mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,098
- 9,999
Tanzania ni taifa rafiki na babu yake mzee Kim il sun na kumbukumbu zake nyingi sana za utawala wa Juche zipo maktaba ya kibaha. Karibu Tanzania Kim jong kiduku un
Source ? Trust me broKorean Peninsula Giant. Overweight, Beardless, Sinful, Sinister and Atheist Dictator who set up his country as an open prison.
Niliwahi kusikia ni shogaView attachment 2900658
Tanzania ni taifa rafiki na babu yake mzee Kim il sun na kumbukumbu zake nyingi sana za utawala wa Juche zipo maktaba ya kibaha. Karibu Tanzania Kim jong kiduku un
Kuwa na marafiki wa ajabu ajabu ni mojawapo ya mambo yaliyochangia umaskini wa taifa letu.Hayati Kim il sung, alikuwa ni rafiki mkubwa wa mwl. Jkn, vitabu vya North Korea vilijaa kweli Tanzania, hasa vikionyesha harakati za kilimo, hawa jamaa walijibidisha na kilimo toka zamani mno, nakumbuka mzee wangu kwenye shelf za vitabu vyake almost nusu ya shelf ilijazwa vitabu vya Kim il sung.
Ulikuwa ndiyo mfumo kwa wakati huo kiongozi wa nchi kuuchagua to autakao!Kuwa na marafiki wa ajabu ajabu ni mojawapo ya mambo yaliyochangia umaskini wa taifa letu.
Ila west wakiamua kumchafua mtuu... kwa maadili ya korea ni ngumu kupata shoga hukoNiliwahi kusikia ni shoga
Sema vinachosha kusoma asikwambie mtuHayati Kim il sung, alikuwa ni rafiki mkubwa wa mwl. Jkn, vitabu vya North Korea vilijaa kweli Tanzania, hasa vikionyesha harakati za kilimo, hawa jamaa walijibidisha na kilimo toka zamani mno, nakumbuka mzee wangu kwenye shelf za vitabu vyake almost nusu ya shelf ilijazwa vitabu vya Kim il sung.
Mbona huo mfuo tungali tunao. Mbona sasa tumewageukia mabinamuUlikuwa ndiyo mfumo kwa wakati huo kiongozi wa nchi kuuchagua to autakao!
Source, UNAAMBIWA.Source ? Trust me bro
View attachment 2900658
Tanzania ni taifa rafiki na babu yake mzee Kim il sun na kumbukumbu zake nyingi sana za utawala wa Juche zipo maktaba ya kibaha. Karibu Tanzania Kim jong kiduku un
Tunavyo kwambia ni marafiki tunamaanishaa... nikupe tu mfano ujamaa wa Tanzania uliitwa ujamaa na kujitegemea wakati wa korea uliitwa Juche means kujitegemea!Huwa nachoka nikisikia Tanzania ni rafiki sijui wa Korea ama China. Viongozi wakikutana na kusalimiana kwa tabasamu ndio mnasema hizo nchi ni marafiki! Hebu nenda North Korea kisha jitambulishe kuwa ww ni mtanzania, uone hata kama wanaijua Tanzania, au watakufagilia kama rafiki. Acheni story za kulazimisha urafiki usiokuwepo.
Ndio maana hata ww unasujudu siasa za kiduwanzi, kumbe una asili nazo!Hayati Kim il sung, alikuwa ni rafiki mkubwa wa mwl. Jkn, vitabu vya North Korea vilijaa kweli Tanzania, hasa vikionyesha harakati za kilimo, hawa jamaa walijibidisha na kilimo toka zamani mno, nakumbuka mzee wangu kwenye shelf za vitabu vyake almost nusu ya shelf ilijazwa vitabu vya Kim il sung.
Tanzania Kuna ujamaa boss?Tunavyo kwambia ni marafiki tunamaanishaa... nikupe tu mfano ujamaa wa Tanzania uliitwa ujamaa na kujitegemea wakati wa korea uliitwa Juche means kujitegemea!
Ulikuwepo saiv tunacheza tuu mziki kulingana na beatsTanzania Kuna ujamaa boss?