Muyobhyo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 8,149
- 6,556
Tena ilikuwa imechomwa, saafi sana, natamani tena sijui wapi niipate, labda nikirudi nairobi tenaAisee! Mi kujaribu hiyo labda niwe na akili za breweries mkuu [emoji3]
Tena ilikuwa imechomwa, saafi sana, natamani tena sijui wapi niipate, labda nikirudi nairobi tenaAisee! Mi kujaribu hiyo labda niwe na akili za breweries mkuu [emoji3]
Kwa hiyo bablai hii ni picha enzi marehemu akiwa hai?Nafkri hufahamu historia ya huyo mamba....kwanza pale ni ziwani, hvyo mamba wapo wa kutosha...lakni kwa huyu alikuwa common sana maeneo ya Tilapia Hotel mpak maeneo ya kamanga...kaua idadi ya kutosha ya watu...na mara moja moja alikuwa anaibuka na kujianika kwenye jiwe...tabu aliyoleta hakukuwa na haja ya kumwacha
![]()
Kwann asikamatwe akapelekwa kwa mamba wenzakeWabongo shida kweli kwel angeparua MTU tungekuja juu...."wameshindwa kumdhibiti?hata kumuua? Mamba na MTU nan anathamani.....?"
Ukitaka kujua nani mwenye thamani muuwe wewe uone...nakumbuka Wilaya moja siikumbuki iko mkoa gani ilikuwa ikitokea tembo akauwa mtu familia inapewa 1mill ila sasa mtu akiuwa tembo ni makofi juu na faini mill5.Wabongo shida kweli kwel angeparua MTU tungekuja juu...."wameshindwa kumdhibiti?hata kumuua? Mamba na MTU nan anathamani.....?"
Mkuu je miundombinu tunayo ni bora mamba au maisha ya mwanadamMbona USA wanaingia mpaka swimming pool lakini wanawakamata na kuwapeleka sehemu za mbali?
Kwanini wamuuwe?
Hebu maliasili watoe mafunzo kwa wananchi kwamba pindi wanapoona mnyama wapigiwe na kuja kumkamata
Kumshika Mamba ni rahisi sana
Inasikitisha kwa kweli
Ata akili hawana...kwanini wmemuua? wameshindwa nini kumdhibiti wamrudishe kwenye habitat yake ya asili. What a waste!
Kuna mijitu humu inakujaga kucomment tu bila kupitia threads ya mtoa post. Mtoa kasema wamewapigia maliasili ndo wakaja kumuua ambacho hauelewi ni kipi na hakusema raia ndo kamuua.Mbona USA wanaingia mpaka swimming pool lakini wanawakamata na kuwapeleka sehemu za mbali?
Kwanini wamuuwe?
Hebu maliasili watoe mafunzo kwa wananchi kwamba pindi wanapoona mnyama wapigiwe na kuja kumkamata
Kumshika Mamba ni rahisi sana
Inasikitisha kwa kweli
Hahaahahha,jf bwanaNext time tutamleta kwako ukae naye sebuleni muangalie TV.
mamba shikaJina lake Tafadhali!!
Hata ukikosoa serikali suluhisho ni pyu pyuYaani sisi Waswahili suluhisho letu la kwanza kwa kila tatizo siku zote ni kuua tu.
Sidhani kama kulikuwa na juhudi zozote za kumkamata na kumrudisha alipotoka, sisi ni kuua tu.
Mwizi tukimkamata na kumdhibiti bado tunaishia kumuuwa, hata kama wangesaidia taarifa muhimu za kuwakamata wenzake.
mnyama analiingizia taifa pato kubwa kwa mwezi zaidi yako ww mfano leo tukikukamata wewe na simba tukawaweka sehemu watu waje wawaangalie ww kiingilio tukakufanya 200 simba tukamfanya 50000 watu wengi wataenda kwa simba kwa hyo wanyama lazima waangaliwe kwa umakiniUkitaka kujua nani mwenye thamani muuwe wewe uone...nakumbuka Wilaya moja siikumbuki iko mkoa gani ilikuwa ikitokea tembo akauwa mtu familia inapewa 1mill ila sasa mtu akiuwa tembo ni makofi juu na faini mill5.