Mambo makuu matatu yanayovunja ndoa

Mambo makuu matatu yanayovunja ndoa

Nashukuru pia kwa kukubali kuaminiwa nami! !

Aisee hvi leo weekend inaisha uwiih!!

Tangu Jana nilikuwa nipo na safari za hapa na pale na leo nipo ukanda wenu kabisa! !
Ewaaaaa
Asante kwa kuniamini!

Nimekutafuta tangu weekend ianze sikuoni. Nani alikuteka!?
 
Mfano Sasa ukishaujua upande wa pili wa mwenzako si ndo pa kuanza kuvumilia madhaifu utayoyaona Kwake! ?

Bado uvumilivu ni tatizo!!
Hapa tunazungumzia ndoa!
Ila wakati mkiwa wachumba unajipima mwenyewe je nitaweza kuvumilia hayo nayaonayo?!

Uko kwenye uchumba miezi mitatu mpaka sita mchumba hajawahi kuja kwako na miguu mkatembea mkanyeshewa! Kwenye ndoa ataweza kutembea apate vumbi?!
 
Nashukuru pia kwa kukubali kuaminiwa nami! !

Aisee hvi leo weekend inaisha uwiih!!

Tangu Jana nilikuwa nipo na safari za hapa na pale na leo nipo ukanda wenu kabisa! !
Usijali
Weekend ndo inaisha hivyoo!

Hongera kwa safari
 
Hapo kwenye TENDO LA NDOA nakazia.
Lisiyumbe kabisa, likiyumba ndoa si ndoa tena.

Tendo la ndoa huja lenyewe bila shurti.

Mme atagundua kwa mfano, namna chakula kilivyotengwa siku hiyo (kama kimefunikwa na kawa kwa uzuri) na mama ( kwa sisi wa Tanga) atakuwa pembeni na kanga laini akikusindikiza kwa tonge moja au mbili.

Pia masuala mengine kama shanga na rangi zake na kadhalika.

Hivyo kujuana kusoma alama za nyakati za kila mmoja wenu ni muhimu.

Ila kwa msisitizo tendo la ndoa ni sehemu tu ya mapenzi ya kweli na kuaminiana kwa kila jambo la maisha yenu ya ndoa.
 
Hiyo ni kwa Tanga mkuu. Sasa kama mume wangu msukuma na mimi mchaga hayo mambo sijui itakuwaje yani[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bora hata umenisalimia[emoji8][emoji8].
Mimi mzima sis , natumai na wewe ni mzima.
Sijambo kabisaaa jamanii love[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Naona unakazia tendo la ndoa!

Nafurahi kuona hujambo dear
 
Sijambo kabisaaa jamanii love[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Naona unakazia tendo la ndoa!

Nafurahi kuona hujambo dear
Eeh tendo la ndoa, Mimi nikipewa vizuri hata hela sitaki na hata mawifi wakinichamba sinuni maana najua usiku nitapoozwaaa[emoji23][emoji23][emoji23].
Nakazia kwa kweli.
 
Back
Top Bottom