Mamba mkubwa auawa hotelini jijini Mwanza

Ukweli ni kwamba hao maliasili waliomwua wanatakiwa kufikiri mara ya pili. Kumuua hakuzuii wengine kuja Mwanza. Tena si ajabu ndio watafurika sasa. Huenda makao yao wamevamiwa na uvuvi haram hivyo wakaanza kutafuta mahali salama.
Zoezi ni kuwakamata na kuwarudisha walikotokea na kupatengenezea mazingara salama wafurahie kukaa huko. Jiulize swali, wadhani huyo mamba mkubwa hivyo ni wa umri gani?? Sasa kwa nini hujiulizi kuwa mpaka awe mkubwa hivyo, mbona hakuwahi kufika hapo Mwanza mjini?? Kuna sababu hivyo askari aliyemuua afunguliwe mashitaka

Nafkri hufahamu historia ya huyo mamba....kwanza pale ni ziwani, hvyo mamba wapo wa kutosha...lakni kwa huyu alikuwa common sana maeneo ya Tilapia Hotel mpak maeneo ya kamanga...kaua idadi ya kutosha ya watu...na mara moja moja alikuwa anaibuka na kujianika kwenye jiwe...tabu aliyoleta hakukuwa na haja ya kumwacha
13768107_1059397700823313_31298467_n-jpg.572745
 
Mkuu unaweza kutupa hata kidogo namna ya kufanya hizo juhudi za kumrejesha huyo jamaa kwenye habitat yake. Maana haya matukio yanatokea kwa dharura tu, ni vema tukawa na ujuzi.
Umrudishe kwenye habitat yake kufanya nini tena...unaambiwa huyu mamba ameua watu kama 20 HV..in kawaida yake kuja na kupotea na watu...sasa umrudishe kwenye habitat yake ili aendelee kusumbua
 
Ukweli ni kwamba hao maliasili waliomwua wanatakiwa kufikiri mara ya pili. Kumuua hakuzuii wengine kuja Mwanza. Tena si ajabu ndio watafurika sasa. Huenda makao yao wamevamiwa na uvuvi haram hivyo wakaanza kutafuta mahali salama.
Zoezi ni kuwakamata na kuwarudisha walikotokea na kupatengenezea mazingara salama wafurahie kukaa huko. Jiulize swali, wadhani huyo mamba mkubwa hivyo ni wa umri gani?? Sasa kwa nini hujiulizi kuwa mpaka awe mkubwa hivyo, mbona hakuwahi kufika hapo Mwanza mjini?? Kuna sababu hivyo askari aliyemuua afunguliwe mashitaka
hua wanakuja wanarudishwa yawezekana huyu walimshindwa au ni wale mamba wa kutumwa kwa hyo usilaumu saana kabla hujajua sababu ya kumuua
 
  • Thanks
Reactions: Pep
kwanini wmemuua? wameshindwa nini kumdhibiti wamrudishe kwenye habitat yake ya asili. What a waste!
Ndio tatizo letu waswahili angeachwa akatafuna watu bado nayo mngelalamika kwanini kaachwa mpaka kala watu,muda mwingine waswahili hatueleweki hitajio letu ni nini.
 
SASA, SI ALIKUJA KUPUNGA UPEPO, WANGEMWACHA ANGERUD, HALAFU MAMBA AKIWA ARDHNI MPOLE TU. WAMEKOSEA KUMKILL
[emoji1] [emoji1] [emoji1]

Aisee! Sasa mkuu hauna hata kapicha u-share nasi akiwa anapunga upepo nawe ukiwa jirani bila kukudhuru.
 
Umrudishe kwenye habitat yake kufanya nini tena...unaambiwa huyu mamba ameua watu kama 20 HV..in kawaida yake kuja na kupotea na watu...sasa umrudishe kwenye habitat yake ili aendelee kusumbua
Kuna mkuu alishauri hivyo, ndio nikajaribu kumdodosa hivyo Mzee Msasambegu.
 
Mbona USA wanaingia mpaka swimming pool lakini wanawakamata na kuwapeleka sehemu za mbali?
Kwanini wamuuwe?
Hebu maliasili watoe mafunzo kwa wananchi kwamba pindi wanapoona mnyama wapigiwe na kuja kumkamata
Kumshika Mamba ni rahisi sana
Inasikitisha kwa kweli
Umeambiwa maliasili ndyo wamempiga risasi
 
Hiyo ngozi ya huyo mamba ina thamani kubwa sana hasa kwa watengeneza mikoba na viatu huko ulaya
 
Mkuu unaweza kutupa hata kidogo namna ya kufanya hizo juhudi za kumrejesha huyo jamaa kwenye habitat yake. Maana haya matukio yanatokea kwa dharura tu, ni vema tukawa na ujuzi.
Hio sio kazi yako

Toa taarifa kwenye mamlaka husika
 
Haswaaa, na mie ni mojawapo, nilimla mgahawa 1 pale nairobi unaiwa carnivore, ni mitamu kama samaki, na nyama yakenibnyeupe kama samaki
Duh! Ee bwana ee! Na kabla ulijua kabisa ni nyama ya mamba?!
 
Hio sio kazi yako

Toa taarifa kwenye mamlaka husika
Fuatilia mtiririko wa post ndio ucomment kitu relevant. Wahusika sasa ndio waliofanya maamuzi ya kumpiga risasi na kumuua.
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Ukweli ni kwamba hao maliasili waliomwua wanatakiwa kufikiri mara ya pili. Kumuua hakuzuii wengine kuja Mwanza. Tena si ajabu ndio watafurika sasa. Huenda makao yao wamevamiwa na uvuvi haram hivyo wakaanza kutafuta mahali salama.
Zoezi ni kuwakamata na kuwarudisha walikotokea na kupatengenezea mazingara salama wafurahie kukaa huko. Jiulize swali, wadhani huyo mamba mkubwa hivyo ni wa umri gani?? Sasa kwa nini hujiulizi kuwa mpaka awe mkubwa hivyo, mbona hakuwahi kufika hapo Mwanza mjini?? Kuna sababu hivyo askari aliyemuua afunguliwe mashitaka
Unaambiwa huyo mamba ni kawaida yake kufika hilo eneo na emepoteza watu kibao tu..wanyama kama hao haitakiwi kuwachekea chekea ni kuwaua tu
 
Back
Top Bottom