Mama Kanumba Alengwa Lengwa Na Machozi Mbele Ya Umati Wa Watu Baada Ya Kununuliwa Gari Mpyaaa Na Rais Samia . Amimina Shukurani Nzito Kwa Rais Samia

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
36,346
Reaction score
23,757
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa Hakika Rais Samia Ni Mkono Wa Mungu Uliopo Hapa Duniani, Mungu Anatenda Miujiza Yake Kupitia Rais Samia ,Rais Samia Ni chaguo la Mungu kuwafikia Watu na waja Wake. Kama Unasikiaga Mungu anatenda Miujiza Kupitia Watu basi Mtu Mwenyewe ni Rais Samia Aliyeinuliwa na kupata kibali cha Mungu Mwenyewe.

Sijapata kuona wala kushuhudia Mama Na Kiongozi Mwenye Upendo kama Rais Samia. Haijapata kutokea ndugu zangu. Rais Samia ana moyo wa huruma na ukarimu haijapata kutokea . Rais Samia ni Mtume wa Mungu aliyetumwa na kuletwa hapa Duniani kupitia Mama yake mzazi kwa ajili ya kuleta tabasamu,furaha , matumaini na nuru kwa maisha ya watu.

Rais Wetu Mpendwa hii leo amefanya kitendo cha aina yake. Kitendo kilichogusa hisia za mamilioni kwa mamilioni ya watanzania,kitendo ambacho ni Thawabu mbele za Mwenyezi Mungu.

Ni baada ya Kumnunulia na kumkabidhi Gari Mpyaaa Mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba Nguli Na Mwamba kwelikweli wa Bongo Movie hapa nchini yaani waweza kusema Legend ama Shujaa na Alama ya Bongo Movie aliyeipatia Nchi yetu heshima kubwa sana katika tasnia hiyo.

Mama Kanumba ambaye alikuwa akihangaika kutembea umbali mrefu kwenda kanisani leo amekutana na Mkono Wa upendo wa Rais wetu kipenzi Mama Samia na kukabidhiwa Gari aina ya Harrier Kupitia kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Mheshimiwa Albert Chalamila.

Mama huyo amejikuta akilengwa lengwa na machozi ya furaha na kushindwa hata kuzungumza baada ya kuelemewa na furaha na kushindwa kuamini kwa kila kilichotokea kwa kuwa alikuwa hajatarajia kabisa.

Mama Kanumba ameishia kumimina shukurani kwa Rais wetu Mpendwa pamoja na kumuombea kila la heri na Maisha marefu Mama yetu Mpendwa.

Kwa hakika Rais Samia ni mpango wa Mungu Mwenyewe. Huwezi kushindana na aliyebarikiwa na Mungu. Rais Samia ni chaguo la Mungu na Mtume wa Mungu. Ni mtumishi wa wanyonge na watu wote.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Screenshot_20260308-205937_1.jpg
Screenshot_20260308-205929_1.jpg
 
she cant feed the poor lkn anatapanya fedha na resources kwa watu ambao tayari wana karibia kila ktu, pure evil ...
Wivu tu ndio unaokusumbua na roho mbaya ya kishetani. Wewe hapo ulipo umesaidia wangapi?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa Hakika Rais Samia Ni Mkono Wa Mungu Uliopo Hapa Duniani, Mungu Anatenda Miujiza Yake Kupitia Rais Samia ,Rais Samia Ni chaguo la Mungu kuwafikia Watu na waja Wake. Kama Unasikiaga Mungu anatenda Miujiza Kupitia Watu basi Mtu Mwenyewe ni Rais Samia Aliyeinuliwa na kupata kibali cha Mungu Mwenyewe.

Sijapata kuona wala kushuhudia Mama Na Kiongozi Mwenye Upendo kama Rais Samia. Haijapata kutokea ndugu zangu. Rais Samia ana moyo wa huruma na ukarimu haijapata kutokea . Rais Samia ni Mtume wa Mungu aliyetumwa na kuletwa hapa Duniani kupitia Mama yake mzazi kwa ajili ya kuleta tabasamu,furaha , matumaini na nuru kwa maisha ya watu.

Rais Wetu Mpendwa hii leo amefanya kitendo cha aina yake. Kitendo kilichogusa hisia za mamilioni kwa mamilioni ya watanzania,kitendo ambacho ni Thawabu mbele za Mwenyezi Mungu.

Ni baada ya Kumnunulia na kumkabidhi Gari Mpyaaa Mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba Nguli Na Mwamba kwelikweli wa Bongo Movie hapa nchini yaani waweza kusema Legend ama Shujaa na Alama ya Bongo Movie aliyeipatia Nchi yetu heshima kubwa sana katika tasnia hiyo.

Mama Kanumba ambaye alikuwa akihangaika kutembea umbali mrefu kwenda kanisani leo amekutana na Mkono Wa upendo wa Rais wetu kipenzi Mama Samia na kukabidhiwa Gari aina ya Harrier Kupitia kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Mheshimiwa Albert Chalamila.

Mama huyo amejikuta akilengwa lengwa na machozi ya furaha na kushindwa hata kuzungumza baada ya kuelemewa na furaha na kushindwa kuamini kwa kila kilichotokea kwa kuwa alikuwa hajarajia kabisa.

Mama Kanumba ameishia kumimina shukurani kwa Rais wetu Mpendwa pamoja na kumuombea kila la heri na Maisha marefu Mama yetu Mpendwa.

Kwa hakika Rais Samia ni mpango wa Mungu Mwenyewe. Huwezi kushindana na aliyebarikiwa na Mungu. Rais Samia ni chaguo la Mungu na Mtume wa Mungu. Ni mtumishi wa wanyonge na watu wote.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3555137View attachment 3555138
Hekima za Baba Askofu Bagonza

MAADUI WAKIISHA, MARAFIKI WATAGEUKA MAADUI.

Ajabu ya Wajaluo: Ukizoea kumsingizia adui kwa kila tatizo lako, siku ukimmaliza huyo adui, utawageuza marafiki zako wawe maadui ili upate wa kusingizia kila tatizo lako.

Nimesikia viongozi wetu wakidai wanaliunganisha taifa. Wengine wamesema taifa ni tulivu. Na wengine wameajiri mawakala wa kutafuta maridhiano. Sasa najiuliza:

1. Mawaziri wako London, New York, Addis Ababa na Brussels kueleza jinsi nchi ilivyotulia, LAKINI huku nyuma polisi wanakataa kwamba ndani ya Chadema hakuna wanawake na chama chote ni wanaume! Tulisitisha maadhimisho ya Uhuru; tunazuia hata siku ya wanawake wa dunia? Je, Tuna mashaka kama hao ni wanawake sawasawa?!

2. Mikutano ya hadhara inaonyesha kuna kero nyingi kuliko watatuaji, LAKINI kuna watu mitandaoni wanapongeza jinsi nchi ilivyo tulivu na maendeleo yanapaa! Tunaficha uchi, tutazaaje?

3. Janga la utekaji linaendelea na mamia wako mafichoni, LAKINI viongozi wetu hata kwenye mikutano ya hadhara hilo halizungumzwi! Kama serikali haihusiki na utekaji basi inahujumiwa na watekaji. Kauli ya serikali ilitakiwa toka juzi ileee.

4. Tunakodisha watu kwenda kuteka na kudhuru nje ya nchi BADALA ya kukodisha wapatanishi na mabalozi wa kurejesha nyumbani wakosoaji. Tunasubiri tukalishwe meza moja na Rachel Dangwa mbele ya Katibu Mkuu wa UN?

5. Polisi wanavuruga uwezekano wa maridhiano na kuizika serikali ikiwa hai. Tukumbuke: Polisi walioipigia saluti UNION JACK ndiyo walioipigia bendera ya Tanganyika huru. Serikali inawadanganya polisi na polisi inawadanganya serikali. Mchezo wa kitoto huu.

6. CCM haiko kimya. Ina historia ya kuibuka na kukataa dhuluma. Kuteka, kutesa na kuua si sera yake. Kuiba kura yaweza kuwa sera ya muda lakini si wote wanaipenda. Ukimya wa CCM ni kuchimba kaburi kwa meno yake. Itaamka, na kwa sasa adui wake si CHADEMA ambayo ni “marehemu”. Adui wa CCM anajijua na CCM inamjua. Mkumbukeni John Komba na “Jogoo limewika Dodoma”. Amkeni muokoe nchi na chama.

7. Tumekodisha mawakala wa maridhiano wakati tunavuruga maridhiano. Sasa watatuambia nini wakati hila tunaziona wenyewe? Mnawavunjia heshima hata kama wamejivunjia kwa kudokoa wali kabla haujawiva.

8. Mgonjwa wa kusahau hawezi kukumbuka tatizo lilianza lini. Serikali isiyokosolewa ni ile isiyokuwapo. Serikali isiyokosea na ile isiyofanya chochote. Serikali ipo; haina chanjo ya kutokosea. Inatakiwa kukiri makosa na kuwajibika ili tusonge mbele. Inapoteza muda na fedha kupiga propoganda. Ndevu waweza kuzificha kwa kunyoa; matiti je?

Vituko vyetu vimezidi mpaka Mjaluo amecheka na kutuonyesha mapengo anayoyaita mwanya.

Kwaresima Njema
Ramadhani Kareem
 
Wivu tu ndio unaokusumbua na roho mbaya ya kishetani. Wewe hapo ulipo umesaidia wangapi?

najitahidi kusaidia ninapoweza kuanzia kuwapa chakula watoto wa mitaani au hata hela kama nikiweza, huyo mtu wako ni bosi wa nchi yote na hazina yote ya nchi iko chini yake lkn watoto maskini wanalala njaa barabarani bila ya msaada wowote ule huku akitapanya hela kwa wenye uwezo hata siku moja sijawahi kusikia akisaidia watoto wasiojiweza na yatima, thats evil ...
 
najitahidi kusaidia ninapoweza kuanzia kuwapa chakula watoto wa mitaani au hata hela kama nikiweza, huyo mtu wako ni bosi wa nchi yote na hazina yote ya nchi iko chini yake lkn watoto maskini wanalala njaa barabarni bila ya msaada wowote ule huku akitapanya hela kwa wenye uwezo hata siku mooja sijawahi kusik8ia akisaidia watoto wasiojiweza na yatima, thats evil ...
Kwani hao watoto alizaa yeye na kuwapeleka Kukaa barabarani? Yaani uzae wewe halafu utake Rais wetu awajibike kuwatunza kwa kila kitu? Huna akili wewe
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa Hakika Rais Samia Ni Mkono Wa Mungu Uliopo Hapa Duniani, Mungu Anatenda Miujiza Yake Kupitia Rais Samia ,Rais Samia Ni chaguo la Mungu kuwafikia Watu na waja Wake. Kama Unasikiaga Mungu anatenda Miujiza Kupitia Watu basi Mtu Mwenyewe ni Rais Samia Aliyeinuliwa na kupata kibali cha Mungu Mwenyewe.

Sijapata kuona wala kushuhudia Mama Na Kiongozi Mwenye Upendo kama Rais Samia. Haijapata kutokea ndugu zangu. Rais Samia ana moyo wa huruma na ukarimu haijapata kutokea . Rais Samia ni Mtume wa Mungu aliyetumwa na kuletwa hapa Duniani kupitia Mama yake mzazi kwa ajili ya kuleta tabasamu,furaha , matumaini na nuru kwa maisha ya watu.

Rais Wetu Mpendwa hii leo amefanya kitendo cha aina yake. Kitendo kilichogusa hisia za mamilioni kwa mamilioni ya watanzania,kitendo ambacho ni Thawabu mbele za Mwenyezi Mungu.

Ni baada ya Kumnunulia na kumkabidhi Gari Mpyaaa Mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba Nguli Na Mwamba kwelikweli wa Bongo Movie hapa nchini yaani waweza kusema Legend ama Shujaa na Alama ya Bongo Movie aliyeipatia Nchi yetu heshima kubwa sana katika tasnia hiyo.

Mama Kanumba ambaye alikuwa akihangaika kutembea umbali mrefu kwenda kanisani leo amekutana na Mkono Wa upendo wa Rais wetu kipenzi Mama Samia na kukabidhiwa Gari aina ya Harrier Kupitia kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Mheshimiwa Albert Chalamila.

Mama huyo amejikuta akilengwa lengwa na machozi ya furaha na kushindwa hata kuzungumza baada ya kuelemewa na furaha na kushindwa kuamini kwa kila kilichotokea kwa kuwa alikuwa hajarajia kabisa.

Mama Kanumba ameishia kumimina shukurani kwa Rais wetu Mpendwa pamoja na kumuombea kila la heri na Maisha marefu Mama yetu Mpendwa.

Kwa hakika Rais Samia ni mpango wa Mungu Mwenyewe. Huwezi kushindana na aliyebarikiwa na Mungu. Rais Samia ni chaguo la Mungu na Mtume wa Mungu. Ni mtumishi wa wanyonge na watu wote.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3555137View attachment 3555138
Mnatafuta matukio Ili kututeka akili sio!? Haisaidii chochote. Bado tupo na nyie. Ya Oct 29 hayataisha hadi tuone haki imetendeka pia Tundu Lissu aachiwe hiru dhidi ya kesi ya uongo mnayomtesa nayo. Na pia kesi zote za mchongo dhidi ya Chadema zofutwe
 
Damu za Watanganyika zaidi ya 10,000 zitaendelea kumtesa tu hata angemtoa Dully kafara.
 
Wivu tu ndio unaokusumbua na roho mbaya ya kishetani. Wewe hapo ulipo umesaidia wangapi?
Wewe ndio mwenye roho ya kishetani 100% . Umekubali kutumika kutetea uovu na waovu. Damu za wote waliokufa oct29 zi juu yenu na vizazi vyenu. Na malipo yake hayapo mbali! Siku mtoto wako atageuka kuwa chizi au taahira ndio utaanza kujua gharama za damu za watu wasio na hatia mlizozimwaga ardhini.
 
Kwani hao watoto alizaa yeye na kuwapeleka Kukaa barabarani? Yaani uzae wewe halafu utake Rais wetu awajibike kuwatunza kwa kila kitu? Huna akili wewe
Ooh, hawasaidii orphans kwa kuwa hakuwazaa? Is that how it works with Samia? Vipi kuhusu kuwaua watoto ambao hakuwazaa, I presume that was very fine with her. Kwa hiyo yeye ndiyo kamzaa huyo bibi aliyempa gari or is she just hunting for cheap publicity?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa Hakika Rais Samia Ni Mkono Wa Mungu Uliopo Hapa Duniani, Mungu Anatenda Miujiza Yake Kupitia Rais Samia ,Rais Samia Ni chaguo la Mungu kuwafikia Watu na waja Wake. Kama Unasikiaga Mungu anatenda Miujiza Kupitia Watu basi Mtu Mwenyewe ni Rais Samia Aliyeinuliwa na kupata kibali cha Mungu Mwenyewe.

Sijapata kuona wala kushuhudia Mama Na Kiongozi Mwenye Upendo kama Rais Samia. Haijapata kutokea ndugu zangu. Rais Samia ana moyo wa huruma na ukarimu haijapata kutokea . Rais Samia ni Mtume wa Mungu aliyetumwa na kuletwa hapa Duniani kupitia Mama yake mzazi kwa ajili ya kuleta tabasamu,furaha , matumaini na nuru kwa maisha ya watu.

Rais Wetu Mpendwa hii leo amefanya kitendo cha aina yake. Kitendo kilichogusa hisia za mamilioni kwa mamilioni ya watanzania,kitendo ambacho ni Thawabu mbele za Mwenyezi Mungu.

Ni baada ya Kumnunulia na kumkabidhi Gari Mpyaaa Mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba Nguli Na Mwamba kwelikweli wa Bongo Movie hapa nchini yaani waweza kusema Legend ama Shujaa na Alama ya Bongo Movie aliyeipatia Nchi yetu heshima kubwa sana katika tasnia hiyo.

Mama Kanumba ambaye alikuwa akihangaika kutembea umbali mrefu kwenda kanisani leo amekutana na Mkono Wa upendo wa Rais wetu kipenzi Mama Samia na kukabidhiwa Gari aina ya Harrier Kupitia kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Mheshimiwa Albert Chalamila.

Mama huyo amejikuta akilengwa lengwa na machozi ya furaha na kushindwa hata kuzungumza baada ya kuelemewa na furaha na kushindwa kuamini kwa kila kilichotokea kwa kuwa alikuwa hajarajia kabisa.

Mama Kanumba ameishia kumimina shukurani kwa Rais wetu Mpendwa pamoja na kumuombea kila la heri na Maisha marefu Mama yetu Mpendwa.

Kwa hakika Rais Samia ni mpango wa Mungu Mwenyewe. Huwezi kushindana na aliyebarikiwa na Mungu. Rais Samia ni chaguo la Mungu na Mtume wa Mungu. Ni mtumishi wa wanyonge na watu wote.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3555137View attachment 3555138
Haya maupuuzi yameanza tena
 
Mnatafuta matukio Ili kututeka akili sio!? Haisaidii chochote. Bado tupo na nyie. Ya Oct 29 hayataisha hadi tuone haki imetendeka pia Tundu Lissu aachiwe hiru dhidi ya kesi ya uongo mnayomtesa nayo. Na pia kesi zote za mchongo dhidi ya Chadema zofutwe
Nchi inaendelea kusonga mbele na watanzania wanakaza mwendo kusonga mbele. Sasa wewe endelea kuzubaa zubaa kama zuzu
 
Back
Top Bottom