Mama wa miaka 50 ananitaka

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,230
29,608
Wakuu habari?

Mimi ni kijana wa miaka iliyokati ya 30 na 34,nina mke na watoto 2.

Nilikutana na huyu mama kwa Gari kuelekea nchi jirani(jina kapuni). Hivyo kutokana na urafiki tulioujenga ndani ya safari ile ya siku 2 ilinibidi nichukue namba lkn sikuwa na mawazo mabaya.

Lakini huyu mama amenitamkia ananipenda na anatamani kampani yangu sababu mume wake kamuacha na kuhamia kwa mke mwingine.

Pili hana mtu yeyote huku ng'ambo ya Tanzania hivyo anaona mimi nitamfaa zaidi. Mwanzoni nilisita ila nkawa namkwepa kwa kumpa majibu direct na kutokuweka mazungumzo ya mapenzi bali ya kirafiki.

Ila kachachamaa sanaa , ana moto sanaa na mimi naweza nkagonga wanawake umri wa mwisho 40 ila 52 pamezidi sana Sina mzuka naye na havutii kivileee.

(Sina shida na mbususu nina michepuko kama wa2 wa huku huku ng'ambo ,umri kuanzia 25-35)

Nimetafuta kila sababu ya kumtema ila yeye yumo,

Naomba ushauri wakuu nifanyeje?

Screenshot_20220725-225240_WhatsAppBusiness.jpg
 
Huko mnakoenda siku mbili kwa Basi ni wapi mzee au Congo? Achana na huyo mzee unless umpe malengo kwamba unamla ila anakujengea nyumba Kama Hana hela akale na aliokula nap ujana wake.

Wakati mwingine tuwe kama wanawake walivyo, akipata mdingi anamkamua Kwanza anaweka mambo eazi kabisa kwamba mie nakukubali Ila itaninunulia gari fulani na kadi akupe unahakiki kabisa. Ukija kunogewa at least umekula hela yake sio unakula mzee na hela hana.
 
Huko mnakoenda siku mbili kwa Basi ni wapi mzee au Congo? Achana na huyo mzee unless umpe malengo kwamba unamla Ila anakujengea nyumba Kama Hana hela akale na aliokula nap ujana wake...
mkuu huyu mama sijawahi kumuuliza kuhusu kipato ila naona ni kawaida si kwamba ana mpunga.

umeongea point" nile mzee na hana hela".

ntalifanyia kazi ikiwezekana.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom