Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,227
mimi nachoshangaa kwanini huyu ben saanane alisema hakuna mtu anaeitwa sabula pale chadema,kwenye moja ya post zake hapa.yawezekana hivi visa wanafanyiana wao kwa wao hawa mahasimu kina yericko nyerere,saanane,shadcole dhidi ya zito bila chama chao kujua.
Safi sana... Yaani mnajitaja bila kutaka... Mtatapatapa sana. Mungu wenu pia anayaona mabaya yenu dhidi ya wengine!
Mkuu, CHADEMA kipo makini zaidi ya sana, tunatambua kutakuwa na thamthilia nyingi nyingi tu, ila kwa kuwa CDM ipo makini hakuna itakaofanikiwa...chadema wawe makini ccm wameona 2015 imekarbia wanatumia kila njia kuwavuruga...
Kutanguliza mapenzi mbele hata ukiwa msomi ima muelewa wa mambo kiasi gani utaongea au kuandika kimapenzimapenzi. MMJ haujasoma maelezo ya Barcelona au ndio kutanguliza mahaba ukajitoa ufahamu wako? HEBU TWAOMBA MAELEZO YAKO KWENYE COMENT YA BARCELONA MMJ.
Nusu ya hii thread umechangia wewe, waachie na wengine.
Bacelona ameandika kile anachojua au alichosikia au anachohisi...hivyo hiyo ni tahadhari tu kwa chama they can take it or leave it......
Huwezi ukawa unajadili kila komenti na tetesi ya mtu hapa jamvini...mwanakijiji amechagua kumzungumzia Dr.Slaa kwa nafasi yake katika chama na pia ni verified user hapa JF...na kingine evidences alizowakilisha jamvini..
Who is bacelona by the way?
Slaa au mbowe.
gazeti la mtanzania kila kukicha ni zitto....yani limekuwa nyenzo muhimu ya kuonyesha umma kuwa zitto apendwi na viongozi wa juu wa chadema..
yani ni bora gazeti la Uhuru. ...ila gazeti la Mtanzania wajue kuwa watanzania ni werevu na wala sio wapumbavu kama wazaniavyo
:yo::nono::tape2::dizzy::A S angel::high5::A S-heart-2:😛layball::bange::caked::lalala::censored::-*:-*:-*:lying::eyeroll1::banplease::smile-big::smile-big::crying:
Nimesoma post zote katika hii thread nimegundua kuwa wengi wenu mume loose your heads
Mpaka kipenzi chaka Slaa? Unaonekana kama uko sahihi kiasi.
You must be having a very LOCAL MOTIVE......poor soul
Viceversa is also true.
Sasa mama wa zito ana nini mpaka atake kufanyiwa unyama kwanza huyu mama si mlemavu,huyu ni malando pasipo shaka make yeye ndiye kapewa jukum la kumchafua zito.
Usikubali kuwa mnafiki kwa kushinikizwa au kulaghaiwa kwa vijiposho vya muda mfupi