Mama Ngina kanikamata leo........!!!!!

Mama Ngina kanikamata leo........!!!!!

Mwambie mambo ya birthday ni mila za kizungu tu, sio za ki Africa na mimi siwapendi Wazungu ndo mana hata birthday yangu huwa si-ikumbuki....Au unamwambie una onaje tuwache haya ma mila ya kuiga, mana tunapoteza pesa zetu bure...kazi zetu zimekuwa kuwa wekea order za keki na magharama mengi, wakati tu kisave hizo pesa, tunaweza kujenga Twin vila tukawakodisha hao hao wazungu:biggrin:
 
mnamtia moyo wa nini huyu Mtambuzi?? ukweli ni kwamba leo alitingwa na ahadi zake za kitaa. hivi kama ingekuwa nai ishu ya kwenda LEO TUPO HAPA angesahau?? asitutanie amwombe samahan mama wa watu
 
Last edited by a moderator:
Hivi huu ni uzee au uzembe, nimetumiwa email jioni hii na mama Ngina. Naomba nikiri kwamba nilighafilika na sijui nijitetee vipi mpaka anielewe......

Sent:
Thursday, February 28, 2013 3:52 PM
To: xxxxxxxxxxx
Subject: Re: BIRTHDAY

hallo, leo umekumbuka hata birthday ya mtoto

Mtambuzi 19:53 Today

A come this way, niko na warembo
wananichuna mshahara wangu......
Leo kwa Mama Ngina kutachimbika aisee......
LoL


Ndoo unakomeshea huko SAMAKI SAMAKI¿¿¿¿
 
Mtambuzi na huko samakisamaki unafanya nini? hujapeleka tu zawadi?
Nilishasema kuna hafla na mie ndio Manju wa shughuli, ningeeleweka vipi kama ninge cancel last minute....
Ngoja nimaliziane na hawa warembo, kisha nitajua nitajibu vipi tuhuma

Mbona mwanisimanga hivoooo
 
Mtambuzi 19:53 Today

A come this way, niko na warembo
wananichuna mshahara wangu......
Leo kwa Mama Ngina kutachimbika aisee......
LoL


Ndoo unakomeshea huko SAMAKI SAMAKI¿¿¿¿

Nina ugeni kutoka KISAUNI, si vyema kuwatelekeza wageni, kwani kwenu hamjui kukarimu wageni.....?
 
mi nilifikiri kakufumania na zile zana za mwanaume shujaa!!!, kumbe hilo tu limalize kiutu uzima wala usidanganye kuwa mkweli tu mambo mingi siku hizi kupitiwa imo sema tu yale mambo mengine hisia tu zinakumbushwa na macho yanapoona.
 
Nilishasema kuna hafla na mie ndio Manju wa shughuli, ningeeleweka vipi kama ninge cancel last minute....
Ngoja nimaliziane na hawa warembo, kisha nitajua nitajibu vipi tuhuma

Mbona mwanisimanga hivoooo
hahaha sukari ya marembo Mtambuzi kwa vile ni warembo huwezi cancel wangekua mijanadume fastaaaa ungecancel duh,ng'ombe hazeeki mapaja.
 
Huyo mama ngina ajisomee tu alama za nyakati kuwa mmewe ashajizeekea na memory za birthdy zimeanza kufutika mdogomdogo
 
nilijua tu.mimi lile bandiko la jana lile ,hv na miaka 11 haigawanyk enh?
 
Mtambuzi na utakapozaa wengine wawili zaidi si utawasahau hata majina yao.

Jitahidi kupunguza uzungu, siku ukichacha hata kuta za nyumba zitakushangaa.
 
Last edited by a moderator:
Hivi huu ni uzee au uzembe, nimetumiwa email jioni hii na mama Ngina. Naomba nikiri kwamba nilighafilika na sijui nijitetee vipi mpaka anielewe......

Sent:
Thursday, February 28, 2013 3:52 PM
To: xxxxxxxxxxx
Subject: Re: BIRTHDAY

hallo, leo umekumbuka hata birthday ya mtoto

Mtambuzi bhati nzuri kwangu sisherehekei siku ya kuzaliwa naona haina maana ila siku ya kufa ndiyo nitasherehekea maana upuuzi wote wa hii dunia nitaachana nao............na nitayoyoma kwenda mbinguni na kuwa na Mungu wangu Kristu Yesu kwenye maraha...................ni mateso kuwemo humu sasa unasherehekea nini?
 
sasa tukushambulie veepee?
we si ulikuwa na mademu unajisifia unachunwa mwenyewe.....hili sasa limeze mwenyeweee
 
Back
Top Bottom