RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,524
- 135,627
- Thread starter
- #101
Kama wewe wako wachacheeee. Majority jump the shipMambo gani yanabadilika?! Seriously niondoke kwa mume kisa kaishiwa?! Itakuwa niliolewa sababu ya pesa zake ama?!
Mimi huwa naamini sana katika upendo sijui ni kwa nini! Kwenye upendo kuna kila kitu bwana!