Mambo makuu matatu yanayovunja ndoa

Mambo makuu matatu yanayovunja ndoa

Sawa,..inategemea kukosekana kwa pesa huko ni kwa namna gani...for instance;pesa wakati mnaoana ilikuwepo baadae kidogo uchumi ukayumba(sababu zipo nyingi eg:magonjwa)je hiyo ni sababu nzito kweli ya kufanya ndoa ivunjike??
Mwanamke mvumilivu ndoa itasavaivu,ila wengi ndoa itayumba sana
 
Kulipa ada,umeme,maji n.k huo ni wajibu na haki...swali langu ni je, uwezo wa kufanya hivyo ukikata ndoa ivunjike????

Nikupe mfano wa rafiki yangu mmoja wa kizungu ambae hivi karibuni ameniambia ameamua kurudi kwa baba yake kutokana na maisha kuwa magumu kati yake ni mchumba wake ambae wamezaa watoto wawili.

Hiyo ilitokana na yeye kuacha kazi na kutafuta kazi ingine ambayo kipato chake si halisi. jambo lililopelekea kuanza kutoa matatizo pale ndani kwao.

Nilipomuuliza kwanini amerudi kwa baba yake akaniambia kwamba wakifanya hivyo basi yule msichana wake ataweza kuendela kuchukua benefits na yeye huyu jamaa kumpa kiasi fulani cha fedha kila mwezi.

Yaani ukiangalia hapo utaona kwamba huyu jamaa ameshindwa kuhimili maisha ya kukaa pamoja na familia yake na kuamua kukaa pembeni kutoa support kwa mbali.

Sasa hivyo ni rahisi kwa mtu mwingine kumshawishi huyu msichana kingono na nnayowafahamu wazungu kwa uzuri hiyo inawezekana.

Utakuwa umenielewa hapo kidogo.
 
Wee bishana na utafiti ....ni haki yako lakini utafiti unaonyesha kabisa number one source of marital problems ni pesa.
Jamaa anafikiri pesa maanake utajiri,kumbe pesa ya kutimiza mahitaji ndani ya nyumba
 
I think wanaume na wanawake tupo tofauti wanaume wanaweza kufanya sex na yeyote bila emotional attachment na wanawake wanasex na mtu ambae wako involved emotionally,ukichunguza hii basic difference utajua how inatu guide tunapofanya mahusiano…(mate preferences)...ukiingia na mtazamo ndoa ni sex(wanaume),once ukikosa sex ndoa inaenda mrama….na sisi kama wanawake..nature haijatusevu hatuwezi kuprovide ''sex' all the time..thus a problem.
Men don't want sex, they need sex,ni basic need,so hii inaprove mwanaume hatosheki na mwanamke mmoja, unasema wanawake wanafanya sex na mtu ambaye wapo attached naye emotionally,nini kinasababisha mwanamke asiwe na emotions kufanya sex most of the time??
 
Back
Top Bottom