Mambo haya yakikutokea kwenye maisha yako lazima upate furaha ya ajabu utahisi maisha yako yameanza upya

1. Ukipata mpenzi mnaependana sana.

2. Ukipata mtoto wako wa kwanza.

3. Ukifunga ndoa.

4. Ukinunua gari lako la kwanza.

5. Ukifaulu form4 au form 6 (vilaza wenzangu watanielewa)

6. Kuhamia nyumbani mwako baada ya kuishi kweny za kupanga

7. Majibu ya kipimo kurudi HIV negative baada ya kuhisi una ukimwi

8. Kutunukiwa mara ya kwanza

Kama ipo nyingine ongezea....
kukesha bar
 
Mimi Ni Mwanaume ila namba 2 inaleta furaha sana ile feeling ya kuona mtoto wako amezaliwa na sio wa kwanza tu hata wa 2, 3, 4 na kuendelea. Pia, ile miaka ya kumlelea na vituko vyake hadi anafikisha miaka 6 au 7 hivi.

Pili, maokoto yanapoingia be it salary, posho, au kazi uliyofanya ikalipa. Pale hela inapokuwa inatosheleza mahitaji na kubaki.
 
1. Ukipata mpenzi mnaependana sana.

2. Ukipata mtoto wako wa kwanza.

3. Ukifunga ndoa.

4. Ukinunua gari lako la kwanza.

5. Ukifaulu form4 au form 6 (vilaza wenzangu watanielewa)

6. Kuhamia nyumbani mwako baada ya kuishi kweny za kupanga

7. Majibu ya kipimo kurudi HIV negative baada ya kuhisi una ukimwi

8. Kutunukiwa mara ya kwanza

Kama ipo nyingine ongezea....
Namba 6 ndio hasa
 
Back
Top Bottom