Mambo makuu matatu yanayovunja ndoa

Mambo makuu matatu yanayovunja ndoa

Teh teh..Hiyo namba 1 na namba 3 hakuna shida..Ndugu hawawezi kuwa kikwazo kwenye ndoa yangu..Pesa natafuta...
Kazi kwako mwanamke kukamilisha hiyo namba 2 kwa ustadi..
Eh kwa ustadiii, tena umenikumbusha ngoja nika gugo stail mpya nijenge ndoa mie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
That's how we differ ndugu,its nature....pingana na nature,break your neck..lol...now dig for yourself why men have sex without being emotionally involved,there's wealth of literature outhere...lol..we are physiologically different..thats main thing..
Unaweza kukaa mwezi mzima without sex, samahani lakini
 
Unakuwa mwepesi kutafuta elimu ya kulea mume ambae yeye ndani nje ni amri tu na vituko.

Lakini wewe ukiwa umetulia na waagiza "shots" au kutp amakombora ya hayo niliyoyasema, huenda ukambadilisha kabisa jamaa yangu.

Akibadilika atakuuliza tu vipi mama mbona siku hizi umekuwa kama si zamani?

🙂🙂
I will make a note of this.[emoji120][emoji120]
 
Eh kwa ustadiii, tena umenikumbusha ngoja nika gugo stail mpya nijenge ndoa mie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Safi shem..Itumie faragha vizuri..Kajifunze hata sarakasi ikibidi..
 
Pesa ni ulinzi
Zisipokuwepo uliye naye hahisi kuwa salama
 
Mie nakubaliana na wewe kiasi,hakuna jambo linamuuma mwanaume kama kushindwa ku provide for his family,ukimuomba school fees anaona kama umemdharau hivi….confidence ya mwanaume ni kipato chake...once kikikosekana his fragile ego imekua affected,slowly hili jambo linamla..na lita affect mahusiano yenu…...
Hapana aisee,kuna ndoa wana kipato kidigo na maisha yanaenda,kuna watu wana madeni na matatizo lakini ndoa zao zipo, nadhani ni attitude za wawili tu katika kulichukulia na kulitatua tatizo
 
Nimecheka hadi mbavu zinauma, sarakasi shem?
Basi nimekumbuka ile wanaita popo sijui kaifanyaje mbingu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yeah sarakasi..Inaitwa Popo kanyea mbingu..
 
kama ni hivyo ndoa za matajiri zingedumu

Kutokudumu kwa ndoa kuna sababu nyingi...ukosefu wa pesa ndio sababu kubwa. So unawezakuwa tajiri lakini mke alikuwa hakuoendi baada ya kupata anachotaka anasepa. Unaweza kuwa tajiri but huwezi kugegeda vizuri
 
Back
Top Bottom