mama salma huyoooo USA

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kuona mumewe hatulii hata nyumbani nae kaamua kuanzisha safari usiku huu anatarajia kupanda pipa la KLM kuelekea USA akiwa na group la watu 15 kati ya hayo 13 wote wako business class.

Kazi kwelikweli kama wazazi wako hawakauiba too late now kila la kheri mama tunawatakia mlo mema na safari njema huko muendako.
 
Nani angekuwa kwenye nafasi yake asingekula nchi? Tuacheni unafiki! Mama umekipata kitumie, ukikikosa ukijutie.Cha msingi iwe ziara yenye kuleta manufaa na kwa wengine pia na siyo manufaa binafsi tu maana wananchi tunagharamia kupitia kodi zetu.
 
Kumbe majuu kuzuri aisee.....
 
Nani angekuwa kwenye nafasi yake asingekula nchi? Tuacheni unafiki! Mama umekipata kitumie, ukikikosa ukijutie.Cha msingi iwe ziara yenye kuleta manufaa na kwa wengine pia na siyo manufaa binafsi tu maana wananchi tunagharamia kupitia kodi zetu.
Heeeee heeeee heeeeee!! haya ndo yale yakina Janet Musseven, shopping za majuu kwa visingizio vya business, tangu lini first lady na ziara za kiserikali? kwa nin asende mama Nagu? hapa Watz weshapigwa bao.
 
Mkw wa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania baada ya kuona mumewe hatulii hata nyumbani nae kaamua kuanzisha safari usiku huu anatarajia kupanda pipa la KLM kuelekea USA akiwa na group la watu 15 kati ya hayo 13 wote wako BUSSINESS....kazi kwelikweli kama wazazi wako hawakauiba too late now
kila la kheri mama tunawatakia mlo mema na safari njema huko muendako

Mkuu Pdidy,Mama Salma Kikwete anakwenda Marekani katika jimbo la California,kwenye Mkutano wa Taasisi binafsi inayojulikana kama (USDFA),Mkutano huo utafanyika kuanzia tarehe 20/04 mpaka 22/04 katika mji wa Los Angeles,Licha ya First Lady wa Tanzania kuna First Ladies wengine 14 kutoka Africa (Kusini mwa Sahara) wamealikwa katika Mkutano huo ulioandaliwa na Celebrities Sharon Stone,Billy Zane na Danny Glover kwa kupitia Taasisi yao ya US Doctors For Africa (USDFA).Miongoni mwa watoa Mada katika Mkutano huo ni Mke wa Waziri Mkuu wa Uingereza Sarah Brown na Mke wa Governor wa California Maria Shriver Schwarzenegger.

Mkuu naomba kidogo angalia vyanzo vya habari yako,Nauli na Malazi kwa First Lady na ujumbe wake vimegharamiwa na USDFA.
 
...afanye mazoezi apunguze unene labda ndio maana mzee anasafiri mara kadhaa sasa anamuacha home..nadhani anasafiri na bi mdogo sasa...though hajawa official..sio ngumu kwake.......

wauzaji wa sura ikulu..na wazururaji...kazi tunayo!!!!....anaenda USA kusema ZE ...ZE...HOME IS PROBLEM ..STREET CHILDRENI...na bakuli lake!!
 
Plz hebu fafanua hapa vp?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom