Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

Haingii akilini kuwa kama wamevuliwa uongozi mwingine wa CCM kutoka nafasi nyingine kutokana na uzito wa tuhuma dhidi yao kwanini wanabakia kuwa Wabunge? Kwanini sababu zilizowafanya wavuliwe uongozi mwingine zisiwe sababu za kuwavua Ubunge kwa kuwavua uanachama?

Ibara ya 71(1)(e) ya Katiba inasema kuwa Mbunge atakoma kuwa Mbunge na ataacha kiti chake ikiwa Mbunge ataacha kuwa mwanachama wa chama alichokuwamo wakati alipochaguliwa au alipoteuliwa kuwa Mbunge. Pia ibara ya 71(1)(e) inasema ikiwa litatokea jambo lolote ambalo, kama asingekuwa Mbunge lingemfanya asiwe na sifa za uchaguzi au apoteze sifa za uchaguzi au asiweze kuchaguliwa au kuteuliwa kwa mujibu wa masharti ya Katiba hii [Emphasis added]
 
nataka chama kife kabisa. ila vyma vyote vikongwe vilikufa kwa muundo km huu
 
Wana CCM naomba mnisaidie, maana naona kuna watu wanaweza kuwa wanashangilia mafisadi kuvuliwa nyadhifa zao ndani ya Chama na kumbe uvuliwaji huo umefanyika kimakosa.

Kulingana na Katiba ya CCM ni nani au kikao gani chenye maamuzi ya kumvua kiongozi wa CCM uongozi kwenye ngazi ya Kamati Kuu au NEC?

Chenge alikuwa Mjumbe wa CC kwa kigezo kwamba alipata kura nyingi kwenye uchaguzi wa wajumbe wa NEC kupitia vile viti 20 vya Bara. Je, replacement yake itafanyika vipi?

RA aliingia kwenye CC kwa njia ipi? AU ndio wale wateule wachache wa Mwenyekiti?

Kama Kamati Kuu imevunjwa, je ilivunjwa baada ya kuwavua uongozi hao watuhumiwa?

Mantiki ya kuvunja CC iko wapi? Maana wajumbe wengi wanaingia huko kwa Nyadhifa zao mfano, wenyeviti wote wa Jumuiya za Chama, Spika, Makamu Mwenyekiti Bara na Visiwani, Katibu Mkuu, nadhani na manaibu wake wa Bara na Visiwani. Waliobaki wengine akina Mkapa, Mwinyi na wengineo kibao wanaingia kwa kuwa walishawahi kuwa viongozi wa kitaifa wa CCM.

Je, kuvunja CC sasa hivi ina maana kwamba Kikwete ataleta sura mpya ndani ya CC? Atazipataje na ilihali uchaguzi wa CCM ni mwakani?

Hapo sioni kama JK ametatua mgogoro wa CCM, tatizo siyo Lowassa, RA na Chenge, tatizo ni kundi zima lililo nyuma ya hao mafisadi na hao ndio wamekuwa vinara wa kuongoza utetezi dhidi ya mafisadi na hao ndio waliojaa kwenye NEC. Ngoja tusubiri kesho.

Kama NEC ikibariki hayo maamuzi, basi tusubiri vita kuu ndani ya CCM, hakuna atakayepona. Vita vya panzi ni furaha ya kunguru, wapinzani kazeni buti Ikulu inazidi kuwa wazi na hili limetokea kipindi kizuri sana, inawezekana kabisa wabunge wa CCM wanaweza kuungana na wabunge wa upinzani kuupinga mswaada wa Katiba Mpya, maana hawajui kesho watakuwa wapi.

Kikwete aliingia madarakani kwa siasa za makundi akisaidiwa na ufisadi wa EPA ambao ulimpa fedha za kampeni. Ni makundi hayo hayo na ufisadi huo huo ndio ambao utasababisha CCM imfie mikononi mwake.
 
Bado ina hold hiyo logic. Wakiwanyang'anya kadi basi wamewavua na ubunge wenyewe ila hao jamaa wakigombea na yoyote katika majimbo yao watashinda tu. Dawa unachukua kadi kisha unawatanguliza mahakamani wa makosa yasiyo na dhamana kama uhaini au uhujumu uchumi. Ingawa kimsingi itakuwa ni ujenzi wa Udikteta

Kwenye siasa huwa wanaamini kuwa kama wananchi waliwachagua then may be was bcoz walikuwa wamepitishwa na CCm, sio kwa sifa zao binafsi! So ukiwafukuza kabisa then wananchi hawatachagua tena wateule wa CCM
 
Ni mwezi february tu RA ameikopesha dola pesa za kuwalipa civil servants kwani HAZINA ilikuwa nyeupeee, hayaniingii akilini kwa haya mabadiliko yanalenga nn hasa. Iwapo ni kweli constructive changes basi kuna mabomu yenye mitikisiko kulipuliwa na waliotolewa kafara.

Wakati wa ajali kila mtu huhangaika na roho yake; hakuna anayejua what is happening na kila moja kwa panic anakimbiza nafsi yake siyo kwamba kawatosa imebidi iwe hivyo maana giza kuu limetanda na chombo kina karibia kuzama sasa hapo ujasiri wa nahodha azame na chombo ama aokoe nafsi yake aache abiria waangamie. Again I say no one knows exactly what is happening wangojee tu gravity iwapeleke itakapo wa dump lakini hakuna kurudi Tanzania hiyo inakimbilia destiny yake kwa kasi ya ajabu.

Wengi wanadharau uwezo wa Mungu wakati huu acha evangelist niwakate shule ili muelewe kuwa yuko Mungu aliye hai naye akisema basi ni kweli inakuwa! Kwa mara nyingine tena nawaomba wale wenye imani kati ya mafisadi tengenezeni mambo yenu hii reaction ni uni-directional and very sponteneous hamuwezi kui counter ract mtapata surprises tu na kuwa bombaded every side msijue mshike lipi muache lipi.
 
Kwa uzoefu wetu wengine TUKIO lo lote lina after effect. Kwa mfano Tsunami ya Japan imefuatiliwa na mpasuko wa vinu vya nuklia etc. Kwa hili la maamuzi ya CCM tusubiri after effect wala tusiweke wishfull thinking; kitakachofuata kitatuweka baadhi yetu midomo wazi. Suala la msingi nchi na wananchi watanufaika na nini? Inawezekana kabisa ni mkakati maridhiwa wa kundi fulani ndani ya ccm kujiimarisha. Tujitayarishe kwa lo lote ikiwezekana tuanze kujipangia mikakati mbadala kukabiliana na yajayo.

Kiustarabu kama ni kwa manufaa ya nchi na wananchi tuunge mkono hata kwa hali tu.

Naomba nikutoe hofu tena wewe kaa na amani hakuna baya kwa taifa ila baya kama wewe ni fisadi kama siyo basi ukae kwa amani na utulivu!
 
1 Thessalonians 5:3

For when they are saying, "Peace and safety," then sudden destruction will come on them, like birth pains on a pregnant woman; and they will in no way escape.

1 Wathesalonike 5:3

Watu watakapokuwa wanasema: "Kila kitu ni shwari na salama" ndipo uharibifu utakapowaangukia ghafla! Mambo hayo yatatukia ghafla kama uchungu wa uzazi unavyomjia mama anayejifungua, wala watu hawataweza kuepukana nayo.
‬
 
JK anaonekana kuwa na hasira tokana na kinachoendelea ndani ya chama, Rostam kaomba radhi kuwa endapo kuna sehemu kakosea basi wamsamehe
Wala asisamehewe huyu na mwenzake Mamvi wao ndio wameiyumbisha nchi,ujitaka kuua nyani usimwangalie usoni,katufanye wote wajinga sasa ni muda wa JK kuonyesha mamlaka aliyonayo na tuone tena kama kutakuwa na EPA baada ya hao wawili kutosha,Rostamu kwa kishtaki Tanesco wakati anajua amefanya hila ni sawa na mtu kmhujuma ndugu yake na baadaye ambabikizie kesi,haiwezekani RA lazima atoswe,na tuone u DON wao,wanajitapa kuwa wao ni Omega na Alfa
 
tatizo la ccm siyo lowasa,ra na mafisadi wengine waliojaa huko. tatizo ni mfumo ambao umekigeuza hicho chama kuwa chama dola! bila kupambana na huo mfumo ccm haiwezi safishika. na wala haitafishika ikiwa madarakani. tutakapowaondoa hawa watu madarakani ndipo watapata muda wa kujisafisha.maana wengi wa viongozi wao ambao wako huko ili kupata pesa na madaraka watawakimbia pindi chama kitakapoondolewa madarakani.kwamba eti mwenyekiti wao anaweza fanya mageuzi ya maana hizo ni ndoto za mchana.
 
Mhhhh!

There are currently 617 users browsing this thread. (135 members and 482 guests)
 
Mhhhh!

There are currently 617 users browsing this thread. (135 members and 482 guests)

walioko kwenye ma baa pombe zote zimewatoka, walioko nyumbani usingizi umeisha, kesho makanisani ni fujo tu. Kuna watu wanahofia kama EL na RA wanaona watashugulikiwa basi watatumia influence yao yote , bora Mwamunyange awashe vifaru tayari kwa kutuliza fujo....ikishindakana tu kodishe wale ma-bouncer walioenda tegeta, na hao wakishindwa basi wakazi wa kule tegeta, inaonekana hao hawashindwi kitu!
 
Jamani eeh.. Greath THinkers... Naona mada imekuwa stori za kijiweni.. Kwanini tusijaribu ku-analyse sababu za JK kufanya hivi. Ndio tunafahamu kuwa alisema anatoa 'gamba' lakini je madhumuni hasilia ni nini...? Je nguvu ambayo upinzani umeipata na haswa CDM ndio umemtishia kupatwa na yale ya KANU? au ni mambo yaliyotokea bondeni kwa MADIBA hapo... ANC overthrow of Mbeki by ZUMA... Je Kikwete anarespond to Lowassa's attempts to take control of CCM's decision making bodies so that he could secure his presidential nomination 2015? Ama ni nini? Kwa hakika kesho majina mapya yatakapo pendekezwa ndipo nia na madhumuni yatajulikana.... Swali la kwanza ni je EL atarudi? tunajua kabisa RA ndio basi (at least in hatokuwepo jikoni directily), je wale wanaojiita wapiganaji kina Kilango, Mwakyembe n.k wataingia? je JK atawapoteza viongozi wengine waliochafuka kama Chenge (most likely in my opinion), na Je atataka kuwadhibiti wale ambao wako kambi ya Lowassa (makinda, et al.) na je wale wengine wanao imezea mate 2015 kama Samwel Sitta watatupiliwa choo cha shimo au ? Ingekuwa vizuri jukwaa la GREAT thinkers likawa mstari wa mbele kuchambua mambo haya kwakua yanatabiri hali ya nchi yetu katika siku za usoni itakuaje... tupunguze ushabiki na uchama katika haya... Nimejaribu kuangalia mawazo mbali mbali tuliyochangia humu nimeona yapo mawazo yamsingi lakini pia ushabiki mwingi (mara ccm wafe tuu..atakama wafe sawa vizuri labda, lakini tunaomba uchambuzi tafadhali...jukwaa hili lirudie hali yake ya miaka ya nyuma.) UCHAmbuzi MAKINI tafadhali jamani.


KK
 
Invisible na Mugumu, mjue mimi na watu wote hawa hatulali kusubiria taarifa zaidi za Dodoma.
Wenzangu tunaosubiria hapa ni hawa There are currently 608 users browsing this thread. (145 members and 463 guests)
Pasco fangfangjt bulunga mku sixgates kituro Mallaba wahanya muhosni Nazjaz Anfaal Dotori Sonara Froida matunge Jekyll+Hyde Kinyamana Bajabiri Ame EXECUTIVE Ndumbayeye kobello Mrdash1 koreshi Miya Mimibaba Keil kayumba Limbani Revolutionalist Liganga Quinine Mtembea_peku abracadabra Mwanatarime Ochu Godfrey R YE samirnasri Pena Kibanga Ampiga MKoloni Gbollin Mzee Mwanakijiji+ pendosaidi Bihigi niweze drgeorge Avatar Mike McKee EMT SLIDINGROOF Ng'wanza Madaso Gokona mchukiaufisadi Bornvilla macho_mdiliko Sigma shabaniMusa sem2708 Jibaba Bonge The Invincible MkuuMtarajiwa Leonard Akaro andrewk Kiby daughter Deodat Mbimbinho mgalisha Gurta UmkhontoweSizwe Plato Advocate Jasha Maishamapya mshikachuma Mwanajukwaa Mbaneingoma Zom Pumba Mwiko chiefmasanja Babuyao Taso Mbalinga Libaba MkamaP Malunde-Malundi mtemiwao Mtumiabusara masssaiboi Eqlypz Isekuu SaidAlly Siao Kaka deo Peasant Kaunga mwabaluhi MAWINO Jungumawe Lyangalo Kakalende Mpanzi Buswelu kapotolo Msenshe Oluoch Paddy mnwele PakavuNateleza mwanaharakat j rated Architect E.M abura90 Nyamgluu Mlengo wa Kati Wikiliki Mmongolilomo Fres kalechee Goldman Mgoyangi Yericko Kiwete LordJustice1 GJ Mwanakatwe Joss Dr wa ukweli Annony Ngereja whizkid Mujuni2 junior2008 teya Mwalimu Kenge (Eng) Geru Dr.Mbura emmathy Sn2139 guyton Tusker Bariiiidi Sabasaba Nemesis MtazamoWangu



Where's Field Marshall ES when you need him?!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Where's Field Marshall ES when you need him?!

Mkuu hata mimi mapema ya leo nilimkumbuka Mkuu FMES maana nyakati kama hizi alikuwa anashusha vitu moto moto toka jikoni.
 
watu wa arusha wana good politicians ambao wako very loyal, like Lema,sokoine,kirilo japhet,seth benjamin n.k but not people like lowasa,sumaye,slaa n.k those are just a joke!

This is one of the most biased, prejudicial and extremely stereotypical statement... maana itabidi tuulize vipi kuhusu watu wa Pwani, Magharibi, Kusini, Katikati n.k? I would argue it is inherently offensive.
 
Jamani eeh.. Greath THinkers... Naona mada imekuwa stori za kijiweni.. Kwanini tusijaribu ku-analyse sababu za JK kufanya hivi. Ndio tunafahamu kuwa alisema anatoa 'gamba' lakini je madhumuni hasilia ni nini...? Je nguvu ambayo upinzani umeipata na haswa CDM ndio umemtishia kupatwa na yale ya KANU? au ni mambo yaliyotokea bondeni kwa MADIBA hapo... ANC overthrow of Mbeki by ZUMA... Je Kikwete anarespond to Lowassa's attempts to take control of CCM's decision making bodies so that he could secure his presidential nomination 2015? Ama ni nini? Kwa hakika kesho majina mapya yatakapo pendekezwa ndipo nia na madhumuni yatajulikana.... Swali la kwanza ni je EL atarudi? tunajua kabisa RA ndio basi (at least in hatokuwepo jikoni directily), je wale wanaojiita wapiganaji kina Kilango, Mwakyembe n.k wataingia? je JK atawapoteza viongozi wengine waliochafuka kama Chenge (most likely in my opinion), na Je atataka kuwadhibiti wale ambao wako kambi ya Lowassa (makinda, et al.) na je wale wengine wanao imezea mate 2015 kama Samwel Sitta watatupiliwa choo cha shimo au ? Ingekuwa vizuri jukwaa la GREAT thinkers likawa mstari wa mbele kuchambua mambo haya kwakua yanatabiri hali ya nchi yetu katika siku za usoni itakuaje... tupunguze ushabiki na uchama katika haya... Nimejaribu kuangalia mawazo mbali mbali tuliyochangia humu nimeona yapo mawazo yamsingi lakini pia ushabiki mwingi (mara ccm wafe tuu..atakama wafe sawa vizuri labda, lakini tunaomba uchambuzi tafadhali...jukwaa hili lirudie hali yake ya miaka ya nyuma.) UCHAmbuzi MAKINI tafadhali jamani.


KK

kusema kweli mimi hadi hivi sasa sijui hasa nini kimetokea. Kuna masuala ya Kikatiba (ya CCM) ambayo yangeweza kutokea lakini sijui kama ndio yametokea au ni masuala ya kujipanga tu. Kwa mfano, hadi hivi sasa hatujui kwa uhakika kama ni hao watatu tu waliotakiwa kuondolewa uongozi na charges dhidi yao ni zipi? So, ni vigumu kujua kwa uhakika lengo na madhumuni hasa nini nini bila ya kujua hasa ni kitu gani kimetokea.
 
Back
Top Bottom