Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 18,914
- 22,355
Risasi, itakuwa ametokea kenya..Wamemuulia nini......?........
Risasi, itakuwa ametokea kenya..Wamemuulia nini......?........
Mamba Stevene W.Jina lake Tafadhali!!
Mkuu wakati mwingine haitakiwi kuwasikilizasikiliza watu...wanyama korofi kama hao ambao wanapoteza watu mkimvizia mkampata kinachotakiwa ni kumtoa roho ya tuKuna mkuu alishauri hivyo, ndio nikajaribu kumdodosa hivyo Mzee Msasambegu.
Wana matatizo tena makubwa sanaWahusika sasa ndio waliofanya maamuzi ya kumpiga risasi na kumuua.
Tusubiri ripoti ya tume,maana kila MTU anasema lakeMamba Stevene W.
Nadhani huyo mamba lazima atakuwa alikuwa analeta madhara mara kwa mara na ukute alishachokozwa na wanadamu, kikawaida mnyama yoyote anapohama makazi yake ya asili na kupenda kuibuka kwenye maeneo yenye watu na kuleta madhara mara kwa mara huwa anauuliwa kwa sababu za kiusalama maana akili yake ilishamtuma yeye eneo hilo ni sehemu yake ya mawindo hata wakimrudisha atakuja tena kuzengeea maeneo hayoSASA, SI ALIKUJA KUPUNGA UPEPO, WANGEMWACHA ANGERUD, HALAFU MAMBA AKIWA ARDHNI MPOLE TU. WAMEKOSEA KUMKILL
Nadhani kuna haja ya kuwa na semina za kuwa update.Wana matatizo tena makubwa sana
Bora wangemkamata na kumuuza nje ya nchi taifa lipate pesa kuliko kufanya maamuzi ya kipuuzi
Mamlaka ya Mali Asili haina wabobezi kazi yao ni kuua tu nakumbuka hata fisi waliua
.
Risasi za kulewesha hawana
Mishahara ya bure wana kula tu
Yani watu wanatetea mpaka upuuzi huyu mamba anafaida gani zaidi ya kuua watu?Angekwapua mkono wako usingetetea huu uozo.
SureYani watu wanatetea mpaka upuuzi huyu mamba anafaida gani zaidi ya kuua watu?
Ndio wanasema nyama yake ni laini na tamu sana na kama ina addiction hiviMamba analiwa?
Ana faida tena kubwa sanaYani watu wanatetea mpaka upuuzi huyu mamba anafaida gani zaidi ya kuua watu?
Haahahah imebidi nicheke duh....mafuriko hayajawahi kumuacha mtu salama!inanikumbusha mafuriko ya mwaka 98 yalituachia mamba sebuleni...
Ndio, mgahawa ule una style yake ya kuhudumia na very unique, wanakwambia, manake kulikuwa nyama za nyati, swala, minyama kibao ya poriniDuh! Ee bwana ee! Na kabla ulijua kabisa ni nyama ya mamba?!
You made me smile again!!!! Thanks.inanikumbusha mafuriko ya mwaka 98 yalituachia mamba sebuleni...