wauzaji wa sura ikulu..na wazururaji...kazi tunayo!!!!....anaenda USA kusema ZE ...ZE...HOME IS PROBLEM ..STREET CHILDRENI...na bakuli lake!![/B][/QUOTE]
Jamani haifai kudharau wenzenu, mbona wengine tunawaona lugha zao matatizo - from Spanish or Portuguese to English huwa wanasukuma hivo hivo. Cha ajabu nini?