Mnazareth
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 3,474
- 7,409
Happy Belated birthday..nilikukumbuka sana rafiki siku ile ilipowadia ni basi sikuwa na namna.
Naelewa mimi rafiki
Naelewa mimi rafiki
DaaahHappy Belated birthday..nilikukumbuka sana rafiki siku ile ilipowadia ni basi sikuwa na namna.
4.hasa kwa mwanaume,mtu anaoa anajua hapa yes, sinunui tena makahaba sinza nakuwa namgegeda mke wangu asubuhi,mchana na jioni tena bila condom,ila akioa tu mara mwanamke anasema amechoka,mara hayupo kwenye mood,mara hajisikii kufanya mapenzi,mara yupo busy na watoto,ndoa nyingi zinayumba baada ya mwanamke kuzaa,waliooa mashahidi,kwa mwendo uo lazima uchepuke tena ukioa ndo unachepuka kwa speed 180 kumzidi hata bachelor
Pesa,tendo la ndoa vikikosekana mawasiliano lazima yaharibike....ila vikiwepo mawasiliano hata yakiwa mabovu yanavumilikaCommunication. Kati ya wanandoa wenyewe. Hii ilitakiwa kuwa namba 1 na root cause ya kuvunjika kwa ndoa. Panapokosekana honest two-way communication ndio sababu hizo nyingine zinaingia kuvunja ndoa.
Kivipi?