Fatuma Karume na Zitto Kabwe sasa hivi mko kimya

Fatuma Karume na Zitto Kabwe sasa hivi mko kimya

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,654
Reaction score
18,076
Sikuwai kujua kwamba hawa watu ni wadini vibaya mno Zitto Kabwe na Fartuma Karume hawa kipindi cha Magufuli walikua wanamidomo kelele kila siku kumbe takataka tu uzuri ni kwamba sisi tunawatazama tu kwamba awamu ya Samia hakuna baya hata moja.

Uzuri kuimba ni kupokezana ni suala la mda tu japokua tumeshajua kwamba nyie ni wafia dini Hakuna kitu mtakuja kuzungumza kwenye jamii kikaelewela hata siku moja Zitto kipindi cha Magufuli ulikua unajenga ghorofa pale dodoma

Ulikua umeshindwa hata kumalizia lile ghorofa pale dodoma ndo maana ulikua na kelele nyingi sana kipindi cha Magufuli ulikua na ukata wa kifedha ulizoea vya kunyonga kwa sasa kwasababu uko kwenye asali unalamba kimya na ghorofa yako ulimaliza baada ya Magufuli kufa tunajua.

Fartuma huyu Uzanzimbar na Udini kwa sasa kila anachofanya Samia ni kizuri serikali yake inafanya mazuri tu
 
Sikuwai kujua kwamba hawa watu ni wadini vibaya mno Zitto Kabwe na Fartuma Karume hawa kipindi cha Magufuli walikua wanamidomo kelele kila siku kumbe takataka tu uzuri ni kwamba sisi tunawatazama tu kwamba awamu ya Samia hakuna baya hata moja. Uzuri kuimba ni kupokezana ni suala la mda tu japokua tumeshajua kwamba nyie ni wafia dini Hakuna kitu mtakuja kuzungumza kwenye jamii kikaelewela hata siku moja Zitto kipindi cha Magufuli ulikua unajenga ghorofa pale dodoma
Ulikua umeshindwa hata kumalizia lile ghorofa pale dodoma ndo maana ulikua na kelele nyingi sana kipindi cha Magufuli ulikua na ukata wa kifedha ulizoea vya kunyonga kwa sasa kwasababu uko kwenye asali unalamba kimya na ghorofa yako ulimaliza baada ya Magufuli kufa tunajua. Fartuma huyu Uzanzimbar na Udini kwa sasa kila anachofanya Samia ni kizuri serikali yake inafanya mazuri tu
Wanafiq hawa
 
Uko
Sikuwai kujua kwamba hawa watu ni wadini vibaya mno Zitto Kabwe na Fartuma Karume hawa kipindi cha Magufuli walikua wanamidomo kelele kila siku kumbe takataka tu uzuri ni kwamba sisi tunawatazama tu kwamba awamu ya Samia hakuna baya hata moja.

Uzuri kuimba ni kupokezana ni suala la mda tu japokua tumeshajua kwamba nyie ni wafia dini Hakuna kitu mtakuja kuzungumza kwenye jamii kikaelewela hata siku moja Zitto kipindi cha Magufuli ulikua unajenga ghorofa pale dodoma

Ulikua umeshindwa hata kumalizia lile ghorofa pale dodoma ndo maana ulikua na kelele nyingi sana kipindi cha Magufuli ulikua na ukata wa kifedha ulizoea vya kunyonga kwa sasa kwasababu uko kwenye asali unalamba kimya na ghorofa yako ulimaliza baada ya Magufuli kufa tunajua.

Fartuma huyu Uzanzimbar na Udini kwa sasa kila anachofanya Samia ni kizuri serikali yake inafanya mazuri tu
Uko sahihi100%
 
Hii ni zamu ya BAKWATA, wanakenua na kujilimbwasa tu.
Ikifika zamu ya wengine utasikia mambo ya Nchi kuendeshwa ki Vatican, mxxxiiieeew zao washika Juzuu n Elimu zao Mbali mbali.

Nyinyi wenye Elimu karibu karibu mmeifanyia nini hii Nchi?
 
Back
Top Bottom