Mama wa miaka 50 ananitaka

Uspotubu utakumbuka kauli hii ukiwa motoni...tubu sahizi mida bado unao.
 
At 52 wanakuwaga na joto Sana, tatizo ya hiyo age group Ni wivu.
Atataka ukimpiga wife na yeye pia. Raha Yao nyingine vilio.
 
Wakuu habari?

Mimi ni kijana wa miaka iliyokati ya 30 na 34,nina mke na watoto 2.

Nilikutana na huyu mama kwa Gari kuelekea nchi jirani(jina kapuni). Hivyo kutokana na urafiki tulioujenga ndani ya safari ile ya siku 2 ilinibidi nichukue namba lkn sikuwa na mawazo mabaya.

Lakini huyu mama amenitamkia ananipenda na anatamani kampani yangu sababu mume wake kamuacha na kuhamia kwa mke mwingine.

Pili hana mtu yeyote huku ng'ambo ya Tanzania hivyo anaona mimi nitamfaa zaidi. Mwanzoni nilisita ila nkawa namkwepa kwa kumpa majibu direct na kutokuweka mazungumzo ya mapenzi bali ya kirafiki.

Ila kachachamaa sanaa , ana moto sanaa na mimi naweza nkagonga wanawake umri wa mwisho 40 ila 52 pamezidi sana Sina mzuka naye na havutii kivileee.

(Sina shida na mbususu nina michepuko kama wa2 wa huku huku ng'ambo ,umri kuanzia 25-35)

Nimetafuta kila sababu ya kumtema ila yeye yumo,

Naomba ushauri wakuu nifanyeje?

View attachment 2303886
Mtake nawewe😎
 
Sasa nimesema nchi jirani , unaumia na wale walio mabele huko,? usa, china, canada

Nauli ya hapo dar kuja huku ni ndogo sana.

Usiwe na hasira na maisha ya watu kiasi hiko

emu relax, weka matako chini ,jipige kifuani alafu sema " mimi ni mjinga"
Huna akili.Umebeba fuvu kwa mabega.Na ujumbe umeupata.
 
Wakuu habari?

Mimi ni kijana wa miaka iliyokati ya 30 na 34,nina mke na watoto 2.

Nilikutana na huyu mama kwa Gari kuelekea nchi jirani(jina kapuni). Hivyo kutokana na urafiki tulioujenga ndani ya safari ile ya siku 2 ilinibidi nichukue namba lkn sikuwa na mawazo mabaya.

Lakini huyu mama amenitamkia ananipenda na anatamani kampani yangu sababu mume wake kamuacha na kuhamia kwa mke mwingine.

Pili hana mtu yeyote huku ng'ambo ya Tanzania hivyo anaona mimi nitamfaa zaidi. Mwanzoni nilisita ila nkawa namkwepa kwa kumpa majibu direct na kutokuweka mazungumzo ya mapenzi bali ya kirafiki.

Ila kachachamaa sanaa , ana moto sanaa na mimi naweza nkagonga wanawake umri wa mwisho 40 ila 52 pamezidi sana Sina mzuka naye na havutii kivileee.

(Sina shida na mbususu nina michepuko kama wa2 wa huku huku ng'ambo ,umri kuanzia 25-35)

Nimetafuta kila sababu ya kumtema ila yeye yumo,

Naomba ushauri wakuu nifanyeje?

View attachment 2303886
Hukupaswa kuweka mazungumzo yenu binafsi hapa maana hajakukosea kitu
 
Hayo maandiko ya kutunga yaliyobuniwa na wakoloni kwa maslahi yao binafs futa hapa.

Hicho kitabu mtumba unacho kinukuu ni sawa na kitabu cha kusadikika cha shaban robert.

Huwa nakerwa sana watu kama nyie na hivi vimaandiko uchwara mnavovileta kwa lengo kumtisha mtu na kumtia hofu,, hakuna cha ufunuo wala ufunguo

Pole kwa kukerwa na vitisho
Muda wako utafika na wewe utaelewa kwamba hivi ni vitisho au lah

Ipo nguvu nyuma ya kila tunachoamini na tunachofanya kwa
@mama D Asante kwa ushauri mzuri , Wapo wanaosema eti sijui hiki na kile lkn naamini ni watu waliona makasiriko mengi . Jf ni sehemu ya msaada , sasa nkaombe wap ushauri?

Asante Riyan
Hapo nimemuwaza dada yangu, yaani mama yako mzazi... inawezekana ni age ya huyo mama kabisa
Sasa hizi mambo za watoto kufunua tupu za mama zao si ni dhambi yenye kipeuo chapili cha shirika😓😓
 
Pole kwa kukerwa na vitisho
Muda wako utafika na wewe utaelewa kwamba hivi ni vitisho au lah

Ipo nguvu nyuma ya kila tunachoamini na tunachofanya kwa

Asante Riyan
Hapo nimemuwaza dada yangu, yaani mama yako mzazi... inawezekana ni age ya huyo mama kabisa
Sasa hizi mambo za watoto kufunua tupu za mama zao si ni dhambi yenye kipeuo chapili cha shirika😓😓
Dada ana 52, jamaa ana 34. Tofauti ya 18 tu hiyo sio mbaya bwanaaa, yeye aitandike mbususu hiyo, tena ataenjoy sana huo utam wa bidada mwenye 52
 
ERon
Nia na madhumuni haswa ya kumwambia afanye kuitandika hiyo mbususu ni nini😓😓
Ni njaa? Tamaa? Kukomoa? Kukomesha? Au ni nini????
 
Back
Top Bottom