Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,217
- 1,706
Watanzania bana.....mtu aksiema ukweli unaambiwa una wivu au dharau......we kokolo ulifundishwa na mwalimu mwenye elimu gani primary? imefika kipindi tuache dharau, mwalimu wa primary ndio waliotujengea msingi wengine hadi tupo hivi tulivyo.
.....umeshamuona Mama salma akihutubia? mbona aibu utatamani uzime tv kwa kuona aibu......
...nijuavyo kama ni mwalimu wa UPE basi atakuwa kaishia darasa la 7! muungwana kawa waziri katibu mkuu miaka kibao kashindwa kumuendeleza mkewe....its shame......
......ndio maana wengi tunaamini huko LA kaenda talking shopping
i wounder kwa nini waandishi wetu wa habari huwa akirudi hawamuwahi pale JULIUS NYERERE ....wamuombe awape briefing ya hizo shopping festival anazohudhuriaga!!!!
Nikimuangalia Michelle akiongea na kumuona huyu wetu naona aibu kubwa......