Mama wa miaka 50 ananitaka

Ukishindwa kusolve issue ndogo kama hiyo utaweza nini? Block namba yake kisha ifute kwenye device zako zote. Akikutafuta kwa namba nyingine ukishajua tu kuwa ni yeye kata simu mara moja kisha usipokee tena.

Hayo unayaweza ikiwa tu Unasema ukweli wa moyo wako kuwa hutaki kumtoumber huyo mama, vinginevyo utafail
sawa mkuu, nimekuelewa.
 
Aina gani ya urafiki unao utaka kwake?
kuna nini utafaidika ukiwa karibu nae?
Wewe nikijana yeye ni mzee sasa huoni kama hamuendani?
Fuata kilichokupeleka huko braza familia bado inahitaji msaada wako,
 
Dah asipoelewa na hii muacheni huyo mvulana
 
Mkuu ushawahi chakata maza wa miaka 50 kuendelea?

ilikuwaje?
Hawachoshi na shughuli wanaweza kweli kweli uzoefu unachangia.

Mzigo uko wet full time sio kama wale wengi wakavu kama mwamba.

Ukimkuna vizuri mbona utaitwa baba.

Ukipata stress zako huko unaenda kuliwazwa kwenye mopaja ya kilo 70.

Maisha yanataka Nini.

Mimi napenda sana matured women.
 
Aina gani ya urafiki unao utaka kwake?
kuna nini utafaidika ukiwa karibu nae?
Wewe nikijana yeye ni mzee sasa huoni kama hamuendani?
Fuata kilichokupeleka huko braza familia bado inahitaji msaada wako,
sawa mkuu .asante
 
mkuu achana nae huyo ana lengo maalum la kuvunja ndoa yako na kusambaratisha familia yako kuwa makini sana. mistake moja tu inaweza kusambaratisha kabisa familia na inavyoonekana atakuganda huyo na kukuharibia kabisa starehe ya mda mdogo isikuharibie maisha
 
mkuu huyu mama sijawahi kumuuliza kuhusu kipato ila naona ni kawaida si kwamba ana mpunga.

umeongea point" nile mzee na hana hela".

ntalifanyia kazi ikiwezekana.
Kama Hana hela achana nae ni msumbufu tu
 
Back
Top Bottom