Mambo makuu matatu yanayovunja ndoa

Mambo makuu matatu yanayovunja ndoa

U binafsi huvunja sana ndoa. Ukisha oa au kuolewa ni miili miwili umekuwa mwili mmoja. Unapofanya maamuzi yeyote ni lazima umshirikishe mwenzako.

Kuna vitu ibabidi u sacrifice, mfano dream ya kujiendeleza kimasomo kama inaingiliana na ratiba ya mume mke na watoto.
 
4: great expectations as if unaoa/kuolewa malaika,,,,

5:uchumba wa muda mfupi,
4.hasa kwa mwanaume,mtu anaoa anajua hapa yes, sinunui tena makahaba sinza nakuwa namgegeda mke wangu asubuhi,mchana na jioni tena bila condom,ila akioa tu mara mwanamke anasema amechoka,mara hayupo kwenye mood,mara hajisikii kufanya mapenzi,mara yupo busy na watoto,ndoa nyingi zinayumba baada ya mwanamke kuzaa,waliooa mashahidi,kwa mwendo uo lazima uchepuke tena ukioa ndo unachepuka kwa speed 180 kumzidi hata bachelor
 
4. Ina maana unaoa mtu humfahamu vizuri?

Ndio, take your time kuwa na uchumba hapo utajua mengi kuhusu yeye pamoja na mapungufu yake na kama unaweza kuyachukulia,muoe mtu ambae kwanza ni ma best friends,,,ingawa siku hizi full maigizo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 na pressure kutoka kwa wanaokuzunguka sometimes unaishia kuchukua yeyote,jeopardising your happiness 👀
 
Back
Top Bottom