Mamba mkubwa auawa hotelini jijini Mwanza

Mamba mkubwa auawa hotelini jijini Mwanza

Jamani imekuwa nongwa kusafiri tu kitoweo wanakiua kwa aliye karibu anijuze vipi nyama yake itauzwa wapi? Siku nyingi sana sijala nyamachoma ya mamba na pilipili kwa pembeni kachumbari na CASTLE LAGER unashushia
 
Sababu ikiwa.......?
Mkuu salama? Vipi majukumu yanaendaje? Sasa kuna DAF XF moja inanisumbua sana, tumebadilisha gear box, ila sasa gear namba moja ni mziki, haikubali, washakuja mafundi wa kila namna kutoka Matumbi hapo, hebu nipe akili fundi wangu,

NB; gear zingine zote 15zinapatikana, kasoro hiyo moja tu!
 
mnyama analiingizia taifa pato kubwa kwa mwezi zaidi yako ww mfano leo tukikukamata wewe na simba tukawaweka sehemu watu waje wawaangalie ww kiingilio tukakufanya 200 simba tukamfanya 50000 watu wengi wataenda kwa simba kwa hyo wanyama lazima waangaliwe kwa umakini
Kuuawa kwa huyo mamba kunaweza kupunguza utalii wa ndani,dah tumepata hasara.
 
Huyu mamba ukikutana nae uso kwa uso mtu bee kama wewe ni mroma basi bora ujiandae kwa sala ya kifo chema.
 
mnyama analiingizia taifa pato kubwa kwa mwezi zaidi yako ww mfano leo tukikukamata wewe na simba tukawaweka sehemu watu waje wawaangalie ww kiingilio tukakufanya 200 simba tukamfanya 50000 watu wengi wataenda kwa simba kwa hyo wanyama lazima waangaliwe kwa umakini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani
 
Kuuawa kwa huyo mamba kunaweza kupunguza utalii wa ndani,dah tumepata hasara.
hapana kwanza huyu alikua hafanyiwi utalii yeye alikua anajificha anavizia watalii wa tilapia.pia yy sio wa kwanza kuuawa kuna mmoja alikua anawasumbua watu maeneo ya makongoro pale nadhan pia walimua rip mamba shika[emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Kwann asikamatwe akapelekwa kwa mamba wenzake

Mnyama ni mnyama tu ndio maana sisi wanaadamu tukawa wasimamizi wao ,sasa ni faida ya kuwa na chombo cha tanapa

Kama wanyam hawana faida basi vunjeni tanapa na wizara ivunjwe
Huwa wanawaua kwasababu wanasema wanyama wanaokula nyama kama Simba, Chui, Mamba nk wakishakula nyama ya binadamu watataka kuendelea kula kwasababu inakuwa na chumvi chumvi kwahiyo hata ukimrudisha kwenye makazi yake atarudi tu kuwinda maeneo ya binadamu ndo maana huwa wanawaua sio kwamba hawawezi kuwakamata.
 
Back
Top Bottom