu ya wanyama.
 
akitaka asafishe kweli itabidi fagio lipite ikulu na serikalini kwa kuwaondoa vibaraka wa RA wakiwemo "waziri wa tanesco" na "mchapa barua wa ikulu"

Sure.
Uchafu wa sisiemu ni nje na ndani ya chama, kama wanataka kujisafisha basi wasiache watendaji wa serikali ambao ni watii kwa mafisadi, akiwemo domokaya wa ikulu. Kuwatosa mafisadi pekee will not help 'em that much!
 
Nawasalimu wanaJF.kuna taarifa isiyokuwa rasmi kuwa Nape nnauye anaweza kuwa katibu mwenezi wa ccm,kama taarifa hizi ni za kweli basi hizi zitakuwa jitihada maalum za ccm kuhakikisha wanarudisha hadhi ya chama mbele ya vijana(kujivua gamba) kwani vijana ndio wapiga kura wajao.
Je kwa maoni yako unadhani Nape ana mvuto kwa vijana kiasi cha kubadilisha sura ya ccm kwa jamii haswa vijana?
 
Hamna walichokifanya amewaondoa wasio na hatia wamewaacha mafisadi,mkwele anataka sherehe tu si ni utamaduni wa kwao...wasubiri maandamano ya katiba tar 16
 
Tusisumbue watu kuwaomba wawepo kwenye maandamano, kwani RA sijaona kwma kaenguliwa, Chenga/Chenge sijasikia km kaondoka, hawa ndiyo harufu mbaya inatoka kwao, maamuzi magumu sijayaona, bado ambayo JK ameyafanya kwani Manyuzi si mbaya sn kuliko huyo Imukama wao, kwani maandamano tutayafanya km katiba itafanywa kwa uhuru wa kweli na uwazi bila kuwakandamiza baadhi ya watu.
No need to go.


Ni kweli mkuu; Siku RA, EL na Chenge watakapoenguliwa nitahamasisha maandamano na kubeba bango la kumpongeza Jakaya.
Bila hivyo ni KIINI MACHO TU. wameletwa wajenga hoja wazuri kutetea UFISADI!!!!
 
Back
Top Bottom