Mambo makuu matatu yanayovunja ndoa

Mambo makuu matatu yanayovunja ndoa

Love inaweza kuwepo Ila mtakula love? School fees mtalipa na love? Ndio migogoro inaanza wala sio kwa kukosa mapenzi
Nafikiri wawili wanapoamua kufunga pingu za maisha kila mmoja anamjua vyema mwenzake!
Sitaki kuamini eti uchumi umeyumba ada imechelewa muachane! Hakuna wakati ambao mwanaume anahitaji faraja kama kipindi cha mkwamo! Mpe mawazo mbadala na wakati huo jukumu la kulea ni la mume na mke!

Baba amekwama mama ana kazi, au ana biashara kuna tatizo gani akaisogeza familia wakati baba anapambana?; upendo unabeba kila kitu hapo!
 
Ni hivi...masikini wanapooana wamekubaliana na hali zao kiuchumi. Uchumi huo wa chini ukizidi kushuka migogoro inaanza. Pesa kwenye thread hii haina maana ni utajiri.
I got you fam,na hii ni hasa kwa wanawake
 
Wee bishana na utafiti ....ni haki yako lakini utafiti unaonyesha kabisa number one source of marital problems ni pesa.

Mie nakubaliana na wewe kiasi,hakuna jambo linamuuma mwanaume kama kushindwa ku provide for his family,ukimuomba school fees anaona kama umemdharau hivi….confidence ya mwanaume ni kipato chake...once kikikosekana his fragile ego imekua affected,slowly hili jambo linamla..na lita affect mahusiano yenu…...
 
Nafikiri wawili wanapoamua kufunga pingu za maisha kila mmoja anamjua vyema mwenzake!
Sitaki kuamini eti uchumi umeyumba ada imechelewa muachane! Hakuna wakati ambao mwanaume anahitaji faraja kama kipindi cha mkwamo! Mpe mawazo mbadala na wakati huo jukumu la kulea ni la mume na mke!

Baba amekwama mama ana kazi, au ana biashara kuna tatizo gani akaisogeza familia wakati baba anapambana?; upendo unabeba kila kitu hapo!

Ndo maana wazazi wetu waliweza kuishi Maisha marefu ya ndoa kwasababu waliweza kufahamiana tangu wadogo.

Wanandoa wa kizazi hiki cha sasa hukutana leo na Kesho wasikia watu wanafanya "send-off"

Kuna hatua za kufikia ndoa kamili, yaani utangulizi wa urafiki, hadi uchumba hadi kuoana.

Mnapoanza mapenzi mapema sana nayo ina play part kuanza kuleta mawazo mbadala.
 
Nikupe mfano wa rafiki yangu mmoja wa kizungu ambae hivi karibuni ameniambia ameamua kurudi kwa baba yake kutokana na maisha kuwa magumu kati yake ni mchumba wake ambae wamezaa watoto wawili.

Hiyo ilitokana na yeye kuacha kazi na kutafuta kazi ingine ambayo kipato chake si halisi. jambo lililopelekea kuanza kutoa matatizo pale ndani kwao.

Nilipomuuliza kwanini amerudi kwa baba yake akaniambia kwamba wakifanya hivyo basi yule msichana wake ataweza kuedela kuchukua benefits na yeye huyu jamaa kumpa kiasi fulani cha fedha kila mwezi.

Yaani ukiangalia hapo utaona kwamba huyu jamaa ameshindwa kuhimili maisha ya kukaa pamoja na familia yake na kuamua kukaa pembeni kutoa support kwa mbali.

Sasa hivyo ni rahisi kwa mtu mwingine kumshawishi huyu msichana kingono na nnayowafahamu wazungu kwa uzuri hiyo inawezekana.

Utakuwa umenielewa hapo kidogo.
MAHUSIANO YAO HAYAKUJENGWA NA MSINGI WA UPENDO...ndio maana,.mimi siajona sababu ya wao kuseparate hicho ndicho kipindi sasa cha kumtukuza Mungu kwa mke/mume uliyenae...kwa jinsi mtakavyo bebana na kutiana moyo.
 
Nafikiri wawili wanapoamua kufunga pingu za maisha kila mmoja anamjua vyema mwenzake!
Sitaki kuamini eti uchumi umeyumba ada imechelewa muachane! Hakuna wakati ambao mwanaume anahitaji faraja kama kipindi cha mkwamo! Mpe mawazo mbadala na wakati huo jukumu la kulea ni la mume na mke!

Baba amekwama mama ana kazi, au ana biashara kuna tatizo gani akaisogeza familia wakati baba anapambana?; upendo unabeba kila kitu hapo!
Shit happen my dear. Mambo yanabadilika,kuvunjika au kuimarika Kwa ndoa inategemea mwanamke wa aina gani umeoa. Hujasikia au kuona ndoa iliovunjika baada ya uchumi wa mume kuyumba?
 
Ndo maana wazazi wetu waliweza kuishi Maisha marefu ya ndoa kwasababu waliweza kufahamiana tangu wadogo.

Wanadoa wa kizazi hiki cha sasa hukutana leo na Kesho wasikia watu wanafanya "send-off"

Kuna hatua za kufikia ndoa kamili, yaani utangulizi wa urafiki, hadi uchumba hadi kuoana.

Mnapoanza mapenzi mapema sana nayo ina play part kuanza kuleta mawazo mbadala.
Uko sahihi kabisaaa! Na wazazi wetu hawakuwa milionea!
 
Mie nakubaliana na wewe kiasi,hakuna jambo linamuuma mwanaume kama kushindwa ku provide for his family,ukimuomba school fees anaona kama umemdharau hivi….confidence ya mwanaume ni kipato chake...once kikikosekana his fragile ego imekua affected,slowly hili jambo linamla..na lita affect mahusiano yenu…...
You got the point
 
MAHUSIANO YAO HAYAKUJENGWA NA MSINGI WA UPENDO...ndio maana,.mimi siajona sababu ya wao kuseparate hicho ndicho kipindi sasa cha kumtukuza Mungu kwa mke/mume uliyenae...kwa jinsi mtakavyo bebana na kutiana moyo.

Kabisa na hicho ndicho kinachosumbua vijana wengi wa kileo, hawana upendo wa kweli.

Wanaanza mapenzi mapema huku bado wakitamani masuala ya kidunia badala ya kukazania kumwagilia maji bustani ikue na ishamiri kwa kumtegemea Mwenyezi Mungu.
 
Lakini namba 3 wewe ukiwa imara inaweza isikuyumbishe
Uimara wangu mimi ni kujibishana tu na hao wakwe maana kuna wakwe wengine ni pasua kichwa wana midomo na visa vingi hata ukikohoa tu utachambwa hasa wakijua kuwa ndugu yao (mume) yupo upande wao

Sasa mimi kujifanya mjinga hata kama naonewa siwezi kwa kweli kwahiyo nikipata wakwe wa hivi nahisi ndoa itanishinda tu uvumilivu nao una kikomo chake ati
 
Shit happen my dear. Mambo yanabadilika,kuvunjika au kuimarika Kwa ndoa inategemea mwanamke wa aina gani umeoa. Hujasikia au kuona ndoa iliovunjika baada ya uchumi wa mume kuyumba?
Mambo gani yanabadilika?! Seriously niondoke kwa mume kisa kaishiwa?! Itakuwa niliolewa sababu ya pesa zake ama?!

Mimi huwa naamini sana katika upendo sijui ni kwa nini! Kwenye upendo kuna kila kitu bwana!
 
Kabisa na hicho ndicho kinachosumbua vijana wengi wa kileo, hawana upendo wa kweli.

Wanaanza mapenzi mapema huku bado wakitamani masuala ya kidunia badala ya kuakzania kumwagilia maji bustani ikue na ishamiri kwa kumtegemea Mwenyezi Mungu.
Sasa hata mkiwa na upendo wa kweli mtakula mawe? Uchumi ukiyumba unaleta migogoro kwasababu ya stress,hapo ndio uhusiano unaanza kubomoka.
 
Back
Top Bottom