Mama mkwe ananing'angania

Mama mkwe ananing'angania

Hapa ndipo ninaposhindwa kuielewa akili za baadhi ya binadamu wenzangu. Mlikutana kwa ajili ya mapenzi,bahati mbaya hayajazaa matunda. Ni bahati Mungu amekuonyesha mambo ambayo hayatakufaa katika future yako ukakubali ukaacha. Dhahiri unaona ukaribu wako na mtu fulani unasababishwa na kitu fulani eti unajiuliza kama kuna mapenzi ya dhati hapo. Kuishi kwa principles katika maisha ni amani kubwa sana watu wengi hawajui. Usipokuwa na msimamo utayumba kila upande. Tumekutana kwa sababu ya mapenzi basi tutaachana kwa sababu hiyohiyo and after that do not expect nijuhusishe na chochote from your end. Nakata nyaya zote so as to live happy life. Kikubwa ni kusamehe baaaaasi. Sasa hapo mkuu familia haikupendi but pesa yako ndo inapendwa na hiyo imetokana na wewe kutokua na principles za maisha yako kuendelea kuprovide sehemu isiyokuhusu. Baadaye mnalalamika wanawake ndo wanakula pesa zenuwakati hakuna anayekuomba unatoa mwenyewe. Kua na msimamo mkuu, hapo unaelewa cha kufanya but the problem is hauko na msimamo.
 
Kulingana na maelezo yako, ushauri wangu ni kwamba hapo hakuna mwanamke wa kuoa bali ni wa starehe tu.Kama una pesa za kugawa kuna vituo vya watoto yatima zipeleke huko badala ya kuwekeza pasipo na tija bali magonjwa. Halafu hakuna kabila la wamburu kuna kabila la wairaqw...unashangaza kutojua kabila sahihi la familia ambayo umewekeza kwa kiasi kikubwa.
 
Ukitambua hili, utakuwa na furaha sana. Huna hela! Kununua juisi ya maaza sio hela. Hebu kasake mahela acha upuuzi
 
Kwani hiyo ni biashara ya mg'ombe hadi upewe substitute ndugu.... Hiyo biashara mbovu achana nayo..... Wife material nje kibao ushindwe wewe tu.....
 
We farasi Kweli,unatanguliza mpunga? Utapewa mpaka binamu ungekuwa Huna ela Jr ungeambiwa hayoo tafakari chukua hatua,au hilo kinsman ligegede tu kwani kitugani?
 
Ni halali yako wakuambie hivyo maana hata wewe kimafikirio bado uko nyuma subili uchunwe kama ngozi ya kondooo badala ya kukimbia unarudi
Nilikuwa na mpenzi wangu tulisoma wote chuoni na tulipendana sana kiasi kwamba nilikuwa namgaramia kwa kiasi kikubwa na kuna kipindi aliumwa akalazwa hospitalini mimi nikawa siattend vipindi kwa ajili ya kumuhudumia yeye,Zaidi nilishaenda nae kwao japo sikwenda kwa utambulisho rasmi lakini wazazi wake walielewa kuwa mimi ni mtarajiwa kwa binti yao!Wazazi wake walitokea kunipenda saana hasa mama mkwe ndiyo alikuwa ananipenda mpaka naogopa yani nikienda kwao napokelewa kama Rais vile sasa sijui ni kwa sababu nilikuwa naprovide mahela sana ila nachojua nilikuwa napendwa na hao wazazi! Tuliporejea chuoni kwa masomo mwenzangu tabia yake ikaanza kubadilika akawa anaondoka chuoni sometimes haniagi na nikimpigia simu hapokei!mi nikawa nashinda kumtafuta kila kona ya hosteli bila kupata!Nikaja kuambiwa kuwa jamaa yangu wa karibu ambaye ni mfanya biashara alikuwa akitoka naye! Mi sikuamini!Hali iliendelea hivyo mpaka mimi nikaja kuhitimu masomo yeye nikamwacha akimalizia mwaka wake wa mwisho nilipoondoka mambo kwake yakazidi kuwa balaa alikuwa anatembea na yeyote atakayemtangulizia pesa!Nilikuja kusikia kuwa ametembea na mfagia vyoo vya hosteli akampa 60elfu! Hapo mi niliamua kumpiga chini baada ya kugundua ukweli wa mambo anayoyafanya! Sasa wazazi wake bado naendelea kuwa na mahusiano nao mazuri sometimes nawatumia pesa za matumizi licha ya kwamba wanajua binti yao sipo naye ktk mahusiano ya kimapenzi zaidi ya mawasiliano na tunaitana kaka na dada! Sasa Mama yake alinipigia simu akaniuliza "endapo binti yake atakuwa amebadilika kitabia na akataka turudiane Je niko tayari?" Mi nimemjibu sipo tayari,Basi tokea hapo yule mama ananing'ang'aniza akanambia nimwoe hata mdogo wake na yule mdada niliyekuwa naye! Sasa wadau naomba ushauri nifanyaje manake napatwa na kigugumizi manake hata huyo mdogo wake ni mzuri sana wa umbo ila sijajua tabia yake!Na je ntakuwa sahihi endapo nitaoa mdogo mtu!?
 
Ha!!! Mizengo!kwani ulikuwa unawapenda mji mzima?
 
Last edited by a moderator:

Ni sahihi kabisa, chukuwa mzigo baada ya kufanya uchunguzi na tabia yake. Umeshakuwa mmoja wa familia.
 
Sasa we unanishauri vipi ndugu yangu?
Mbona unajiuliza mwenyewe tena? au ndo kuchanganyikiwa, unaitwa Powel Mizengo alau unajiuliza tena "unanishauri vipi" angalia hapo chini

By Powel Mizengo
Upo sahihi lakini sikuwa na maana ya kuwadharau watu wa aina hiyo ila iliniuma kwa kunidharirisha mimi kwanza huyo jamaa mwenyewe ni bubu alafu wkt mi nipo chuoni alikuwa mtu wangu sana ambae namwagiza mambo yangu mengi tu! Kuhusu mamamkwe nami nilikuwa na mtazamo kama wako labda huenda anataka kulipa fadhila kwani bado mpaka sasa nawatumia pesa pindi waniombapo nami huwa sina shida nawapa! Ndiyo hapo sasa nikizingatia niliyotendwa na binti yake nashndwa kutoa maamuzi ya kuoa mdogo mtu!

Sasa we unanishauri vipi ndugu yangu?​

Chukua ushauri uliopewa changanya na zako chukua maamzi ila base ktk maamzi yako kwa kiasi kikubwa na ushauri kiasi tu, mapenzi ni wawili tu.
 
Akili za kuambiwa changanya na zako mkuu soi unang'ang'ania unataka tena mdogo mtu wakati Dada mtu kasha kushinda hiyo tabia iko kwenye familia hiyo chunguza kama sio baba mtu basi ni mama mtu hao watto wanarithi tu matendo ya wazazi Fanya utafiti utagundua hicho nilicho kuambia
 
hadi maza anakupa bonus uoe mdogo mtu?
kweli mtoto wa kike mtaji....

Mama mkwe kawaza mbali sana. Wazazi siku hizi hawana uhakika binti zao kama wataolewa na waume wenye kujali kama huyu. Wanaume wenyewe siku hizi hawaeleweki. Sasa kwa kuwa mama keshaona moyo wa huruma na upendo wa kweli wa huyu kaka huenda ndio maana anataka asimpoteze angalau awatunzie binti yao mdogo. Si lazima kuwa anag'ang'ania kwa sababu ya zawadi anazowapa wao huenda anahangaikia future ya binti yake. Mimi namshauri jamaa kama amependa aoe tu huyo mdogo.
 
Atasababisha ugonvi usioisha kati ya mtu na mdogo ake atafute tu mwingine...
hata sio heshima mtu na mdogo ake wavue sketi kwa mwanaume mmoja?:A S 13:
 
Back
Top Bottom