Mama wa miaka 50 ananitaka

Mama wa miaka 50 ananitaka

Angekua mzuri najua usingetaka hata ushaur 😂 ila kama anazo pesa za kutosha kukuhonga wee mtrombe tu kwa tahadhari... Kama hana pesa mwambie akatafute wazee wenzake aliokula nao ujana...
 
Cha ajabu sio huyo mama kukutaka, la hasha!

cha ajabu ni kwambaa ukiombwa namba yake hutoitoa katu😂😂
 
Mpe ufadhili acha kumbania mmama wa wtu mpe raha za dunia ujue.
 
Kumbe bado nina muda mrefu wa kula Bata, 50 bado ana hamu?
...Mwanamke wa Miaka 54 ni Mzee hafai, ila Mwanaume wa Miaka 60 Bado anadai, na akiwa na Hela ni Kijana!!! Inashangaza...[emoji848][emoji848]
 
[emoji1787]Ajabu sana! Asilete kuvunga,akamkune tu mama wa watu Kwa kweli,afu tunakoelekea inaonyesha tutaanza kununua hizi fimbo Ili zituchape[emoji848] si unaona hizo jeuri zao[emoji119]
Wanaume tunaringa sana siku hizi
 
Mtoto wa kiume unamwambia mwanamke "Siwezi!"... Wewe kula kwanza utimize uanamme wako uone kama yaliyomo yamo au kama ana mkono mwepesi (mpunga), inawezekana unapiga teke sahani la dhahabu!! Ukiona hana kila kitu piga chini litakuwa sio lishangazi hilo bali libibi
 
sasa nikianza kumpiga hela , sintakuwa mario sasa?
 
Back
Top Bottom