Mukama katulia sana alikuwa utendaji wake si wa kubwabwaja ni msomi anapenda kujibu hoja alikuwa JIJI THEN katibu mkuu afya then katibu mkuu maji mpaka akastaafu.akateuliwa na rais kuwa mkurugenzi wa bodi habari.na amehusika sana kutunga ilani ya ccm 2010-2015 hivyo watu wenye bongo zao wanarudi chamani pia ni mtu wa system.
..kinana ni mtu wa karibu sana na edward lowassa.
..haya mabadiliko ni kama yamefanywa na lowassa kwa kutumia remote control.
Mkuu Niweze, umegubikwa na ugonjwa unoitwa "u-coconut" kwa chama chako.Hata madudu yake huyaoni wala husikii, ni kama mtu aliye katika mapenzi.Hata hivyo vyama vingine vimetoa changamoto nzuri sana na hatimaye CCM kuamka toka usingizi wa pono.Are you serious? Kuna wanaojali watanzania ndani ya hili shirika la majasusi? Pole kwa kuwa na hope ya ccm na ufisadi wao. Jitihada zako elekeza mahali unapojua kuna hope sio ulioyaona. Hujui historia ya ccm na unamategemea itatoka shimoni ili wakutawale tena. Please man.
Mwanajf, kuna taarifa zimenifikia hivi punde zikisema kuwa Mhe.Samuel Sitta amepita katika mchakato wa kuwa Katibu Mkuu wa CCM kuchukua nafasi ya Bw.Makamba.Uamuzi wa kumchukua Ndugu Sitta umetokana na umahiri wake katika kupiga vita ufisadi na pia uzalendo alionao kwa nchi yake.Itakumbukwa alipo kuwa Spika wa Bunge aliweza kuliendesha Bunge kwa "Speed and Standards",kitu ambacho kilimfanya akubalike hata kwa wananchi wa kawaida.
Lakini pia uteuzi huo utakifanya chama hicho kupata Katibu Mkuu Mtendaji ambaye atavunja makundi yaliyopo ndani ya chama hicho hivi sasa.Sitta amefanikiwa kuwadondosha makada wenzake kama Jaka Mwambi,Wilson Mukama n Lukuvi.
Wilson Mukama ni mkorofi na mkali ila sijui kama ukorofi wake na ukali utasaidia kuwakemea na kuwatisha mafisadi
hata siku moja sitta hawezi kuwa katibu mkuu