Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,656
Huwezi tenganisha pesa,utajiri na umasikini,ni vitu vinavyotembea kwenye njia mojaPesa hapo haina maana utajiri.
Huwezi tenganisha pesa,utajiri na umasikini,ni vitu vinavyotembea kwenye njia mojaPesa hapo haina maana utajiri.
Yeye mwenyewe anasema wote wenye mizigo mizito twende kwake atusaidie kuibebaSometimes tunambebesha bwana mizigo mingi
Kipi hichoItakuwa kweli.
Ila kwangu mimi viwili kati ya hivyo viliimarisha mahusiano yetu ila hicho kimoja kilikuwa kitendawili.
Itakuwa typing error...inavyonoga ku-wogorowogoro..lol😋😊Mh! Kwa hiyo wala hujishughulishi hata siku zikikatika jamaa hajakugusa weye poa tu! Mradi kuna ngawira.
Ni hivi...masikini wanapooana wamekubaliana na hali zao kiuchumi. Uchumi huo wa chini ukizidi kushuka migogoro inaanza. Pesa kwenye thread hii haina maana ni utajiri.Huwezi tenganisha pesa,utajiri na umasikini,ni vitu vinavyotembea kwenye njia moja
Usipomwochia Bwana aijenge ndoa, waijengao wanakesha..
Upendo unachochewa na viwili kati ya hivyoBila shaka,.
Upendo ukipoa pia ndoa inakuwa rehani..
Nilipokuwa katika mahusiano nikitarajia kuoana nae bhasi kati ya hivyo vigezo vitatu viwili nilikuwa navyo sasa hicho kingine kilichobaki kilikwamisha sana mipango yetu mpaka ilifikia malengo kutokutimia na ikafika kipindi nikabaki na kimoja pekee vingine vyote vikaniponyoka, hivyo nakubali ni vitu muhimu sana kuanzia katika mahusiano.Fafanua please
Inategemea wahusika, kwa wengine ni chanzo cha kwenda njia za pembeni (siyo njia kuu) na matokeo yake ni kuyumba kwa ndoa kama siyo kuachana!Namba 2 inavumilika?
Hii inaangukia kwenye tendo la ndoa4.hasa kwa mwanaume,mtu anaoa anajua hapa yes, sinunui tena makahaba sinza nakuwa namgegeda mke wangu asubuhi,mchana na jioni tena bila condom,ila akioa tu mara mwanamke anasema amechoka,mara hayupo kwenye mood,mara hajisikii kufanya mapenzi,mara yupo busy na watoto,ndoa nyingi zinayumba baada ya mwanamke kuzaa,waliooa mashahidi,kwa mwendo uo lazima uchepuke tena ukioa ndo unachepuka kwa speed 180 kumzidi hata bachelor
Nilipokuwa katika mahusiano nikitarajia kuoana nae bhasi kati ya hivyo vigezo vitatu viwili nilikuwa navyo sasa hicho kingine kilichobaki kilikwamisha sana mipango yetu mpaka ilifikia malengo kutokutimia na ikafika kipindi nikabaki na kimoja pekee vingine vyote vikaniponyoka, hivyo nakubali ni vitu muhimu sana kuanzia katika mahusiano.
Maskini wanainjoi zaidi kuliko matajiri, tajiri mda mwingi akili iko kwenye mali yake.Kuna masikini wanaenjoy mapenzi kuliko hata matajiri
Itakuwa typing error...inavyonoga ku-wogorowogoro..lol😋😊
Inasemekanana sababu kuu zinazovunja ndoa ni
1.pesa
2.tendo la ndoa
3.in-laws(wakwe,wifi,mashemeni etc)
Kwamba hivi vitu vitatu vikiyumba ndoa chali. Ni kweli?
Lakini kabla ya hayo yote kuwa ni nini kilianza...??hapo sasa inategemea;wengine ulianza upendo ndio vinogesho hivyo vikazidi kuuchochea huo upendo ukakua na kukua zaidi..wengine vilianza vinogesho(pesa,ngono)ndio upendo ukanawiri...Upendo unachochewa na viwili kati ya hivyo
Pesa
Na tendo pendwa kabisa
Good explanationUko sahihi kabisa na hayo matatu yanaingiliana katika kuchagiza au kuiweka chali ndoa.
Pesa inaweza kuimarisha ndoa endapo tu mwanamme unatimiza wajibu wako yaani kila kitu unakikabili kifedha hata kama mke nae anafanya kazi.
Kumbuka pamoja na kuoa wapo wazazi wa pande zote mbili ndugu wa pande zote mbili, hivyo kama uko kawaida basi ndoa itatulia na kila mmoja atakua hasumbui.
Ukiwa na uwezo yaani pesa, basi utagombaniwa na pande zote nne mkeo ,watoto, wazazi na ndugu na ukitimiliza basi hakutakuwa na vijimaneno, ukishindwa basi kelele zitaanza kupitia mkeo.
Tendo la ndoa halina tatizo sana na ni wote wawili mkiwa na tamaa ya ngono basi mtalihalalisa mme kwa mchepuko, na mama kwa kijana mdogo.
Ila tendo la ndoa laweza kuyumba kwelikweli kama mme hana uwezo wa pesa na kuna mtu pembeni afanya uchambuzi yakinifu khasa kama mke umefahamu namna ya kuchagua.
Lakini kiukweli katika yote namba 1 ni kitu cha kwanza kabisa, kwasababu kitatoa tathmini ya hayo miwili ya chini.