Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,832
Me nadhani ni heri wamemuua maana usikute hawakuwa na zana za kuweza kumdhibiti....kwanza anatisha ukimuona ss unafikiri kumkamata huyo bila vifaa maalumu ingekuwa rahisi...!!!!Yaani sisi Waswahili suluhisho letu la kwanza kwa kila tatizo siku zote ni kuua tu.
Sidhani kama kulikuwa na juhudi zozote za kumkamata na kumrudisha alipotoka, sisi ni kuua tu.
Mwizi tukimkamata na kumdhibiti bado tunaishia kumuuwa, hata kama wangesaidia taarifa muhimu za kuwakamata wenzake.