Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,377
whatever they do ccm is out of favour hata wakitupigia magoti hatuwezi kurudi nyuma. lazima ccm iondoke madarakani, wezi wakubwa hawa.
Muulizeni huyo Slaa ni miswada mingapi yeye akiwa kama mbunge aliitolea shilingi na mingapi aliipigia kura ya ndio?.....It's so easy to know these people if you look at their voting records,something that most fanatics here don't have access to!...angalia watu walioupigia kura muswaada wa madini wa 1998 na walioukataa.
Wanaounga mkono hoja kwa pamoja tuseme YEIII...YEIIIIIII, haya wanaopinga hoja waseme NEHI...NEHIII! Waheshimiwa wabunge, muswada umepita, pigeni makofi kwenye mabenchi, pwa pwa pwa...tena... pwa pwa pwa! You talking bout voting records??Mazee hilo la voting records za wabunge nishaliongelea, muhimu kweli.
Mwenzetu unapata wapi voting records za wabunge?
JK kishaivunja Sekretarieti na muda si mrefu ataivunja kamati kuu na kuiunda upya
Wana CCM naomba mnisaidie, maana naona kuna watu wanaweza kuwa wanashangilia mafisadi kuvuliwa nyadhifa zao ndani ya Chama na kumbe uvuliwaji huo umefanyika kimakosa.
Kulingana na Katiba ya CCM ni nani au kikao gani chenye maamuzi ya kumvua kiongozi wa CCM uongozi kwenye ngazi ya Kamati Kuu au NEC?
Chenge alikuwa Mjumbe wa CC kwa kigezo kwamba alipata kura nyingi kwenye uchaguzi wa wajumbe wa NEC kupitia vile viti 20 vya Bara. Je, replacement yake itafanyika vipi?
RA aliingia kwenye CC kwa njia ipi? AU ndio wale wateule wachache wa Mwenyekiti?
Kama Kamati Kuu imevunjwa, je ilivunjwa baada ya kuwavua uongozi hao watuhumiwa?
Mantiki ya kuvunja CC iko wapi? Maana wajumbe wengi wanaingia huko kwa Nyadhifa zao mfano, wenyeviti wote wa Jumuiya za Chama, Spika, Makamu Mwenyekiti Bara na Visiwani, Katibu Mkuu, nadhani na manaibu wake wa Bara na Visiwani. Waliobaki wengine akina Mkapa, Mwinyi na wengineo kibao wanaingia kwa kuwa walishawahi kuwa viongozi wa kitaifa wa CCM.
Je, kuvunja CC sasa hivi ina maana kwamba Kikwete ataleta sura mpya ndani ya CC? Atazipataje na ilihali uchaguzi wa CCM ni mwakani?
Hapo sioni kama JK ametatua mgogoro wa CCM, tatizo siyo Lowassa, RA na Chenge, tatizo ni kundi zima lililo nyuma ya hao mafisadi na hao ndio wamekuwa vinara wa kuongoza utetezi dhidi ya mafisadi na hao ndio waliojaa kwenye NEC. Ngoja tusubiri kesho.
Kama NEC ikibariki hayo maamuzi, basi tusubiri vita kuu ndani ya CCM, hakuna atakayepona. Vita vya panzi ni furaha ya kunguru, wapinzani kazeni buti Ikulu inazidi kuwa wazi na hili limetokea kipindi kizuri sana, inawezekana kabisa wabunge wa CCM wanaweza kuungana na wabunge wa upinzani kuupinga mswaada wa Katiba Mpya, maana hawajui kesho watakuwa wapi.
Kikwete aliingia madarakani kwa siasa za makundi akisaidiwa na ufisadi wa EPA ambao ulimpa fedha za kampeni. Ni makundi hayo hayo na ufisadi huo huo ndio ambao utasababisha CCM imfie mikononi mwake.
Hapa ndio tuna-mmisi sana Mzee wa data za CC ,FMES
Kiby unawatafuta watu maneno??? Kuna watu wanaishi,wanapumua na wanadunda kwa ajili ya Thithiemu.......Hivi wajameni kama mafisadi wakiamua kumpindua jk kutoka katika uenyekiti wa chama kuna kosa la uhaini hapo?
Kama sii kosa la uhaini, mie naomba watengeneze huo mkakati ili kuwe na uwezekano wa hili lichama kufa mapema zaidi.
Kwani nani analipenda bana?
.
- Wakulu tupo pamoja sana, hali sio shwari Dodoma the dataz ni makundi ndani ya CCM yakirushiana mawe, lakini kundi lenye nguvu ya kushika Urais 2015 ndilo linaloelekea kushinda.
- Mafisadi time is up, wameshikwa pabaya sasa maana hawana pa kupitia tena Six holds the big key to the changes which are coming ndani ya CCM kutoka hiki kikao!
......Stay Tuned.....!
FMes! - Wazee Wa Sauti Ya Umeme!
<br />Hili hawaja Copy and Paste kweli kutoka CDM kutumia ma-consultants kwenye mambo ya kitaalam kuliko kutumia mawazo ya miaka ya 47????????
Please tell me its a joke....please please say you are kiddingNi mwezi february tu RA ameikopesha dola pesa za kuwalipa civil servants kwani HAZINA ilikuwa nyeupeee, hayaniingii akilini kwa haya mabadiliko yanalenga nn hasa. Iwapo ni kweli constructive changes basi kuna mabomu yenye mitikisiko kulipuliwa na waliotolewa kafara.
- Wakulu tupo pamoja sana, hali sio shwari Dodoma the dataz ni makundi ndani ya CCM yakirushiana mawe, lakini kundi lenye nguvu ya kushika Urais 2015 ndilo linaloelekea kushinda.
- Mafisadi time is up, wameshikwa pabaya sasa maana hawana pa kupitia tena Six holds the big key to the changes which are coming ndani ya CCM kutoka hiki kikao!
......Stay Tuned.....!
FMes! - Wazee Wa Sauti Ya Umeme!
- Wakulu tupo pamoja sana, hali sio shwari Dodoma the dataz ni makundi ndani ya CCM yakirushiana mawe, lakini kundi lenye nguvu ya kushika Urais 2015 ndilo linaloelekea kushinda.
- Mafisadi time is up, wameshikwa pabaya sasa maana hawana pa kupitia tena Six holds the big key to the changes which are coming ndani ya CCM kutoka hiki kikao!
......Stay Tuned.....!
FMes! - Wazee Wa Sauti Ya Umeme!