Mambo makuu matatu yanayovunja ndoa

Mambo makuu matatu yanayovunja ndoa

Eeh tendo la ndoa, Mimi nikipewa vizuri hata hela sitaki na hata mawifi wakinichamba sinuni maana najua usiku nitapoozwaaa[emoji23][emoji23][emoji23].
Nakazia kwa kweli.
Hahaha hahaha hahaha
Imebidi nicheke tuu jamani!

Kila kitu kina raha yake na nafasi yake kwenye ndoa!
 
Hey com oooooooonn Haz...see; tatizo mentality zetu tulivyo ziumba watu wengi mnadhani PESA ndio kila kitu kwenye mahusiano kitu ambacho si kwelii...wanaume mna hustle kupata mihela mkidhani mtakuwa na amani ya kweli...waapii[emoji23]mmebaki kufa na vihoro na kuwaachia wengine kutumbua hustles zenu...
Wanaume wanatafuta hela ili wapate vitutofauti kabisa na unavyovizungumzia wewe
 
Haujawahi kuniangusha. [emoji23][emoji23][emoji23]
Teh teh..Hiyo namba 1 na namba 3 hakuna shida..Ndugu hawawezi kuwa kikwazo kwenye ndoa yangu..Pesa natafuta...
Kazi kwako mwanamke kukamilisha hiyo namba 2 kwa ustadi..
 
Mie bwna mke wangu nampa mambo mawili tuu.
1) umekuja hapa nikugegede
2) umekuja hapa nikugegede

Mambo ya sijui oh tupange maisha hilo halijawahi kuingia akilini...kama nomeshindwa kupanga maisha mwenyewe ndio mke atakuja kunisaidia kupanga. Mie naoa ili nipate pakugegeda pale ambapo vimwana wananipiga chenga za messi.
Hiyo ndo sababu inayosababisha mtu uwaze kuoa,ni hiyo tu
 
Hiyo ni kwa Tanga mkuu. Sasa kama mume wangu msukuma na mimi mchaga hayo mambo sijui itakuwaje yani[emoji23][emoji23][emoji23]

Unakuwa mwepesi kutafuta elimu ya kulea mume ambae yeye ndani nje ni amri tu na vituko.

Lakini wewe ukiwa umetulia na waagiza "shots" au kutp amakombora ya hayo niliyoyasema, huenda ukambadilisha kabisa jamaa yangu.

Akibadilika atakuuliza tu vipi mama mbona siku hizi umekuwa kama si zamani?

🙂🙂
 
Back
Top Bottom