Mama Ngina kanikamata leo........!!!!!

Mama Ngina kanikamata leo........!!!!!

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Posts
8,809
Reaction score
15,443
Hivi huu ni uzee au uzembe, nimetumiwa email jioni hii na mama Ngina. Naomba nikiri kwamba nilighafilika na sijui nijitetee vipi mpaka anielewe......

Sent:
Thursday, February 28, 2013 3:52 PM
To: xxxxxxxxxxx
Subject: Re: BIRTHDAY

hallo, leo umekumbuka hata birthday ya mtoto
 
afadhali wewe umesahau kuwa ya mtoto....zali lake linaisha mapema tu. Rudi na zawadi nzuri ya birthday na useme kabisa kuwa ulikumbuka ila ulitaka kum-surprise.
mwenzio kuna mwaka nilisahau ya mzee.....kilichoniuma zaidi mpaka jana yake nilikuwa nakumbuka na nilikuwa nimeshaandaa cha kumfanyia hiyo siku.
huwa nina kawaida ya kumu-wish saa 6 usiku (ili niwe wa kwanza, lol!) hiyo siku niliwahi kulala na sijui ilikuwaje alarm haikuniamsha hiyo saa 6.
Asubuhi siku ya kazi mtu kajiandaa kwenda job ananiaga naondoka sasa, usingizini najibu "Uwe na siku na kazi njema".
Akaondoka. mara mtoto anakuja chumbani ananiambia "mum today is dad's birthday".......
kutoka nje kwani yupo! kwa mara ya kwanza nilienda ofisini kwake
 
Mtoto ana umri gani.

Maana ni rahisi kusahau kama mtoto ana miaka 30.
 
Ndo ukatafute zawadi sasa tena ya leo iwe nzuri kuliko ya siku zote, then useme ulikua wakumbuka ulitaka kumsuprise mtoto!
 
Hapo umechemka mzee,had unasahau b'day ya mwanao.?
Sasa jifanye ulikumbuka ila ulitaka uwafanyie suprise so leo watoe out mkamalizie b'day ya mtoto sehemu tulivu pamoja na familia yako.
Chonka wazea mulangila.
 
Mtoto ana umri gani.

Maana ni rahisi kusahau kama mtoto ana miaka 30.
Ndio anatimiza miaka 11 leo mkuu, yaani ndio nakaa ofisini na kukutana na hii email sasa hivi, yaani kutwa leo nilikuwa kiguu na njia nikimtumikia mkoloni wangu.....
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Hapo umechemka mzee,had unasahau b'day ya mwanao.?
Sasa jifanye ulikumbuka ila ulitaka uwafanyie suprise so leo watoe out mkamalizie b'day ya mtoto sehemu tulivu pamoja na familia yako.
Chonka wazea mulangila.
Sasa tatizo nitachelewa kutoka kazini kwa sababu kuna hafla na ninatakiwa nihudhurie na mimi ndio kinara, nashindwa kuomba udhuru last minute......
 
afadhali wewe umesahau kuwa ya mtoto....zali lake linaisha mapema tu. Rudi na zawadi nzuri ya birthday na useme kabisa kuwa ulikumbuka ila ulitaka kum-surprise.
mwenzio kuna mwaka nilisahau ya mzee.....kilichoniuma zaidi mpaka jana yake nilikuwa nakumbuka na nilikuwa nimeshaandaa cha kumfanyia hiyo siku.
huwa nina kawaida ya kumu-wish saa 6 usiku (ili niwe wa kwanza, lol!) hiyo siku niliwahi kulala na sijui ilikuwaje alarm haikuniamsha hiyo saa 6.
Asubuhi siku ya kazi mtu kajiandaa kwenda job ananiaga naondoka sasa, usingizini najibu "Uwe na siku na kazi njema".
Akaondoka. mara mtoto anakuja chumbani ananiambia "mum today is dad's birthday".......
kutoka nje kwani yupo! kwa mara ya kwanza nilienda ofisini kwake

hahaha nimeipenda hiyo.usikute nawe ulibeba zawad na kudai ulienda kumsuprise akiwa ofisin.
 
unaanzia wapi hiyo surprise?
kwanza ni kwenda kuweka mazingira ya kutokuendelea kununa na kutoa siri ya maandalizi yoote uliyoyafanya na kuomba achomoke ofisini mapema ili aone upo serious
 
Sasa tatizo nitachelewa kutoka kazini kwa sababu kuna hafla na ninatakiwa nihudhurie na mimi ndio kinara, nashindwa kuomba udhuru last minute......

mzee,omba kuchelewa kidogo kwenye hafla il ukimbize zawad kwa mtoto na mama Ngina muombe akuruhusu urud kwenye hafla
 
afadhali wewe umesahau kuwa ya mtoto....zali lake linaisha mapema tu. Rudi na zawadi nzuri ya birthday na useme kabisa kuwa ulikumbuka ila ulitaka kum-surprise.
mwenzio kuna mwaka nilisahau ya mzee.....kilichoniuma zaidi mpaka jana yake nilikuwa nakumbuka na nilikuwa nimeshaandaa cha kumfanyia hiyo siku.
huwa nina kawaida ya kumu-wish saa 6 usiku (ili niwe wa kwanza, lol!) hiyo siku niliwahi kulala na sijui ilikuwaje alarm haikuniamsha hiyo saa 6.
Asubuhi siku ya kazi mtu kajiandaa kwenda job ananiaga naondoka sasa, usingizini najibu "Uwe na siku na kazi njema".
Akaondoka. mara mtoto anakuja chumbani ananiambia "mum today is dad's birthday".......
kutoka nje kwani yupo! kwa mara ya kwanza nilienda ofisini kwake
Kumbe rafiki na wewe una mambo ya kizungu eh?
 
FP , ili nijue mwanamke ananipenda sihitaji makubwa, wala sitaki aniletee maua ya Namango, only silly things sound a lot to me
afadhali wewe umesahau kuwa ya mtoto....zali lake linaisha mapema tu. Rudi na zawadi nzuri ya birthday na useme kabisa kuwa ulikumbuka ila ulitaka kum-surprise.
mwenzio kuna mwaka nilisahau ya mzee.....kilichoniuma zaidi mpaka jana yake nilikuwa nakumbuka na nilikuwa nimeshaandaa cha kumfanyia hiyo siku.
huwa nina kawaida ya kumu-wish saa 6 usiku (ili niwe wa kwanza, lol!) hiyo siku niliwahi kulala na sijui ilikuwaje alarm haikuniamsha hiyo saa 6.
Asubuhi siku ya kazi mtu kajiandaa kwenda job ananiaga naondoka sasa, usingizini najibu "Uwe na siku na kazi njema".
Akaondoka. mara mtoto anakuja chumbani ananiambia "mum today is dad's birthday".......
kutoka nje kwani yupo! kwa mara ya kwanza nilienda ofisini kwake
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom