Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,613
😊😊kwann uote baba Vicky...?!Aisee
Naota
😊😊kwann uote baba Vicky...?!Aisee
Naota
Basi haivunji tena sasa kama umekubali kuivumilia.Sina budi kuivumilia eehh...
Maana kubadili vina saba siwezi.
Kumbe[emoji23][emoji23][emoji23]na hapo lazima utakuta ni mfupi maana, siyo kwa ubishi alio nao.Hahaha hahaha hahaha hahaha
Ni lile kabila pendwa ujue! Mvumilie tuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nakugawa bure hata hela sitaki.Yeah sarakasi..Inaitwa Popo kanyea mbingu..
Nijazie...Mawasiliano ipo kwenye top 3.
Hahaha hahaha hahaha[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Kumbe[emoji23][emoji23][emoji23]na hapo lazima utakuta ni mfupi maana, siyo kwa ubishi alio nao.
Tena ni MBISHI sijui ni kabila gani, anakuuzi na hakubali kama amekuuzi. Anakugeuzia wewe hilo kosa.
Mnajuana kwa vilemba!..Hahaha huyo huwa ananionea siku zote! !
Hahaha hahaha hahaha hahaha
Ni lile kabila pendwa ujue! Mvumilie tuu
Hahaha hahaha hahahaHahahaha naonewa mie jamani!!
Mimi ni Mnazareth kutoka kabila la Yuda! !!
Kumbe[emoji23][emoji23][emoji23]na hapo lazima utakuta ni mfupi maana, siyo kwa ubishi alio nao.
Hahaha hahaha hahaha
Pole rafiki...
Nijazie...
Migogoro mingi duniani inasababishwa na mawasiliano duni.
Wengi tunajua mawasiliano ni kuzungumza tu bali pia inajumuisha kuelewa mnachozungumza, kukubaliana na kutokufichana.