Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,222
mimi nachoshangaa kwanini huyu ben saanane alisema hakuna mtu anaeitwa sabula pale chadema,kwenye moja ya post zake hapa.yawezekana hivi visa wanafanyiana wao kwa wao hawa mahasimu kina yericko nyerere,saanane,shadcole dhidi ya zito bila chama chao kujua.
Umekurupuka,Katika ile post nilikataa kumfahamu mtu anayeitwa 'SaGula'