Mama mkwe ananing'angania

Mama mkwe ananing'angania

Atasababisha ugonvi usioisha kati ya mtu na mdogo ake atafute tu mwingine...
hata sio heshima mtu na mdogo ake wavue sketi kwa mwanaume mmoja?:A S 13:

heshima ndio nini sasa apo? hivi on a serious note atakuwa amevunja sheria?
 
Naah don't jump the broom with the little sister. Just smash it and quit it and tell everybody that you did it.

And if the mother is easy on the eye, go right ahead and smash her too.

It's called buy one get two free. It doesn't get better than that.

Hahahhahaha we jamaaa ni"jiniasi "aiseee
Buy one get two for freed naunga mkono hojaa
 
Leso simo eyinkimbinkimbi kakhulu umfowethu, kodwa awukwazi bashade nentombazane wena ngokulambisa nazi. futhi kuyoba umashiqela, kuthiwani uma ubuye ube umuntu othanda lona? hhayi umqondo umfowethu omuhle
 
na huyu mdogo akija kubadilika mama mkwe akataka uoe mwingine katika jaa zao utakubali?

achana na upuuzi huo na acha kumwaga pesa zako huko.
 
Naah don't jump the broom with the little sister. Just smash it and quit it and tell everybody that you did it.

And if the mother is easy on the eye, go right ahead and smash her too.

It's called buy one get two free. It doesn't get better than that.

Kwa style hii ya ushauri kweli miafrika ndivyo mlivyo
 
Jiheshimu kijana! Kama umeamua kuachana na mpenzi wako wa kwanza kata hata mawasiliano na hao wazazi maana watakuja kukufanyia hata maarifa ili uwe na mdogo mtu kwa ajili ya pesa tuu na sio mapenzi. Achana nao.
 
Huyo mama mkwe anapenda hela zako,hela unazotuma zinamchanganya,na iwapo utakubali kuoa mdogo mtu utafanya hiyo familia wasielewane kwani dada mtu(ex wako)atawasumbua,sikushauri uendleze ukaribu na hiyo familia,fungua ukurasa mpya mbali nao kuepuka usumbufu
Unajitahidi kutoa ushauri mzuri lakini jamaa kwa elimu yake sidhani kama hii issue alitakiwa ailete hapa kwa ajili ya ushauri, hata kwa elimu ya jadi isiyo rasmi inamkomaza mtu kufanya maamuzi
 
Unajitahidi kutoa ushauri mzuri lakini jamaa kwa elimu yake sidhani kama hii issue alitakiwa ailete hapa kwa ajili ya ushauri, hata kwa elimu ya jadi isiyo rasmi inamkomaza mtu kufanya maamuzi

Kwa hiyo mtu mwenye elimu kiasi fulani haitaji kuomba ushauri?Acha dhana potofu ndg yangu!
 
Kwa hiyo mtu mwenye elimu kiasi fulani haitaji kuomba ushauri?Acha dhana potofu ndg yangu!
Tatizo hutoi hitimisho maana watu wanatiririka mpaka wadau tunahoji mbona jamaa harudi na kutoa hitimisho au bado hakuna ushauri uliokukugusa?
 
Naah don't jump the broom with the little sister. Just smash it and quit it and tell everybody that you did it.

And if the mother is easy on the eye, go right ahead and smash her too.

It's called buy one get two free. It doesn't get better than that.
Uwiiiii
Hapa mzee umemshauri akaogelee bwawa la ruba bila hata any costume.

hujui cha kufanya au unatuzuga tu?mtafune basi na mama mkwe
 
Mtakumbuka post yangu ya mwanzo "MAMAMKWE ANANING'ANG'ANIA" kuwaandikia wana MMU wenzangu nikiwaomba ushauri. Ilikuwa jana jioni nilipigiwa simu na yule x-gf wangu mida ya jioni saa 12:45 akiniambia kuwa yupo Ubungo bus terminal nikamfate,eti alikuja kwa rafiki yake lakini alipofika UBT alimpigia simu rafiki yake,rafiki yake akawa hapatikani.

Kwa kuwa mi nilikuwa mbali na jiji nilimwambia nisingeweza kumfata.basi sikujua ilikuwaje hiyo jana! Leo hii nipo ofisini nimepigiwa simu kutoka nyumbani kuwa nina mgeni wangu wamempokea amejitambulisha kuwa yeye ni mke mtarajiwa wangu!!!Kwa jinsi jina nililoambiwa nikagundua ni yuleyule.

Nachojiuliza amepajuaje nyumbani kwangu? Na kwanini ameamua kuja kunitafuta wakati mimi na yeye ni takribani miaka miwili toka tumeachana hatuna mazoea ya kutembeleana zaidi ya kuwa na mawasiliano na wazazi wake na mara chache na yeye hasa kusalimiana tu!

Jamani naomba mnisaidie nimfanyaje huyu mtu.
 
Kwani hayo mahusiano mliyavunja kila mmoja akajua hivyo au wewe tu uliamua kichwani kwako bila yeye kujua?
 
Back
Top Bottom