Mamba mkubwa auawa hotelini jijini Mwanza

Kuna wataopinga hati kumuua mamba ni kosa.!!

Hii iko hivi wewe binadamu ukienda hifadhi kisha umuue mnyama wewe ndio unahatia yaani hata wale askari wa forest wakikuona huna uhai(unapigwa na kizito)

Mnyama nae akija huku makazi ya watu nayeye kama sio kurudishwa alikotoka kistaharabu atapigwa na kizito vivo hivo.

Afu huyo mamba pengine IN MYSTERIOUS WAY angeua binadamu kuna watu wangehoji "askari wa forest kazi yao ni nini mpaka wanyama wanatoroka na kuja kudhulu watu wao hawana habari?"
 
Huyo mamba kaua watu wengi sana si chini ya watu 20 wamepotezwa na huyo mamba kwa nyakati tofauti...kwa hasara aliyoleta hakukuwa na haja ya kufanya majadiliano naye tena....na alikuwa anaibuka mara kibao hapo karbu na Tilapia hotel...tatizo kumdaka ndo ilikuwa kizungumkuti
13768107_1059397700823313_31298467_n-jpg.572745
 
Yaani sisi Waswahili suluhisho letu la kwanza kwa kila tatizo siku zote ni kuua tu.

Sidhani kama kulikuwa na juhudi zozote za kumkamata na kumrudisha alipotoka, sisi ni kuua tu.

Mwizi tukimkamata na kumdhibiti bado tunaishia kumuuwa, hata kama wangesaidia taarifa muhimu za kuwakamata wenzake.
Ungekuja kumkamata
 
Ukishakua na nyundo awamu hii kila kitu kinageuka msumari
 
Pole sana mkuu, vipi waweza simulia hili tukio.

nakumbuka kulikuwa na el nino 98, kijiji chetu kimezungukwa na mito na mabwawa na sisi tulikuwa tumejenga kiasi cha mita mia tano kutoka mtoni, tulikuwa na eneo kubwa ambalo mzee alikuwa amejenga kwa mtindo wa motel maana ni pembezoni mwa barabara kubwa, sasa mafuriko yalipo ingia ilikuwa ni alfajir flani, tukaja okolewa na mitumbwi, nyumba zote zilimezwa na maji, na wakati maji yalipoondoka yote na kubaki madibwi, ndipo nasi tuliporudi, sasa wakati tukisafisha majengo ndipo katika jengo moja ambalo baadae lilikuja kuwa kama ukumbi, tulimkuta mamba mkubwa mno kapozi hana wasi, nakumbuka tulimtoa na trekta...kuna watu wakaenda kumla
 
Yaani sisi Waswahili suluhisho letu la kwanza kwa kila tatizo siku zote ni kuua tu.

Sidhani kama kulikuwa na juhudi zozote za kumkamata na kumrudisha alipotoka, sisi ni kuua tu.

Mwizi tukimkamata na kumdhibiti bado tunaishia kumuuwa, hata kama wangesaidia taarifa muhimu za kuwakamata wenzake.
Mkuu unaweza kutupa hata kidogo namna ya kufanya hizo juhudi za kumrejesha huyo jamaa kwenye habitat yake. Maana haya matukio yanatokea kwa dharura tu, ni vema tukawa na ujuzi.
 
nakumbuka kulikuwa na el nino 98, kijiji chetu kimezungukwa na mito na mabwawa na sisi tulikuwa tumejenga kiasi cha mita mia tano kutoka mtoni, tulikuwa na eneo kubwa ambalo mzee alikuwa amejenga kwa mtindo wa motel maana ni pembezoni mwa barabara kubwa, sasa mafuriko yalipo ingia ilikuwa ni alfajir flani, tukaja okolewa na mitumbwi, nyumba zote zilimezwa na maji, na wakati maji yalipoondoka yote na kubaki madibwi, ndipo nasi tuliporudi, sasa wakati tukisafisha majengo ndipo katika jengo moja ambalo baadae lilikuja kuwa kama ukumbi, tulimkuta mamba mkubwa mno kapozi hana wasi, nakumbuka tulimtoa na trekta...kuna watu wakaenda kumla
Aisee! Kuna watu wanakula mamba [emoji50] !
 
Huyo mamba kaua watu wengi sana si chini ya watu 20 wamepotezwa na huyo mamba kwa nyakati tofauti...kwa hasara aliyoleta hakukuwa na haja ya kufanya majadiliano naye tena....na alikuwa anaibuka mara kibao hapo karbu na Tilapia hotel...tatizo kumdaka ndo ilikuwa kizungumkuti
13768107_1059397700823313_31298467_n-jpg.572745
Hatari sana mkuu.
 
Back
Top Bottom