GAzeti la Mtanzania linaripoti Mama mzazi wa zitto kabwe amevamiwa na majambazi.
Walikuwa wanataka computer na kiwekea kumbukumbu flash.
Kada wa CHADEMA atajwa kutambuliwa na mama huyo.Alikuwa miongoni wa majambazi waliomvamia.
Yaaaani, majambazi wa siku hizi za digital ya ajabu sana, yanaenda kumteka mtu ambaye yanafahamu kuwa anayafahamu, bado hayahangaiki kuficha uso au kuijficha. Haya yatakuwa ndio yanaanza kujifunza ujambazi, yale yaliyokubuhu, anayefahamika hawezi kujitokeza umwone wewe unayemfahamu; na ikitokea umemwona jua ndio mwisho wa maisha yako. Iweje jambazi anayefahamika ajianike wazi, kwanini aiwaache wale wasifahamika washughulike na hiyo deal.