Mama yake Zitto avamiwa

Mama yake Zitto avamiwa

Mh vipi mkakati gani mwingine umepanga kama mkuu wa chama kumuangamiza Zitto baada ya mbio zenu za sakafuni na dr?
Wewe na mama yako mumeshindwa dili mapema maneno unayosema hayo yameshasemwa tangu enzi na uedit hii posti yangu manake ndio nimekugundua unafanya mchezo na jamvi hili
 
Chamviga,
Tangu nimekuwa mwanachama wa JF au mtandao mwingine wowote daima nimeingia kwa jina langu kamili Dr.W.Slaa. Ni kwa kuwa naamini kutumia jina bandia ni dalili ya uwoga. Yeyote mwenye anaweza kupima ninachoamini kwa kuonyesha identity yangu halisi. Hata hivyo, si vema kuvumilia upotoshwaji na udanganyifu wenye hill mbaya.

Dr umekuja faster kukana jambo hili ni vizuri ila hii ilikuwa ni analysis yangu ndogo niliyoifanya humu ndani kwakufuatilia baadhi ya maandishi yako na Barcelona.

Bado nashindwa kukuamini kwakuwa dr kama unaamini kuwa kuongelea suala lilipo kwenye vyombo vya sheria ni kinyume mbona upotoshaji wa Barcelona haujaujibu haraka? Barcelona anaonekana ni mtu mwenye habari za kina na ambazo wewe umekuwa tukizona unazitoa.
Dr nakutakia kazi njema kama ni mtu mwema lakini kama ndio steringi mbinu hizi chafu mungu atakuumbua kumbuka hakuna siri duniani.
 
Dr slaa, asante kwa ufafanuzi.

Swali 1. Mama zitto amevamiwa tangu ijmaa iliyopita, kwanini chama hakijatoa taarifa yoyote hadi yeye aende polisi na leo tuikute taarifa kwenye gazeti ndio mnajitokeza.

2.mama zitto anasema amemtambua kada wa chama, unasemaje kuhusu hilo.

3. Anasema alivamiwa pia akiwa hotelini huko mwanza lakini chama hakijawahi kuzungumzia hili, huoni jamii haitakuelewa kirahisi.....

4..kumekuwa na sintofahamu za hapa na pale zinazokuhusisha wewe kumhujumu zitto kupitia vijana wako. Hali hii imekuwa na sura za namna tofauti tofauti sana.unazijua vyema, leo tena linatokea kwa mama yake..unasemaje hapa mkuu.

Asante kwa majibu mazuri
 
Wewe mchumia tumbo umeingia shift ya usiku unatumika kwa maslahi ya wachache kuchafua watu, wewe ndio uliyemvamia mama yake zitto, unakuja hapa kujitetea, shetani kabisa. Na ukome ushindwe ulegee
Get your life mimi ni mwana JF tumbo wewe ndio unalo kama hushibi unachopewa na wanaokutuma huko huko huko Tunazidi kumfahamu Shida binti salumu kuwa ni tapeli kati ya matapeli ya kisiasa nchini Mama kamuambikiza mwana
 
Yale yale ya mtoto wake chama hakitunzi barua wapi uliona chama kinaripoti polisi habari za mtu binafsi zilizotokea nyumbani kwake viroba vya usiku
 
Wewe na mama yako mumeshindwa dili mapema maneno unayosema hayo yameshasemwa tangu enzi na uedit hii posti yangu manake ndio nimekugundua unafanya mchezo na jamvi hili

Mkuu ni mtandao/network ila sijaedit chochote cheki hata reply zako na dr zilivyo.
 
Get your life mimi ni mwana JF tumbo wewe ndio unalo kama hushibi unachopewa na wanaokutuma huko huko huko Tunazidi kumfahamu Shida binti salumu kuwa ni tapeli kati ya matapeli ya kisiasa nchini Mama kamuambikiza mwana
Endelea kutumika mkuu, najua upo kazini kuharibu mjadala, kazi njema ila damu ya mama zitto unayemlaani itakuandama maisha yako yote..umemkosakosa sasa umeamua kuja kumshambulia jf. Huna aibu mama wa watu mlemavu unamuonea kiasi hiki..laana inakuhusu
 
si mbaya pia daktari akapima km hawakuiba vingi zaidi.kwa usalama wake na baba mlezi.inawezekana ikawa ngumu kuyasema.
 
Get your life mimi ni mwana JF tumbo wewe ndio unalo kama hushibi unachopewa na wanaokutuma huko huko huko Tunazidi kumfahamu Shida binti salumu kuwa ni tapeli kati ya matapeli ya kisiasa nchini Mama kamuambikiza mwana
Endelea kutumika mkuu, najua upo kazini kuharibu mjadala, kazi njema ila damu ya mama zitto unayemlaani itakuandama maisha yako yote..umemkosakosa sasa umeamua kuja kumshambulia jf. Huna aibu mama wa watu mlemavu unamuonea kiasi hiki..laana inakuhusu
 
Endelea kutumika mkuu, najua upo kazini kuharibu mjadala, kazi njema ila damu ya mama zitto unayemlaani itakuandama maisha yako yote..umemkosakosa sasa umeamua kuja kumshambulia jf. Huna aibu mama wa watu mlemavu unamuonea kiasi hiki..laana inakuhusu

Amekurupushwa kigoma kakimbilia huku jf kuendeleza mashambulizi kwenye familia ya Zitto.
Mkuu lwesye pumzika kama Ben saa8 alivyotulia attempt mbovu za kutoa uhai wa watu utawasakama sana.
 
Mama yake zitto alikuambia ulemavu wake umemfanya asiwe binadamu kazaa watoto wakila aina ulimsaidia yuko kwenye mambo ya siasa ulimsaidia, ni kiongozi wa chama cha walemavu kitaifa unamfanyia majukumu yake, anaakili zake timamu damu yake imemuroga mwenyewe mama tapeli umeona wanaomfahamu toka mtoto wameandika humu huyo mama damu yake itamnyonga mwenyewe tamaa za pesa kama amenunuliwa nyumba dubai aende salama tu asituharibie nchi
 
Amekurupushwa kigoma kakimbilia huku jf kuendeleza mashambulizi kwenye familia ya Zitto.
Mkuu lwesye pumzika kama Ben saa8 alivyotulia attempt mbovu za kutoa uhai wa watu utawasakama sana.

Wewe na mama yako ni familia mbovu kabisa hamkulelewa vizuri huwezi kuendesha syndicate chafu kama hizo kwa sabau ya vipande thumni hiyo familia ni hovyo siwezi kuwa na cha kujifunza kwao wala kuwashambulia wameshajishambulia
 
naona baada ya jitihada zote za kumuua kushindikana sasa wanaamua kuivamia familia yake ili apoteze concetration. si unakumbuka ile sumu ya ben saa8 na sakata la kulegeza nuts kwenye taili za gari lake?
Masalia wanaruhusu mama mtu mzima kucheza haya maigizo na vijana wa kiume wasio na adabu??

Wallah akachekiwe afya ku(m/wa)linda (m/wa)lezi wa kijana yyk.si unajua magonjwa na tabia za binadamu.

Acha wafanye kazi ya ccm km hawakumkibanda au kumzitto km walivyokwenda mformat india kwa mara ya mwisho walipomwonjesha kitu ya mwandosya,chami,mwakyembe .masalia huyu ndio alisaidia magamba wafagia watu wake bila jua ile hata mbebaji si salama.sasa bado wamlishe tena wakimaliza mtumie halafu waseme ni ni cdm.

Mama nae anataka beba ze powder ?njaa na jihad ni mbaya,anatimiza amri ya kutomkana mwenzie kwa makafir,kweli dini hufifisha uelewa.kwanini wasiwaambie akina malima,nape na wasira wabebe wao.

Aisee km jamaa wa Boston.mama na wanae walianya kuwa radicalize na kutembelea chenya na bosnia,
Dagestan,baadae wakaanza bishana na watu kuwa BIBLIA NI COPY YA QURAN.Masikini hakuna aliyemwambia ukweli kuwa ukristo umekuwepo long time kabla ya uislam.baadae ni kaboom. mama na mwana ktk adventure ndio .

Au wazee wa hadi mende wameshatoa ultimatum?wale wazee huwa wanampatia mtu muda mfupi na mikataba hewa wa kupata mamlaka na hela.badae ndio shetani anakuarifu kuwa hana mamlaka zaidi ya hell0
 
This is just sad. Nimemsoma Dr. Slaa na nimemuelewa. Ni muhimu watu wanaposoma habari zinazohusiana na CDM kusoma kwa umakini mno. Ikumbukwe kuwa CDM ni tishio kubwa zaidi kwa watawala kuelekea 2015 kuliko wakati mwingine wowote. NI kwa sababu hiyo hakuna jambo litakaloachwa kufanyika kama kwa kulifanya kutasaidia kuchafua jina la CDM, kuwagonganisha watu na kwa hakika kupunguza imani ya wananchi.

Viongozi na wanachama wa CDM wanapaswa kuelewa hilo na should never take anything for granted.
 
Mama yake zitto alikuambia ulemavu wake umemfanya asiwe binadamu kazaa watoto wakila aina ulimsaidia yuko kwenye mambo ya siasa ulimsaidia, ni kiongozi wa chama cha walemavu kitaifa unamfanyia majukumu yake, anaakili zake timamu damu yake imemuroga mwenyewe mama tapeli umeona wanaomfahamu toka mtoto wameandika humu huyo mama damu yake itamnyonga mwenyewe tamaa za pesa kama amenunuliwa nyumba dubai aende salama tu asituharibie nchi
Hoja zako ni dhaifu mno, watu wenye akili zao wamekupuuza, nyie ndio mnaoifanya chadema ionekane ni ya wauwaji, watesaji na magaidi. Kama kweli ww ni mwanachadema real huwezi kuwa na ujasiri wa kuandika huu uchafu wako hapa...more than three pages unamshambulia mtu uliyemvamia na kutaka kumdhalilisha.look at you..
 
Kutokana na habari iliyoandikwa na gazeti la Mtanzania la leo kuhusumajambazi kumvamia Mama Shida Salum na maelezo yake ambayo ameyatoa ni kamaifuatavyo;

i. Lengo kuu ni kuwa Polisi watamkamata Hemed Sabula, ambaye CHADEMA walimtumia kumrekodi Afisa usalama wa Taifa ambaye alikuwaanaanda ushahidi feki wa kumhusisha Lwakatare na ugaidi ……na tayari Polisiwameelekezwa kufanya hivyo kesho .

ii. Usalama wa Taifa , wameamua kulipiza kisasi kwaCHADEMA baada ya kurekodiwa na wanataka kujua walirekodi nini na hichowalichorekodi kipo wapi, hivyo Sabula atateswa sana ili aseme aliwezajekuwarekodi

iii. Zoka Jack , alifanya mawasiliano na ambaowalihusika katika kuandaa na kuandika habari hiyo na mwandishi alikuwaakielekezwa kila kitu, na ndio maana hajawahoji polisi kama suala hilo likokwenye uchungiuzi ama laa , na leo au kesho polisi watatoa tamko kuhusiana nasuala hilo na kuwa wanaendelea na uchunguzi na watamkamata Sabula, swaliatakaloulizwa ni kuwa mbona yeye aliuliza swali kama walivyofanya majambazi haowa kutungwa

iv. Sabula mawasiliano yake ya simu yamefanyiwa kazina baahati mbaya ameonekana kuwa hakumuuliza mama Zitto swali hilo la kuwaanatoa wapi fedha za kuzunguka nchi nzima ,ila alimuuliza juu ya kamaanawafahamu watu hao ama kama alishawahi kuwaona naye akamwambia atarudi kwakebaadae na hakuna ushahidi wa kimawasiliano kama alirejea tena kwake na badalayake akaenda kuongea na vyobo vya habari.

v. Kuhusu kwamba kijana mmoja ni mtu kutoka Tanga ,yupo kijana mmoja anaandaliwa anaitwa Khalid atakamatwa kwa hatua za baadae ,na huyu tayari ameshaandaliwa kimkakati.

Nawashauri CHADEMA wafanye yafuatayo kwa hatua za sasa;

a. Hakikisheni kuwa kuanzia leo mnaweka mawakili wenu kwaajili ya kuhakikisha kuwa Sabula haendi polisi peke yake ili asiteswe

b. Hakikishenikuwa mikanda mliyowarekodi watu wa usalama inawekwa mahali salama kwaniinatafutwa kwa gharama kubwa sana ili iweze kuandaliwa majibu.

c. Wapo watuambao mpaka sasa wanaweza kupoteza kazi kutokana na sakata hili , jiandaenikuwatetea …..

Naishia hapo kwa leo.

Huyu ni wazi mtu wa ndani CHADEMA anayejua mengi na hapa anajaribu kupre-empty kama strategia maarufu ya wanapropaganda wa CHADEMA. Huyu anapaswa kutambuliwa na hasa ukichukulia ukweli wa uhusika wa Sagula katika tuhuma mbalimbali zinazoindama CHADEMA. Inawezekana hata akawa mtu aliye karibu na kesi hizi na anajua umuhimu wa Sagula katika haya madudu na jinsi gani connection yake ilivyo na athari kwa wengine wengi!
 
This is just sad. Nimemsoma Dr. Slaa na nimemuelewa. Ni muhimu watu wanaposoma habari zinazohusiana na CDM kusoma kwa umakini mno. Ikumbukwe kuwa CDM ni tishio kubwa zaidi kwa watawala kuelekea 2015 kuliko wakati mwingine wowote. NI kwa sababu hiyo hakuna jambo litakaloachwa kufanyika kama kwa kulifanya kutasaidia kuchafua jina la CDM, kuwagonganisha watu na kwa hakika kupunguza imani ya wananchi.

Viongozi na wanachama wa CDM wanapaswa kuelewa hilo na should never take anything for granted.

Kutanguliza mapenzi mbele hata ukiwa msomi ima muelewa wa mambo kiasi gani utaongea au kuandika kimapenzimapenzi. MMJ haujasoma maelezo ya Barcelona au ndio kutanguliza mahaba ukajitoa ufahamu wako? HEBU TWAOMBA MAELEZO YAKO KWENYE COMENT YA BARCELONA MMJ.
 
This is just sad. Nimemsoma Dr. Slaa na nimemuelewa. Ni muhimu watu wanaposoma habari zinazohusiana na CDM kusoma kwa umakini mno. Ikumbukwe kuwa CDM ni tishio kubwa zaidi kwa watawala kuelekea 2015 kuliko wakati mwingine wowote. NI kwa sababu hiyo hakuna jambo litakaloachwa kufanyika kama kwa kulifanya kutasaidia kuchafua jina la CDM, kuwagonganisha watu na kwa hakika kupunguza imani ya wananchi.

Viongozi na wanachama wa CDM wanapaswa kuelewa hilo na should never take anything for granted.
Cdm inajimaliza yenyewe, vijana wake humu wanamshambulia mtu aliyefanyiwa unyama...kwanini tusiamini kuwa ni kweli wao ndio wamehusika....hawana utu wala chembe ya ubinadamu...hivi zitto akisoma comment zao anajiskiaje..ina maana zitto anaipenda sana chadema kuliko mama yake? Hana uchungu na damu yake? Hana akili? Vipi watanzania wa kawaida wanaopita hapa wakiona mvamiwa anatukanwa matusi ya nguoni huku ni mlemavu na ni mzazi wa kiongozi mwandamizi wa chadema...kwa hiyo chadema inajiua yenyewe kwa uroho wa madaraka.full stop.
 
Huyu ni wazi mtu wa ndani CHADEMA anayejua mengi na hapa anajaribu kupre-empty kama strategia maarufu ya wanapropaganda wa CHADEMA. Huyu anapaswa kutambuliwa na hasa ukichukulia ukweli wa uhusika wa Sagula katika tuhuma mbalimbali zinazoindama CHADEMA. Inawezekana hata akawa mtu aliye karibu na kesi hizi na anajua umuhimu wa Sagula katika haya madudu na jinsi gani connection yake ilivyo na athari kwa wengine wengi!
Angalia muda aliojiunga hapa jukwaani na post alizotuma....amejiunga mda mchache baada ya post hii kuwekwa hapa...alipoweka post yake akondoka.. Read btn the line there is an agenda
 
Back
Top Bottom