Hahaahah alitaka aseme 600 itafaaalisikia kuna mnada wa nyumba bila shaka................
MakinikiaHabari zipi mkuu!
Mkuu unasema simba akiingia mjini ale shaba, na huyu ndio kilichomfaa aliposogea kwenye maeneo ambayo watu wana shughuli zao.Huyo mamba angerudishwa alikotoka
Ni mafunzo yanatakiwa sio kila mnyama kuuwa tu.
Kama Simba kaingia mjini sawa ale shaba lakini Mamba hapana
Waliomuua wapimwe mkojo, wakamatwe na wafikishwe mahakamani badala ya watu wasiojulikana.Kwa habari niliyopata hivi punde :
Inasemekana Mamba ameuawa pembezoni mwa hoteli ya Tilapia jijini Mwanza leo mchana.
=====
Mamba huyu ameuawa kwa kupigwa risasa na Maliasili baada ya kuibuka katika eneo la kivuko cha kwenda Hifadhi ya Saanane pale Capri point wilayani Nyamagana mkoani Mwanza na hivyo kuleta taharuki kwa wakazi wa eneo hilo.
![]()
![]()
![]()
Mkuu nina imani wengi humu hawajawahi kumuona live, hilo dude mbali na kutisha shughuli yake si ya kitoto.Me nadhani ni heri wamemuua maana usikute hawakuwa na zana za kuweza kumdhibiti....kwanza anatisha ukimuona ss unafikiri kumkamata huyo bila vifaa maalumu ingekuwa rahisi...!!!!
Naona hawa wanaokomaa arudishwe wajaribu kuomba hata kuvolunteer tu kuwachunga hao mamba wasisogee maeneo ya watu tuone.Huwa wanawaua kwasababu wanasema wanyama wanaokula nyama kama Simba, Chui, Mamba nk wakishakula nyama ya binadamu watataka kuendelea kula kwasababu inakuwa na chumvi chumvi kwahiyo hata ukimrudisha kwenye makazi yake atarudi tu kuwinda maeneo ya binadamu ndo maana huwa wanawaua sio kwamba hawawezi kuwakamata.
Ulitaka watu walie?kwanini wmemuua? wameshindwa nini kumdhibiti wamrudishe kwenye habitat yake ya asili. What a waste!
MaweWamemuulia nini......?........
Umesha sema USA.Hii ni Tanzania.Mbona USA wanaingia mpaka swimming pool lakini wanawakamata na kuwapeleka sehemu za mbali?
Kwanini wamuuwe?
Hebu maliasili watoe mafunzo kwa wananchi kwamba pindi wanapoona mnyama wapigiwe na kuja kumkamata
Kumshika Mamba ni rahisi sana
Inasikitisha kwa kweli
[emoji23] [emoji23]mamba shika
Kweli kabisa Huyo mamba ni kiboko!Huyu mamba KENGE sanaaa!