Mamba mkubwa auawa hotelini jijini Mwanza

Mamba mkubwa auawa hotelini jijini Mwanza

Nyie mnao mtetea huyu mamba pimbi na muharibifu angekamata wake/waume au watoto wenu sidhani kama mngekuja kumtetea hapa
 
Huna akili kwa hiyo unalinganisha USA na Tz?
Wasimuue ili yeye awaue ndo unalolitaka et?
Hivi kumtukana mtu inaipa nguvu hoja yako.
USA ni mfano tu kwani hao wanaolipwa kuchunga rasilimali zetu ni lazima wajifunze na mbinu za kuwakamata pia, wakati mwingine jibu hoja kwa kutumia akili
 
***** hivi nyie mnamjua mamba vizuri au mnaongea tu,ukicheka na mamba dakika mbili nyingi yani syo wa kumsogelea kabisa
 
Huyu mjusi wa ukubwa huo ukikutana nae kipindi unavuka MTO kwa mtumbwi lazima usali sala ya mwisho .. Akikukosa kosa lazima akunyofoe mguu au mkono.
 
Huu ndiyo ujinga wa waafrika, huyu mamba ana umuhimu sana kwa ecosystem wanamuua kwanini wakati hajaua mtu? Maofisa wa wanyama pori wameshindwa kazi yao hapa, ilibidi kumkamata tu huyu mamba na kumrudisha pale anapostahili.....wabongo mbadirike jamani.
Umrudishe anapostahili ili siku nyingine arud avizie mtu amkamate amle si ndio unamjua mamba vzri wwe au unaongea kama umekatwa kichwa?
 
Huyo mamba afadhali wanemuua maana alishaanza tabia mbaya (kutamani binadamu)
 
Kuna mijitu humu inakujaga kucomment tu bila kupitia threads ya mtoa post. Mtoa kasema wamewapigia maliasili ndo wakaja kumuua ambacho hauelewi ni kipi na hakusema raia ndo kamuua.
Wewe umedandia Uzi
Mleta Uzi huu ame edit baada ya kupata habari kamili
Acha kukurupuka rejea majibu yote
 
Back
Top Bottom